Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Nimezaliwa mwezi wa 4 tarhe 9

Herufi yangu ya jina ni J

Nina nyota gani???
 
Mkuu nimepost nyota 12

Punda/kondoo,ng'ombe,mapacha,kaa,simba,mashuke,ng'e,mshale,mbuzi,ndoo na samaki

Wapi ambapo nashindwa kukuelewa mkuu em nifafanulie,

Rakims
Nikisoma post yako #1 ambayo ndio inabeba uzi mzima unaohusu nyota, ambazo pale mwanzo juu umeattach picha yenye picha za nyita zote 12. Ulipoonza ukaanza na Punda ukaendelea kutiririka na nyingine zinazofuatia 11. Hapo siioni nyota ya Mshale ukiizungumzia kama hizo nyingine. Labda utakuwa umeruka kwa bahati mbaya.

Umejaribu kuangalia post yako no1?
 
Mkuu Rakim sorry nimeiona, samahani kwa usumbufu. Maana nilikuwa naangalia picha kama hizo nyingine ulivyoambatanishia.
 
Mkuu mwenye kuhitajika kuvaa madini ya chuma akivaa madini ya silva inakubalika?
 
Mkuu Rakims siijui nyota yangu na jina langu Lina Anza kwa herufi N je nyota yangu Ni ipi
 
Aliyezaliwa 27 February na mchana ni nyota gani? Jina linaanza na A
 
Rakim.kaanza hongera kwa kuendelea kubaki katika Uzi wako kwa ajili ya ufafanuzi.mimi nimezaliwa 03/12.nna mpz yeye tarh 30/10.na nimemzidi umri parefu tu.naomba utuambie nyota zetu na namna mahusiano yanaeza kuwa.maswali mengine ntaongeza ukinijibu.
 
Rakim.kaanza hongera kwa kuendelea kubaki katika Uzi wako kwa ajili ya ufafanuzi.mimi nimezaliwa 03/12.nna mpz yeye tarh 30/10.na nimemzidi umri parefu tu.naomba utuambie nyota zetu na namna mahusiano yanaeza kuwa.maswali mengine ntaongeza ukinijibu.
Nyota yako wewe ni Mshale ya kwake yeye ni Ng'e sasa ng'e na mshale katika mahusiano ipo hivi:

Mshale na Ng'e
Ng'e huwa anajitahidi sana kumbana mshale asiweze kupeperuka na kujitahidi kumuweka kifungoni kwenye mapenzi,ng'e huwa havumilii maneno ya wazi ya mshale kutoka na kuzungumza na watu mbalimbali kusifu na kuchekea watu, haya humfanya ng'e kujihisi wivu kwa mshale katika maswala ya mapenzi haya ni mahusiano ya ajabu kidogo maana mshale hupenda kucheza cheza na utani kidogo kwenye sex ili kuona dhamira ya ng'e lakini ng'e huwa yupo streight kidogo kwenye swala hili na huwa hapendi utani kwenyu chakula cha usiku hivyo kununa na kususa na hasira za karibu ni tabia ya mshale kwenye mapenzi huamua kutoka na kwenda kujiliwaza pembeni nae ng'e hujaa sumu hadi anaamua kulipiza kisasi nje ndio roho inatulia. Sio couple rahisi hii kukaa kwa maelewano

Ng'e na Mshale:
Ng'e pia hupenda sana mapenzi ya uhuru kama kutoka na kuwa pamoja kwa muda na mwenzi wake lakini mshale hupenda mtu wake akae nyumbani tu atulizane wawe pamoja nyumbani hapendi aonekane kwenye uso wa jamii sana wakati yeye mshale ni mtu mwenye mazungumzo sana na watu wa njewake kwa waume hii hupelekea ng'e kujihisi upweke muda mrefu nyumbani na kuanza kujihisi kufanya mambo ya kishawishi hii couple ni wapenzi tu wasiokuwa na future hadi wajielewe sana maana anachopenda huyu huyu hapendi na anavhopenda huyu huyu hapendi

Rakims
 
Back
Top Bottom