Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

Kwa punda/kondoo udi ruksa kujifukiza au kuuweka shm yako ya biashara?
 
Mkuu msaada naomba kujuzwa nyota yangu,nmezaliwa tarehe 27 march,nini nikifanye ili mambo yakae sawa..maana hii nyota naona ina mapicha picha sana au imechukuliwa
 
Mkuu msaada naomba kujuzwa nyota yangu,nmezaliwa tarehe 27 march,nini nikifanye ili mambo yakae sawa..maana hii nyota naona ina mapicha picha sana au imechukuliwa
Details hazijitoshelezi kukwambia ipi ni nyota yako sahihi

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Yangu ni doo tarehe ni 14/2 na mke ni ng'ombe tarehe ni 30/4...maelezo ktk hilo....majina heruf m na s
TAURUS AND AQUARIUS
Neither is likely to approve of the other. Taurus(ng'ombe) is conservative as your jamii forum user name, careful, closemouthed.

Aquarius(ndoo) is unconventional, innovative, and vivacious. Taurus is lusty and passionate, while Aquarius operates on a mental plane. Taurus finds it hard to keep Aquarius at home or satisfied with the delights of domesticity. Aquarius looks for openness and self-expression in a relationship, while Taurus needs security and comfort. Aquarius, a fancy-free loner who resents ties that bind, sooner or later slips away from possessive Taurus.

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
mkubwa mi nyota yangu kiasili ni udongo, kwahiyo siwezi kutoboa kwenye mishe za udereva au ??
 
Mkuu nimelieleza hili mwanzoni mwa thread ya kwamba ili uweze kujua nyota yako lazima ufahamu mambo manne na kuweza kuyalinganisha ndio unapata nyota yako sahihi sio wewe tu wengine huona hata maelezo yake ni batili na walivyo kwa sababu mtu unakuta anaangalia nyota ya mwezi wakati inakinzana na nyota iliyochomoza saa na siku anayozaliwa. narudia ili kuweza kujua nyota yako sahhi hivi details lazima uwe nazo kama hauna kuna njia za kutumia ukazipata

Rakims
zipi hzo tueleweshe
 
Nimezaliwa 20 may jina linaanzia na herufi D lakin najikuta ninasifa za nyota ya mapacha kubadilika badilika , kukosa msimamo nk. Hii inatokana na nini wkt nimezaliwa kwenye nyota ya Taurus ?
 
mkubwa mi nyota yangu kiasili ni udongo, kwahiyo siwezi kutoboa kwenye mishe za udereva au ??
Habari mkuu,
Mafanikio mara nyingi yapo katika mambo ambayo huyataki na huyapendi hivyo za kuambiwa changanya na zako

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Nimezaliwa 20 may jina linaanzia na herufi D lakin najikuta ninasifa za nyota ya mapacha kubadilika badilika , kukosa msimamo nk. Hii inatokana na nini wkt nimezaliwa kwenye nyota ya Taurus ?
Ili kuweza kuangalia nyota yako nitahitaji jina lako na la mama tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa.
Hapo naweza kukujibu nyota yako sahihi ni ipi na sahihi zaidi ni ipi ukiwa umenipa saa uliyozaliwa pamoja na eneo

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hakuna shida isipokuwa unatakiwa uelewe ya kuwa nyota imegawanyika katika sehemu 4 ambazo ni nyota iliyochomoza wakati unazaliwa, nyota ya jina lako,nyota ya mwezi wa kuzaliwa na pia nyota iliyopo mwezi
ukizijua hizo utaweza kujielewa zaidi

Rakims
Nipe Mbinu ya kujua izo nyota nyingine . Mana herufi ya jina langu, tarehe ya kuzaliwa inaendana na nyota ya Ng'e. Je izo zingine tatu ndazijuaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom