Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Details hazijajitosheleza kama unataka kujua nyota yako sahihi mkuu lakini kama unataka kuijua ya ujumla ni Capricorn kwa tarehe na mwezi, ila ukitaka kujua kama ni exactly hiyo basi lazima ujaze details zoteJina: Peter
Kuzaliwa: 6, Januari .
Siku: Ijumaa
Mama: Esta..
Unanisaidiaje bro nijue zaidi japo nimeshafatilia makala zako nyingiPole sana mkuu
Rakims
Mwaka?
Details gani hazijajitosheleza?Details hazijajitosheleza kama unataka kujua nyota yako sahihi mkuu lakini kama unataka kuijua ya ujumla ni Capricorn kwa tarehe na mwezi, ila ukitaka kujua kama ni exactly hiyo basi lazima ujaze details zote
Rakims
Rakims
Hapana kwa sasa nipo Shinyanga, Dar mwishoni mwa mwezi huu
Rakims
Kipi unataka kujua mkuu
unganisha details zote mkuu
Mkuu nyota yako ni Mizani inayoingia kwenye kipindi cha Ng'e ukiangalia kwa wazungu watakwambia ni Scorpio lakini kiukweli ni mizani,Nimezaliwa 02/11
Jina langu: Luis
Jina la mama: Elizabeth
Nimezaliwa siku ya Jumamosi
Mwaka 1991
Naishi Bagamoyo
Habari mkuu nyota yako ni kaa/Cancer kwa tarehe na kwa jina lako na la mama thamani inakuja 2548 ukiigawa kwa hesabu kubwa ya kinyota itabaki 2548-900-900-600-148-144= 4Ningependa kujua mengi kuhusu nyota yangu mkuu Rakhim
Nmezaliwa-25/6/1992
Siku-Alhamis
Jina-Goodluck
Mama-Restituta
Naishi-Dar
Nyota thabiti kuu zipo 2 mkuu, ambayo ni kaa na simba maana kaa ipo chini ya Mwezi yaani usimamizi wake na simba ipo chini ya jua hii huzifanya kuwa ni nyota zenye nguvu za ziada lakini nyota zingine thabiti zipo lakini zipo chini ya sayari todauti usimamizi wakeNaomba unielezee kidogo uthabit wake mkuu