Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Mkuu, Libra Mwanamke na Cancer Mwanaume, Compactiblity vipi hapo
 
Haya mambo haya ndio maana ngumu watu kuyaamini....nimeona mtu kajifuatilia kajikuta ana nyota 3 tofauti 😂
 
Haya mambo haya ndio maana ngumu watu kuyaamini....nimeona mtu kajifuatilia kajikuta ana nyota 3 tofauti 😂
Sio kila mtu anajuwa hayo mambo ya nyota mpaka umpate Mwalimu aweze kukufundisha sio rahis elimu ya nyota kila mtu kupata kuijuwa Mkuu.
 
Nmekubali hii kitu tabia na baadhi ya maelezo ni kweli kabisa. Mimininanyota ya simba hizo tabia ninazo
 
aiseee huwa si commemt post ila apa umenigusa aisee da kama ulikuwa unaniona kwel hapa kuna ukwel
 
Mbona mm jina linaanza E alafu nyota ni kaa kwa kufuata mwezi wa kuzaliwa wakati herufi E ipo kwenye simba?
 
Mbona mm jina linaanza E alafu nyota ni kaa kwa kufuata mwezi wa kuzaliwa wakati herufi E ipo kwenye simba?
Me hua naona nyota dunia nzima huangaliwa kwa mwezi wa kuzaliwa hayo mambo ya herufi za majina ni kujichanganya ndio maana hata yeye ameshindwa kutolea ufafanuzi.
 
Mzee Rakims toa dira ya 2020 basi.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Speaking about dira huu ni mwaka wa Atwarid maarufu kama Mercury hasa ukirudi katika hesabu za dira ya kitabu cha maarifa ya elimu dunia sayari ya kwanza ni Shamsi(Jua) so huu mwaka tunachukua 2020(2+0+2+0 = 4)

Ukirudi kwenye maarifa namba nne ni atwarid yaani mercury ambayo siku yake ni jumatano,

Yaani sayari kuu za dira ni saba na zinaenda hivi:
1: shamsi
2: Qamari
3: Mirikh
4: Atwarid
5: Mushtar
6: Zuhra
7: Zohar

Hadi hapo jibu lako umepata ni mwaka wa Atwarid ifuate hiyo utapata majibu ya maswali yako

Rakims
Mzee Rakims toa dira ya 2020 basi.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom