Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Hongera mkuu asante kujibu majibu kwa moyo mmoja nauliza iwapo mtu atakuwa anazingatia hasa mafusho yenyewe yana nafasi gani katika nyota ya mhusika?
 
Hongera mkuu asante kujibu majibu kwa moyo mmoja nauliza iwapo mtu atakuwa anazingatia hasa mafusho yenyewe yana nafasi gani katika nyota ya mhusika?
Kumfanikishia mambo anayoyanuia mkuu yanakuwa kama dawa ya miujiza ikiwa ni pamoja na kusafisha nyota yake au kui stabilize
 
Nyota yako sahihi kabisa ni nyota ya Nge lakini ni dhaifu kwenye chart yako nyota inayokutawala na ilichomoza wakati unazaliwa ni nyota ya Punda nyota ya kwanza na hii ikichomoza wakati unazaliwa kila mtabibu au mnajimu aliyebobea hii fani hata kwambia ufuate nyota nyingine isipokuwa hii iliyochomoza wakati unazaliwa maana ndio inayowaka zaidi kwako kuliko nyota yako ya asili soma hapo kwa punda utajiona mengi lakini machache utayakuta kwenye nge na hata majina yako yote mawili yamebebwa na Punda A na M

Rakims
Rakim ubarikiwe nimesoma khs punda kweli ni mm,napitia kulee kwny somo la malango 12 then nikusumbue khs kubet na life in general.vigezo na masharti ya uzi wa malango nitavifuata#shaka ondoa
 
Rakim ubarikiwe nimesoma khs punda kweli ni mm,napitia kulee kwny somo la malango 12 then nikusumbue khs kubet na life in general.vigezo na masharti ya uzi wa malango nitavifuata#shaka ondoa
Karibu mkuu tupo pamoja.

Rakims
 
Mnanishangaza sana member mnaosema maneno ya ajabu hapa na kupinga vikali nyota kisha mnakuja pm kuomba kuangalizia nyota.
Unafiki sio jambo zuri

Rakims
Hahahaha, mkuu we wasaidie kama taratibu zako zilivyo
 
Mnanishangaza sana member mnaosema maneno ya ajabu hapa na kupinga vikali nyota kisha mnakuja pm kuomba kuangalizia nyota.
Unafiki sio jambo zuri

Rakims
Hahahaaa nimecheka kwa sauti sana ,kweli unafiki sio jambo zuri
 
Rakims nina swali khs mafusho Kwa Mimi punda/kondoo..nimepata Qist ya mizizi je inaruhusiwa 1.kuitafuna ? 2.kuioga Kwa kuchanganya na maji rose baada ya kuisaga inaruhusiwa?
Kuhusu udi Kwa nyota yangu naruhusiwa kuutumia?
Natanguliza shukran
 
ndio mkuu wapo wanaanza na kuomba radhi kisha wanazungumza shida zao na wengine wanaingiza ni hawatambuliki lakini unafiki ni jambo baya sana.
Rakims
Watu ni waajabu sana aisee
 
Rakims nina swali khs mafusho Kwa Mimi punda/kondoo..nimepata Qist ya mizizi je inaruhusiwa 1.kuitafuna ? 2.kuioga Kwa kuchanganya na maji rose baada ya kuisaga inaruhusiwa?
Kuhusu udi Kwa nyota yangu naruhusiwa kuutumia?
Natanguliza shukran
habari mkuu nimeelezea qisti kama mafusho basi tumia kama mafusho tu ukiipeleka pengine inakuwa ni dawa
 
Back
Top Bottom