Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Jina: Peter
Kuzaliwa: 6, Januari .
Siku: Ijumaa
Mama: Esta..
Details hazijajitosheleza kama unataka kujua nyota yako sahihi mkuu lakini kama unataka kuijua ya ujumla ni Capricorn kwa tarehe na mwezi, ila ukitaka kujua kama ni exactly hiyo basi lazima ujaze details zote

Rakims

Rakims
 
Details hazijajitosheleza kama unataka kujua nyota yako sahihi mkuu lakini kama unataka kuijua ya ujumla ni Capricorn kwa tarehe na mwezi, ila ukitaka kujua kama ni exactly hiyo basi lazima ujaze details zote

Rakims

Rakims
Details gani hazijajitosheleza?
 
Nimezaliwa 02/11
Jina langu: Luis
Jina la mama: Elizabeth
Nimezaliwa siku ya Jumamosi
Mwaka 1991
Naishi Bagamoyo
Mkuu nyota yako ni Mizani inayoingia kwenye kipindi cha Ng'e ukiangalia kwa wazungu watakwambia ni Scorpio lakini kiukweli ni mizani,
maana thamani ya jina lako na la mama linatoa 667 ambayo ukigawa kwa thamani za nyota itabaki 7 ambayo ni nyota ya mizani
kama tukienda kwa wazungu wao hawahami na jua linavyokwenda wala mwezi wao wamekwama kwenye hesabu za nyota za zamani wamekwama kwenye tarehe za zamani,
na hesabu hii ninayokupa imebaki kuwa siri hivyo hapo ukilazimisha itabidi mama yako aitwe Elizabetha badala ya Elizabeth

i hope umenifahamu vema na ukipiga exactly time uliyozaliwa utakuwa ilikuwa inamalizikia nyota ya Mizani hivyo ilikuwa imebaki siku moja au masaa mawili iingie nyota ya ng'e ndio maana jina lako umelipata herufi yake ya mwanzo ipo kwenye nyota ya punda ambayo inashare sayari na ng'e ambayo ni adui kwa nyota ya mizani, maana sayari ya mars na venus ni maadui kinyota mars ni sayari ya vita na venus ni sayari ya mapenzi

Rakims
 
Ningependa kujua mengi kuhusu nyota yangu mkuu Rakhim

Nmezaliwa-25/6/1992
Siku-Alhamis
Jina-Goodluck
Mama-Restituta
Naishi-Dar
Habari mkuu nyota yako ni kaa/Cancer kwa tarehe na kwa jina lako na la mama thamani inakuja 2548 ukiigawa kwa hesabu kubwa ya kinyota itabaki 2548-900-900-600-148-144= 4
Hiyo ni tebo kubwa ya 12 mkuu

Means nyota yako ni nyota ya nne katika mlolongo huo na ni nyota thabiti

Rakims
 
Rakim,tunatakiwa kukupa jina tunalotumia maishani au lakupewa wkt unazaliwa?
Yote mawili ili kuona ni jina lipi ambalo linaendana na nyota yako kwa thamani

Rakims
 
Naomba unielezee kidogo uthabit wake mkuu
Nyota thabiti kuu zipo 2 mkuu, ambayo ni kaa na simba maana kaa ipo chini ya Mwezi yaani usimamizi wake na simba ipo chini ya jua hii huzifanya kuwa ni nyota zenye nguvu za ziada lakini nyota zingine thabiti zipo lakini zipo chini ya sayari todauti usimamizi wake

Rakims
 
Back
Top Bottom