Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
[emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe Si ni maitu mkuu..utamuongoza nan wakati uhakuwa Maitimi nashindwa kuelewa huyo kaa watu ambao haelewani nao ni mbuzi ila mbuzi huyo huyo ni mzuri kwenye mahusiano/ mapenzi na ndoa, which is which sasa?
alafu unaposema wenye nyota ya kaa ni viongozi/leaders na huwa wanajiamini sana mbona kama inamchecheto, maana hata mimi nina nyota hiyo ila sina hizo mambo za kujiamini sana na sijawahi kuongoza au kupewa uongozi wowote.
Mimi na wewe tunaendana kabisa. Tufanye kweli bibie..Waoooh! Mie nyota yangu mshale [emoji108] nimeipenda kwakwel
Nilizaliwa jumapili mchana ivi mida ya saba/sa nane ..mkuu shida huja pale ambapo unazaliwa ilikuwa mchana au usiku na ilichomoza nyota gani hiyo ndio shida zaidi
Rakims
Ndio mimi apa angalia apo juu [emoji115][emoji115][emoji115]Kuna ambaye sijarespond quote yake wakuu?
Rakims
Mimi hapa mkuu naomba unirespondKuna ambaye sijarespond quote yake wakuu?
Rakims
kwenye nyota yangu 95% ulivyosema ni kweli nashukuru... je naomba unisaide hapo kwenye no ya bahati 2, 7 na siku ya bahati j3 je ntafaidika vipi direct kwenye real life au nazitumiaje?
Karibu mkuu, ndoo na simba ipo hivi:Aisee mtaalam kwa mara ya kwanza kabisa naanza kuamini haya mambo ya nyota.
Hivi mwanaume akiwa ndoo alafu mwanamke simba wanaweza kuoana na kuishi kwa furaha ..maana mimi nna mpenzi wangu yeye simba alafu tuna migogoro sasa hivi?
Ndio mkuu,