waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 387
- 349
Je nishirikiane na mwanamke wa nyota IPI ili niwe na mafanikioFuatilia sana ya ng'e ila jijue wewe ni kaa
Rakims
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je nishirikiane na mwanamke wa nyota IPI ili niwe na mafanikioFuatilia sana ya ng'e ila jijue wewe ni kaa
Rakims
Acha nitafute March 11Kwa sababu watu wengi wamekuwa wakielezea kitu wasichokijua ndio maana unaweza kukuta nyota unayoambiwa ni yako inasema leo utagombana na mke wako na hali ya kuwa hata mke mwenyewe huna ndio inazidi kumpoteza mtu na kuona ni usanii tu usio na malengo mazuri,
Ukijua exactly which one is your sign utaona kama ni mtu karecord mambo uako yote kisha kapost
Rakims
Karibu mkuu, umepotea kwenye forum
Rakims
Karibu sana mimi nikipita najazia nyama tu kwenye thread zangu naangalia na quotes tu za member, mengine nawaachia wengineNimekuwa mvivu sana siku hizi kuandika Al habiby ila napita nikisoma tu yaloandikwa kama hivi Akhuy wangu...!
Details hazijiyoshelezi mkuu
Rakims
Weka majina yako sahihi,jina la mama,tarehe na siku ya kuzaliwaJina linaaza na L, Sijui nikuongezee nini hapo samahani!
Karibu sana mimi nikipita najazia nyama tu kwenye thread zangu naangalia na quotes tu za member, mengine nawaachia wengine
Rakims
Weka majina yako sahihi,jina la mama,tarehe na siku ya kuzaliwa