TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Nakuomba PM.Simba Updated
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuomba PM.Simba Updated
Sio kila mtu anajuwa hayo mambo ya nyota mpaka umpate Mwalimu aweze kukufundisha sio rahis elimu ya nyota kila mtu kupata kuijuwa Mkuu.Haya mambo haya ndio maana ngumu watu kuyaamini....nimeona mtu kajifuatilia kajikuta ana nyota 3 tofauti 😂
Nimekuelewa mkuuSio kila mtu anajuwa hayo mambo ya nyota mpaka umpate Mwalimu aweze kukufundisha sio rahis elimu ya nyota kila mtu kupata kuijuwa Mkuu.
Me hua naona nyota dunia nzima huangaliwa kwa mwezi wa kuzaliwa hayo mambo ya herufi za majina ni kujichanganya ndio maana hata yeye ameshindwa kutolea ufafanuzi.Mbona mm jina linaanza E alafu nyota ni kaa kwa kufuata mwezi wa kuzaliwa wakati herufi E ipo kwenye simba?
Akikujibu ni tag