Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari mkuu combination yenu kwa hizi nyota za nje inaonekana hamuendani kabisa maana ni moto na mchanga vitu viwili tofauti,Mkuu Rakims Mimi nyota yangu ni ngombe na wife nyota yake ni mshale naomba utushauri kidogo ili tuwende vizuri
Ok nimeambiwa ni kwenye saa 4 asubuhiNilimaanisha saa mkuu
Rakims
Ntajuaje nyota yakeMwanamke wa nyota ya ndoo ndio mnaendana sana
Rakims
Mkuu nyota yako ya akili ni Punda nyota yako ya ujumla ni Ng'e na nyota yako ya roho ni kaa inapokuja kwenye nyota ya kufanya mambo ya kiroho na yenye nguvu zaidi kwako ni Ndoo kwa mchanganyiko huu pekee unaonyesha jinsi gani ulivyo complicatedRakim,naitwa ALLAN KUZALIWA 19/11/1978, SAA 9 MCHANA SIKU YA JPILI,MAMA AGATHA,HOSPITALI MUHIMBILI.Naomba kujua nyota yangu mkuu.
La mama yake silijuiZisome vizuri tabia za ndoo na umtafute mwenye tabia hizo ukipata jina lake na la mama nitakwambia kama ni yeye au anakaribia kuwa yeye
Rakims
Jina: Nahum GeorgeZisome vizuri tabia za ndoo na umtafute mwenye tabia hizo ukipata jina lake na la mama nitakwambia kama ni yeye au anakaribia kuwa yeye
Rakims
Jina: Nahum GeorgeZisome vizuri tabia za ndoo na umtafute mwenye tabia hizo ukipata jina lake na la mama nitakwambia kama ni yeye au anakaribia kuwa yeye
Rakims
Mkuu Rakims shukran sana mana hatimaye leo nimeijua nyota yangu halisi japo mara nyingi nlikuwa nachukulia kama hii virgo ndiyo nyota yangu lakini sikuwa na uhakika, ila naomba unisaidie ni mwanamke wa nyota gani naendana naye hapo, hilo tu mkuu wangu.Nyota yako ni virgo mkuu
Nyota yako ni kaa mkuu lakini ujazo wake ni mdogo sana ambayo kwa ushauri wangu tumia nyota yenye baraka za ambayo ni Ng'e na hii itakufanikishia mengi maana inakuzidishia mara mbili ya nyota yako kidogo inakuwa wastani hivyo kitabibu naweza kukushauri ufuate ya ng'e na kaaJina: Nahum George
Tarehe:7/7
Jina la mama:welu
Siku ya kuzaliwa:alhamis
Wapo wa nyota kama kaa,samaki na lakini ukipata wa nyota ya nge atakurusha sana roho ila utakuwa na pesa sanaMkuu Rakims shukran sana mana hatimaye leo nimeijua nyota yangu halisi japo mara nyingi nlikuwa nachukulia kama hii virgo ndiyo nyota yangu lakini sikuwa na uhakika, ila naomba unisaidie ni mwanamke wa nyota gani naendana naye hapo, hilo tu mkuu wangu.
Kwahyo ntumie ya ng'e na sio kaka au zote mbili?Nyota yako ni kaa mkuu lakini ujazo wake ni mdogo sana ambayo kwa ushauri wangu tumia nyota yenye baraka za ambayo ni Ng'e na hii itakufanikishia mengi maana inakuzidishia mara mbili ya nyota yako kidogo inakuwa wastani hivyo kitabibu naweza kukushauri ufuate ya ng'e na kaa
Rakims
Hahahahahahaha hapa ndipo nnapoamini kuhusu nyota.Wapo wa nyota kama kaa,samaki na lakini ukipata wa nyota ya nge atakurusha sana roho ila utakuwa na pesa sana
Rakims