Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

mkuu Rakims, vipi kuhusu mapenzi/ndoa kati ya mizani mwanaume na kaa mwanamke! je watapatana?
 
Kiongozi rakims, pale kwenye nyota ya punda sijakuelewa kidogo, kuna mahali umesema nyota anayoweza kuelewana nayo ni mizani, halafu tena ukasema nyota ambazo anazichukia nayo mizani ipo poa na simba nk, halafu tena ukataja nyota anzoweza kushirikiana nazo kwenye mafanikio mbali Bali nazo ukazitaja tena, sasa swali langu atawezaje kushirikiana nao wakati hawaelewani? Au labda sijakuelewa?
 
Mkuu mwenye nyota ya punda na mbuzi Wanaweza oana na mambo yasiwe mabaya????

Je kwa mwenye nyota ya mshale na mizani Pia Wanaweza oana na mambo yasiwe mabaya?
 
Hizo zinakuwa kwa mambo specific pekee mfano mizani hana cha kumsaidia zaidi ya mapenzi mbali na hapo hana msaada wowote kwake hata kibiashara umeelewa lakini kwa ndoa anakuwa anafaa zaidi, hujawahi kuona watu wa hivyo?

Rakims
Kiongozi rakims, pale kwenye nyota ya punda sijakuelewa kidogo, kuna mahali umesema nyota anayoweza kuelewana nayo ni mizani, halafu tena ukasema nyota ambazo anazichukia nayo mizani ipo poa na simba nk, halafu tena ukataja nyota anzoweza kushirikiana nazo kwenye mafanikio mbali Bali nazo ukazitaja tena, sasa swali langu atawezaje kushirikiana nao wakati hawaelewani? Au labda sijakuelewa?
 
Kwa hiyo zote tatu zinanihusu ama inakuaje mkuu?
Hii iliyochomoza ni nyota yako kuingiliwa sifa za hiyo iliyochomoza kwa mtazamo wa watu na matendo yako, the real you ni hiyo ya tarehe halafu ya mwezi ni Inner you,

Rakims
 
Mkuu mwenye nyota ya punda na mbuzi Wanaweza oana na mambo yasiwe mabaya????

Je kwa mwenye nyota ya mshale na mizani Pia Wanaweza oana na mambo yasiwe mabaya?
Mkuu nimekujibu P.M, kuniuliza hapa na P.M unanipa wakati mgumu kujibu sehemu mbili swali moja ndio maana nashindwa kujibu kwa maana naona maswali ya watu wa P.M na hapa ni aina moja, tumieni kuuliza hapa kwa faida ya wengine pia
Ipo hivi
Punda matarajio yake kwa mbuzi yanaweza yasiwe vile alivyokuwa yeye akitegemea kwa mbuzi, Punda huwa hapumziki wala kutulia na asiyetaka kuelewa wakati mbuzi ni mtulivu mstahamilivu na mwenye subira. Mbuzi huwa anataka kupewa zaidi na Punda hupenda kupewa zaidi vile vile tatizo vile vile huingia kwenye pesa mbuzi hupenda kutumia kidogo kidogo wakati Punda hupenda kutumia kwa fujo, yote kwa yote ni bora zaidi kuwa na subira kwa wote, Punda hupenda kufanya fanya mapenzi na pia mbuzi huwa na ustahamilivu wa vishindo vya Punda, mwisho Punda humaliza haja zake na mara nyingi mshindi huwa Mbuzi na Punda humuheshimu kwa kumfikisha kileleni,.

Couple hii ina mashaka japokuwa wakiwa sawa wanaweza kuelewana japo sio kikazi

Rakims
 
Back
Top Bottom