Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Si kweli huyu Kipapi ni Simba. Mpangilio wa ishara ya nyota unategemea ni nyota zipi zinazoonekana juu kwenye mstari wa njia ya Jua angani. Miaka 1000 iliyopita kundinyota ya Simba ilikuwa juu kwenye kipindi cha mwanzo wa Agosti.. Siyo tena. Siku hizi ni Kaa (pia saratani au Cancer).
Kipapi anayeuliza kuhusu nyota ya tarehe za kuzaliwa, basi alizaliwa chini ya nyota za Kaa siyo Simba.
Labda Mkuu Rakims aeleze aliona lini nyota za Simba juu kwenye tarehe ile ya Mwanzo wa Agosti???
Habari mkuu, katoa tarehe mwezi na mwaka rejea kwenye mpango wa nyota katika mwaka wake na mwezi huo zilikuwa vipi kisha ulete hoja mkuu

Rakims
 
Mkuu Rakims nitajie nyota yangu.
Tarehe ya kuzaliwa ni 07/07/1989. Jina linaanzia herufi A.
Nyota yako ya kaa mkuu lakini kulingana na herufi yako ya mwanzo inabidi kujua saa na eneo ulilozaliwa ili kuweza kufahamu ilichomozewa na nyota ipi wakati unazaliwa

Rakims
 
in short ELIMU YA NYOTA NI MAJINU NA MARUHANI, Yesu hakuleta haya majitu, ni wanadamu wamejiundia.
Mkuu usitoe judgement ya kitu kwa fikra fupi soma chunguza fuatilia ndio ujibu. Hii ni kundi ya intelligence inataka mtu anaeweza kutulia na kufikiria kisha kuchunguza ndio akatoa kwa udadisi wake wacha kujibu kama upo kwenye kundi la hoja mropoko.

Rakims
 
Tatizo la uzi na utaalamu wake ni nyota yenyewe. Ninavyoona Rakims haangalii nyota. Anatumia jedwali tu za tarehe zilizotungwa miaka mia kadhaa iliyopita au zaidi.

Kama nyota zina athira kwa tarehe fulani - basi haangalii nyota hali halisi.

Alama za nyota na tarehe zinaendelea kubadilika polepole sana - lakini baada ya karne nyingi zimebadilika tayari. Hivyo ulinganifu wa nyota na tarehe hapa si sahihi!
Habari mkuu, natizama nyota kupitia details mtu anazotoa ili kuweza kutizama horoscope vitu vinavyohitajika ni details zote za mtu kuzaliwa ndio kugundua ascendant,descendant,cusps,decan,moon position na mengineyo kuweza kujua ipi ni nyota sahihi ya mtu ndio maana kunielewa ni hadi mtu mwenye kutaka kufahamu na nimeisha elezea ili kuweza kutazama nyota ya mtu mambo gani yanahitajika sasa mtu anatakiwa atoe majina yake na details zake zote anataja herufi ya mwanz tarehe na mwezi, utajibu kulingana na alivyotaka ujibu mkuu,

And this is Jamii intelligence, wanaelewa wenye kutaka kuelewa na hawaelewi wenye kutaka kutokuelewa

Mbona unakwepa hoja lake? Mambo yako ascendant, descendant na kadhalika hayana maana usipoangalia nyota halisi.
Je umewahi kutazama? Basi utaona kwamba alama unazotumia haziko mahali unapozihitaji kwa sababu unatumia jedwali ya miaka elfu iliyopita. Inajulikana alama zote zimehama katika kalenda tangu miaka mamia lakini niye munaendelea kutumia jedwali za zamani...
 
Tatizo la uzi na utaalamu wake ni nyota yenyewe. Ninavyoona Rakims haangalii nyota. Anatumia jedwali tu za tarehe zilizotungwa miaka mia kadhaa iliyopita au zaidi.

Kama nyota zina athira kwa tarehe fulani - basi haangalii nyota hali halisi.

Alama za nyota na tarehe zinaendelea kubadilika polepole sana - lakini baada ya karne nyingi zimebadilika tayari. Hivyo ulinganifu wa nyota na tarehe hapa si sahihi!
mkuu kwanini usiungane na jamaa I hope mtatuletea kitu kizuri zaidi
 
Mbona unakwepa hoja lake? Mambo yako ascendant, descendant na kadhalika hayana maana usipoangalia nyota halisi.
Je umewahi kutazama? Basi utaona kwamba alama unazotumia haziko mahali unapozihitaji kwa sababu unatumia jedwali ya miaka elfu iliyopita. Inajulikana alama zote zimehama katika kalenda tangu miaka mamia lakini niye munaendelea kutumia jedwali za zamani...
mkuu baada ya kupingana ingekua vizuri wote mkaungana. I hope ntakuja na kitu kizuri zaidi
 
Hapana mkuu sitizami hivyo natizama kulingana na wakati sifuati za karne hizo isipokuwa mifano yake tu ni kama wewe ulivyofundishwa unamachungwa sita na watoto sita utawagawia mangapi mangapi ulijibu moja moja.

Sasa leo una watoto wawili machungwa saba utawapa mangapi? Unachotaka kumaanisha ni kwamba mimi nafanya hesabu zile zile kwamba nitawapa moja moja, usinihukumu kwa usichokijua.

Rakims
 
mkuu baada ya kupingana ingekua vizuri wote mkaungana. I hope ntakuja na kitu kizuri zaidi
System hiyo kwa watanzania ni ngumu wapo radhi kubomoa ghorofa zima ulilojenga kwa kuchelewa kukamilisha roof.

Rakims
 
Mkuu swali kidogo hivi kama nyota ya mtu ilichafuliwa kwa siku nyingi hivi ikifanyiwa marekebisho ikisafishwa na kung'aa zaidi huchukua muda gani kuleta matokeo kwenye real life?
Inategemea na mtindo unaotumika na nyota husika kuna nyota ni dume na zingine ni jike kuna zinafaa usiku na kuna zinafaa zaidi mchana bila kusahau majira ya mwaka uchomozi wa mwezi hivyo kuna watu husafishi siku hiyo na saa hiyo ikafaa na kuna watu husafisha ndio uchafu ukazidi inategemea na elimu ya anaekufanyia au unaefanya na njia unayotumia

Rakims
 
VIP kama haujui Sikh au tarehe yako ya kuzaliwa -utajuaje nyota yako mkuu.
 
Utaifahamu japokuwa ujue hata mwezi na mwaka lakini milango haitaonekana directly kwamba ufanye nini saa ngapi hapo utakuwa umepoteza lakini kwa kupitia jina lako na jina la mama thamani yake basi hayo yote huonekana

Rakims
 
Back
Top Bottom