Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #601
Habari mkuu, katoa tarehe mwezi na mwaka rejea kwenye mpango wa nyota katika mwaka wake na mwezi huo zilikuwa vipi kisha ulete hoja mkuuSi kweli huyu Kipapi ni Simba. Mpangilio wa ishara ya nyota unategemea ni nyota zipi zinazoonekana juu kwenye mstari wa njia ya Jua angani. Miaka 1000 iliyopita kundinyota ya Simba ilikuwa juu kwenye kipindi cha mwanzo wa Agosti.. Siyo tena. Siku hizi ni Kaa (pia saratani au Cancer).
Kipapi anayeuliza kuhusu nyota ya tarehe za kuzaliwa, basi alizaliwa chini ya nyota za Kaa siyo Simba.
Labda Mkuu Rakims aeleze aliona lini nyota za Simba juu kwenye tarehe ile ya Mwanzo wa Agosti???
Rakims