Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Thank you for your article, umetufungua wengi sana, tusubiri simulizi upande wa pili
 
Bora ulivomjibu maana

Nimetoa comment zangu baada ya kusoma pages za mwanzo kuna baadhi ya wanaukumbi walikuwa wanahoji sources ni bahati sikupenda kurelay with quote.Kuna ubaya gani nikisema habari za Yericko nilishawahi kuzisoma katika gazeti la Mwahalisi ?.

Kuna mijitu imezaliwa na ubishi, inaweza kubishana na redio

Mimi si lijitu ni mtu kama wewe usilete dharau za uswahilini hapa.
 

Hapo kwenye red: ni kweli mauaji ya watutsi yalifanyika kwani wahautu waliwaua watutsi. na ni kweli pia kuwa watutsi nao waliwaua wahutu. kwa maana hiyo, ukitaka kuwa muungwana na mtu wa kuleta mshikamano wa kudumu kati ya wahutu na watutsi na kutohadaa jumuia ya kimataifa, ni vema kusema mauaji dhidi ya wanyarwanda. Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza ukabila na ubaguzi zaidi.
 
Halafu anataka kutuambia sisi tulipo eneo la tukio hali inavyokwenda eneo la maziwa makuu

kukaa kimya kwa serikali ya tanzania tangu vita ya kumwondosha mobutu, mauaji ya mzee kabila yaliyofanywa na rwanda na uganda, na kuendelea kuvumilia wimbi la wakimbizi linalojulikana kama fldr na interahamwe, bila kusahau mafuriko ya maiti ya wahutu na watusi mto kagera na mengineyo mengi yanayosababishwa na sera dhalimu na mfu za dikteta kagame, hawa jamaa walifikiri hatujui undani wa yanayoendelea drc na rwanda kwenyewe pamoja na mbinyo mkali wa habari unaofanywa na serikali y a mdhalimu kagame
 

hapo huwezi kuelewana na mtusi yeyote, watapataje huruma ya kimataifa ya kuendelea kuivamia kongo na kuua wahutu wasiyo na hatia kwa kisingizio mfu cha interahamwe na fldr?
 
hahaha, Mkuu Yericko ameandika na Source mwisho wa Thread ila mtu ye kasoma kijujuu ghafla anakuja kutoa Comment.

Moja ya matatizo mengi yanayotukabili waswahili ni hilo lakutokuwa makini kusoma maandiko
 

Sasa tumeamua kuwadhiti kwa kila njia,
 
hapo huwezi kuelewana na mtusi yeyote, watapataje huruma ya kimataifa ya kuendelea kuivamia kongo na kuua wahutu wasiyo na hatia kwa kisingizio mfu cha interahamwe na fldr?

Waliitwa interahamwe sasa ndio wavamizi muhimu wanaotumiwa na Rwanda chini ya Dikteta Kagame huko Kongo,
 
Sasa tumeamua kuwadhiti kwa kila njia,

wamebaki kulia kama mbuzi aliyebanwa na mlango wasijue la kufanya, na jamii ya kimataifa inawajua sawa hawana tena jipya la kuhadaa ulimwengu, ni muda tu unasubiriwa. Time will beep soon!
 


acha kujihami, aliyekuambia wewe ni m....e....n...d...e kwani ni nani?
 
wamebaki kulia kama mbuzi aliyebanwa na mlango wasijue la kufanya, na jamii ya kimataifa inawajua sawa hawana tena jipya la kuhadaa ulimwengu, ni muda tu unasubiriwa. Time will beep soon!

Rwanda ni masikini, haina ardhi bora ya kilimo zaidi ya kahawa na chai, hawana vivutio vya utalii zaidi ya mafuvu yaliyo makumbusho ya kimbari,

Ili kuijenga Rwanda unahitaji kuwa na resources, sasa Kagame aliamua kupeleka vikosi vyake huko Kongo ili kuendesha wizi wa madini kwaajili ya kuja kuijenga Rwanda hii unayoiona leo, hivyo leo Tz inapowaadabisha wale M23 nikuwa inakata mirija ya uchumi wa Rwanda ndiomana Kagame amedata ghafla
 

Muka,
Huna sababu ya kufika Kivu kujua historia ya huko.

  1. Si kweli kusema kuwa kulikuwa na mpaka wa Wanyarwanda ndani ya DRC maana hakuna ushahidi wowote. Wanyarwanda waliopo DRC wachache walienda kufanya kazi na waliowengi (Wanyamulenge) walihamia kukimbia mauaji miaka ya 1959-64. Utawala wa 'Mwami' ulitegemea vitisho vya kishirikina kwenye kutawala na ndio maana haukuwa na nguvu kivita kama vile Wazulu n.k. na ndio maana haukuwa na uwezo wa kupanuka licha ya uhaba wa ardhi.
  2. Kujiunga kwa waTutsi wliokuwa DRC kwenye kikundi cha RPF ilisababisha 'loyalty' yao kuwekwa mashakani. Kwa hiyo Wakongo ndio maana wakawakataa kabisa ingawa hapo awali wangeweza kuwakubali kuwapa uraia. Lakini RPF wanataka wahalalishwe huko Kongo ili waweze kumega eneo la Kongo na kuliunganisha na Rwanda. Ndio maana kwenye sera ya Kagame, amewaita Wanyarwanda wote warudi nyumbani lakini hao wa Kongo anadai ni Wakongolese.
  3. Tatizo la Rwanda ni la baadhi ya koo kujiona kuwa wao ndio wenye haki ya kutawala wengine kwa vile walisifiwa na wakoloni kuwa wao ni bora zaidi kuliko watu wengine. Hii sio kati ya Watutsi vs Wahutu, bali pia ipo kati ya Watutsi vs Watutsi. Ndio maana Watutsi kwa Watutsi nao wanachinjana hata ndani ya RPF.
 
Mkuu umetoa maelezo mazuri sana na ya kweli,

Wale wenye ardhi ya Rwanda Watwa wamepotezwa kabisa na kuonekana hawana maana, badala yake hawa wakuja ndio wamekuwa the superior,

Kagambe na kundi lake la Watusi anandoto za kuimega Kongo, sasa ameona Tz tunamharibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…