Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MshaleSoon nitaupdate nyama kwenye baadhi ya nyota unapenda ianze ipi
Rakims
Ili kuweza kujua nyota yako halisi nitahitaji jina lako na jina la mama tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa pamoja na eneo na saa kama unavijua hapa ni free ila ukija pm ni elfu 5Jina Yohana nimezaliwa 16 December nyota yangu halisi ni ipi?
Anza na mizani mkuuSoon nitaupdate nyama kwenye baadhi ya nyota unapenda ianze ipi
Rakims
Ukimaliza hiyo mtaalamImeombwa Mshale mkuu kwanza
Rakims
Nyota yako ya akili ni Mshale mkuu nyota yako ya kiroho ni simbaYohana 16/12/1974 Mtwara, Mama yangu Loisi.
Saa na siku sifahamu kaka.
Ndio mkuu maana inaniwia vigumu kuhukumu ni ipi nyota yako kati ya hizi mbili ila subiri nitizame kwa jina la James takupa jibuAhsante mkuu,ila Kuna vitu 2 ninavyofahamu,nilipobatizwa nilitwa James japo sio jina lililopo kwenye cheti.coz mwanzoni jina langu nililopewa ni hilo Yohana ambalo ndo ninalolitumia mpaka Leo.Na pia kwenye cheti mwaka ulioandikwa ni 1975 japo mwaka halisi niliozaliwa ni 1974.Je kuna tatizo lolote ktk hilo?