Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Mkuu Rakims Mimi nyota yangu ni ngombe na wife nyota yake ni mshale naomba utushauri kidogo ili tuwende vizuri
Habari mkuu combination yenu kwa hizi nyota za nje inaonekana hamuendani kabisa maana ni moto na mchanga vitu viwili tofauti,
Huenda mnaendana kwa sayari ya upendo au mwezi

Rakims
 
Rakim,naitwa ALLAN KUZALIWA 19/11/1978, SAA 9 MCHANA SIKU YA JPILI,MAMA AGATHA,HOSPITALI MUHIMBILI.Naomba kujua nyota yangu mkuu.
Mkuu nyota yako ya akili ni Punda nyota yako ya ujumla ni Ng'e na nyota yako ya roho ni kaa inapokuja kwenye nyota ya kufanya mambo ya kiroho na yenye nguvu zaidi kwako ni Ndoo kwa mchanganyiko huu pekee unaonyesha jinsi gani ulivyo complicated

Cha kukushauri fuata nyota ya punda maana ndio inatawala akili yako pia ndio nyota iliyochomoza wakati unazaliwa na ndio nyota ina nguvu kwako hata kukushawishi na kupambana na kila jambo huku ikisaidiwa na nyota ya jina lako na la mama ambayo ni ndoo ukizifuata vema hizo mbili basi utaona ajabu hizi za maji zitakuzoofisha japo zina urafiki na wewe ukweli ni kwamba maji na moto havikai pamoja isipokuwa moto na upepo kwa hiyo tumia hizi mbili ambapo ukiziunganisha unapata msaada wa nyota zote 12 ambapo ni 1 + 11= 12

Nakushauri sana kutumia hizi mbili maana huendana zaidi ascendant sign na jina la mtu na mama yake.

Rakims
 
Mkuu me nimezaliwa juni 10, Sasa napata utata kujua nyota yangu ni ipi mara nyingi huwa najiaminisha kuwa ni mapacha, naomba unisaide hapo
 
Mkuu me nimezaliwa juni 10, Sasa napata utata kujua nyota yangu ni ipi mara nyingi huwa najiaminisha kuwa ni mapacha, naomba unisaide hapo
Habari mkuu soma quote ninazowajibu wakuu ili upate ufunguo natumia njia gani kuangalia
 
Zisome vizuri tabia za ndoo na umtafute mwenye tabia hizo ukipata jina lake na la mama nitakwambia kama ni yeye au anakaribia kuwa yeye

Rakims
Jina: Nahum George
Tarehe:7/7
Jina la mama:welu
Siku ya kuzaliwa:alhamis
 
Nyota yako ni virgo mkuu
Mkuu Rakims shukran sana mana hatimaye leo nimeijua nyota yangu halisi japo mara nyingi nlikuwa nachukulia kama hii virgo ndiyo nyota yangu lakini sikuwa na uhakika, ila naomba unisaidie ni mwanamke wa nyota gani naendana naye hapo, hilo tu mkuu wangu.
 
Jina: Nahum George
Tarehe:7/7
Jina la mama:welu
Siku ya kuzaliwa:alhamis
Nyota yako ni kaa mkuu lakini ujazo wake ni mdogo sana ambayo kwa ushauri wangu tumia nyota yenye baraka za ambayo ni Ng'e na hii itakufanikishia mengi maana inakuzidishia mara mbili ya nyota yako kidogo inakuwa wastani hivyo kitabibu naweza kukushauri ufuate ya ng'e na kaa

Rakims
 
Mkuu Rakims shukran sana mana hatimaye leo nimeijua nyota yangu halisi japo mara nyingi nlikuwa nachukulia kama hii virgo ndiyo nyota yangu lakini sikuwa na uhakika, ila naomba unisaidie ni mwanamke wa nyota gani naendana naye hapo, hilo tu mkuu wangu.
Wapo wa nyota kama kaa,samaki na lakini ukipata wa nyota ya nge atakurusha sana roho ila utakuwa na pesa sana

Rakims
 
Nyota yako ni kaa mkuu lakini ujazo wake ni mdogo sana ambayo kwa ushauri wangu tumia nyota yenye baraka za ambayo ni Ng'e na hii itakufanikishia mengi maana inakuzidishia mara mbili ya nyota yako kidogo inakuwa wastani hivyo kitabibu naweza kukushauri ufuate ya ng'e na kaa

Rakims
Kwahyo ntumie ya ng'e na sio kaka au zote mbili?
 
Back
Top Bottom