Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Soon nitaupdate nyama kwenye baadhi ya nyota unapenda ianze ipi

Rakims
 
Mi ni mapacha asee umenichambua ipasavyo hayo mafusho ndo unayafanyaje unajifukiza ?
 
Jina Yohana nimezaliwa 16 December nyota yangu halisi ni ipi?
Ili kuweza kujua nyota yako halisi nitahitaji jina lako na jina la mama tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa pamoja na eneo na saa kama unavijua hapa ni free ila ukija pm ni elfu 5

Rakims
 
Yohana 16/12/1974 Mtwara, Mama yangu Loisi.
Saa na siku sifahamu kaka.
Nyota yako ya akili ni Mshale mkuu nyota yako ya kiroho ni simba
Nyota niliyoshindwa kuitambua hapo ni nyota ya mwili ambayo kwa mpangano huo naamini utakuwa na tabia za nyota ya punda

Nyota ya kufuata zaidi wewe ni nyota ya Mshale japokuwa ipo mwishoni sana kuchomoza na thamani yake ni ndogo sana katika kung'ara mwaka 1974 december ilichomoza nyota ya Mshale katika tarehe 22 december ambayo imekaribiana sana na mbuzi hivyo kukufanya uwe ni mtu nyota imefifia lakini pia kunauwezekano umebadilisha au uliwahi kubadilishwa jina kama sio wewe basi mama.

Soma vizuri katika nyota ya mshale lakini tabia zako zingine utazipata kwenye nyota ya mbuzi japokuwa si nyota yako,

Ungejua muda uliyozaliwa basi tungeweza kuhukumu thabiti kuwa you are Sagittarius or Capricorn

Rakims
 
Ahsante mkuu,ila Kuna vitu 2 ninavyofahamu,nilipobatizwa nilitwa James japo sio jina lililopo kwenye cheti.coz mwanzoni jina langu nililopewa ni hilo Yohana ambalo ndo ninalolitumia mpaka Leo.Na pia kwenye cheti mwaka ulioandikwa ni 1975 japo mwaka halisi niliozaliwa ni 1974.Je kuna tatizo lolote ktk hilo?
 
Ndio mkuu maana inaniwia vigumu kuhukumu ni ipi nyota yako kati ya hizi mbili ila subiri nitizame kwa jina la James takupa jibu

Rakims
 
Back
Top Bottom