Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Mkuu rakims heshima yako.
Umeelezea kuhusu kuingiliwa kwa nyota wakati wa kuzaliwa.

Mimi nimezaliwa 31/8/ herufi ya kwanza ni J nilizaliwa alhamisi saa nane usiku Arusha maelezo kidogo.

Vipi mahusiano ya kimapenzi na wa 20/8/ ila amenizidi miaka miwili hivi.

Ahsante.
 
Habari mimi nilizaliwa April 16 usiku siku ya jumatatu jina langu linaanzia na herufi G... Naomba niangalizie maswala ya kimaisha pamoja na mahusiano
 
Nyota za watu ambao haelewani nao ni nyota za Ng’ombe, Simba na Nge.

Nyota inayomsaidia kikazi ni nyota ya Nge.

Nyota inayomsaidia kihisia ni nyota ya Ng’ombe.
Nyota za Ng'ombe na Nge ni nyota za watu ambao haelewani nao,hapo hapo unasema ndio nyota za kumsaidia..?
Inakuaje hii Chief..?
 
Mapenzi aliyonayo kaa humfanya mapacha akidhi mahitaji yake ya kimapenzi, utulivu wa maneno ya mapacha nao humfanya Kaa kutuliza na kuliwazika sana. lakini mapema tu nyota ya Mapacha hugeuka kimapenzi na kuanza kusababisha majeraha ya moyo kwa kaa ambaye yeye huwa busy na kujenga au kupangilia familia yake. Tabia za mapacha kutongoza au kutongozwa hovyo huwa zinamkosesha amani kaa na kumuweka katika hisia za maumivu hawa wawili wanaweza kukaa kwa muda mrefu kwa kuwa tu kaa huwa mvumilivu lakini pale ambapo kaa atataka kufuata hisia zake na kufunga nyota hii kichomi ya mapacha wakati huo yenyewe huwa inahitaji uhuru wa kujiachia basi maneno mabaya ya Mapacha na kero humfanya Kaa kujiengua na Mapacha hujihisi uhuru nae kaa huhisi katoka kifungoni.

Rakims
Shukran...na imenigusa na kunifunza
 
Mkuu rakims heshima yako.
Umeelezea kuhusu kuingiliwa kwa nyota wakati wa kuzaliwa.

Mimi nimezaliwa 31/8/ herufi ya kwanza ni J nilizaliwa alhamisi saa nane usiku Arusha maelezo kidogo.

Vipi mahusiano ya kimapenzi na wa 20/8/ ila amenizidi miaka miwili hivi.

Ahsante.
Habari mkuu, bado hujasema mwaka mkuu unahitajika na mwaka

Rakims
 
Habari mimi nilizaliwa April 16 usiku siku ya jumatatu jina langu linaanzia na herufi G... Naomba niangalizie maswala ya kimaisha pamoja na mahusiano
Nyota yako ni Punda soma vizuri maelekezo ya punda

Rakims
 
Ndugu Rakims vp khsu mambo ya kimawasiliano kati ya kaa na mapacha
Pia suala la pesa je ni nyota zinazopatana katika utafutaji wa pesa
 
Nyota za Ng'ombe na Nge ni nyota za watu ambao haelewani nao,hapo hapo unasema ndio nyota za kumsaidia..?
Inakuaje hii Chief..?
Hakuna jambo ambalo anaelewana na hizo nyota zaidi ya hayo niliyokutajia, akiwaletea habari zingine maelewano hakuna

Rakims
 
Ndugu Rakims vp khsu mambo ya kimawasiliano kati ya kaa na mapacha
Pia suala la pesa je ni nyota zinazopatana katika utafutaji wa pesa
Kaa ni mtu ana deal sana na mambo ya nyumbani, hata biashara zake zipo kinyumbani nyumbani. Mapacha nae hutegemea zaidi mlango wa mawasiliano, majirani, jamaa na ndugu kufanya mambo yake mengi ni watu wanaoelewana lakini kila mtu anachanzo chake cha pesa

Najifunza 🙏🙏
 
Back
Top Bottom