Katika vielelezo nilivyoweka hapo chini, mwanahalisi lipo!
Bora ulivomjibu maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika vielelezo nilivyoweka hapo chini, mwanahalisi lipo!
Bora ulivomjibu maana
Kuna mijitu imezaliwa na ubishi, inaweza kubishana na redio
Bora ulivomjibu maana
Kuna mijitu imezaliwa na ubishi, inaweza kubishana na redio
Hakuna ukweli mr,na wewe naona unataka kama story kamaunavyo itaka,haya mambo ya tutsi empire ni story za wahutu tu wanaotaka kuhalalisha mauaji ya watutsi,ninacho kubali nikwamba kabla ya ujio wa koloni watusi walikua watawala wa eneo kubwa la east afrika na congo mashariki,sasa hayayote niuoga wa watu wakifikiri watusi wanataka kurudisha himaya zao,kuhusu mauaji ya watusi ni ukweli mtupu,tatizo wahutu hawataki kusikia hiyo habari kwani inawafanya wenye hatia.
Halafu anataka kutuambia sisi tulipo eneo la tukio hali inavyokwenda eneo la maziwa makuu
Hapo kwenye red: ni kweli mauaji ya watutsi yalifanyika kwani wahautu waliwaua watutsi. na ni kweli pia kuwa watutsi nao waliwaua wahutu. kwa maana hiyo, ukitaka kuwa muungwana na mtu wa kuleta mshikamano wa kudumu kati ya wahutu na watutsi na kutohadaa jumuia ya kimataifa, ni vema kusema mauaji dhidi ya wanyarwanda. Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza ukabila na ubaguzi zaidi.
Bora ulivomjibu maana
Thank you for your article, umetufungua wengi sana, tusubiri simulizi upande wa pili
hahaha, Mkuu Yericko ameandika na Source mwisho wa Thread ila mtu ye kasoma kijujuu ghafla anakuja kutoa Comment.
kukaa kimya kwa serikali ya tanzania tangu vita ya kumwondosha mobutu, mauaji ya mzee kabila yaliyofanywa na rwanda na uganda, na kuendelea kuvumilia wimbi la wakimbizi linalojulikana kama fldr na interahamwe, bila kusahau mafuriko ya maiti ya wahutu na watusi mto kagera na mengineyo mengi yanayosababishwa na sera dhalimu na mfu za dikteta kagame, hawa jamaa walifikiri hatujui undani wa yanayoendelea drc na rwanda kwenyewe pamoja na mbinyo mkali wa habari unaofanywa na serikali y a mdhalimu kagame
hapo huwezi kuelewana na mtusi yeyote, watapataje huruma ya kimataifa ya kuendelea kuivamia kongo na kuua wahutu wasiyo na hatia kwa kisingizio mfu cha interahamwe na fldr?
Sasa tumeamua kuwadhiti kwa kila njia,
Nimetoa comment zangu baada ya kusoma pages za mwanzo kuna baadhi ya wanaukumbi walikuwa wanahoji sources ni bahati sikupenda kurelay with quote.Kuna ubaya gani nikisema habari za Yericko nilishawahi kuzisoma katika gazeti la Mwahalisi ?.
Mimi si lijitu ni mtu kama wewe usilete dharau za uswahilini hapa.
wamebaki kulia kama mbuzi aliyebanwa na mlango wasijue la kufanya, na jamii ya kimataifa inawajua sawa hawana tena jipya la kuhadaa ulimwengu, ni muda tu unasubiriwa. Time will beep soon!
Atarudi tu, hao ndio Wanyarwanda wenyeweKoba utarudi lini kwenu?
1.Je umeisha wahi fika kivu kaskazini? basi nenda wanachi wa pale watakuonyesha mpaka wa ufalme wa rwanda,hata miji yote ya kivu kaskazini inamajina ya kinyarwanda historia inajieleza yanyewe,wazungu wamejaribu kuharibu hiyo historia lakini on ground yanajionyesha yenyewe,ruchuru na masisi hizo zilikua katika himaya ya ufalme wa wanyarwanda.
2.Watusi wa congo wakati wa mobutu haikua sana ila ilikuja kuchachamaa wakati interahamwe zilipo shindwa na majeshi ya RPF basi walifika huko na kuendeleza mauaji kwa kuwaua watutsi walio wakuta huko,na ukumbuke wakati wa mapambano ya RPF serikali ya habyarimana watusi wengi wa congo walienda kusaidia RPF,sasa waliporudi walikuta n'gombe zao zimeliwa,ndugu zao wameuwawa na hao interahamwe,sasa ndio vita ya kabila ilianza na kushirikiana naye lakini lengo lao ilikua kurudi nyumbani,but kabila aliwageuka kutokana na influence of some countries,ndio kabila akarudia kushirikiana na interahamwe mpaka leo ndiyo hiyo vita wanaendelea nayo kwa ufupi ni hivyo.
Mkuu umetoa maelezo mazuri sana na ya kweli,Muka,
Huna sababu ya kufika Kivu kujua historia ya huko.
- Si kweli kusema kuwa kulikuwa na mpaka wa Wanyarwanda ndani ya DRC maana hakuna ushahidi wowote. Wanyarwanda waliopo DRC wachache walienda kufanya kazi na waliowengi (Wanyamulenge) walihamia kukimbia mauaji miaka ya 1959-64. Utawala wa 'Mwami' ulitegemea vitisho vya kishirikina kwenye kutawala na ndio maana haukuwa na nguvu kivita kama vile Wazulu n.k. na ndio maana haukuwa na uwezo wa kupanuka licha ya uhaba wa ardhi.
- Kujiunga kwa waTutsi wliokuwa DRC kwenye kikundi cha RPF ilisababisha 'loyalty' yao kuwekwa mashakani. Kwa hiyo Wakongo ndio maana wakawakataa kabisa ingawa hapo awali wangeweza kuwakubali kuwapa uraia. Lakini RPF wanataka wahalalishwe huko Kongo ili waweze kumega eneo la Kongo na kuliunganisha na Rwanda. Ndio maana kwenye sera ya Kagame, amewaita Wanyarwanda wote warudi nyumbani lakini hao wa Kongo anadai ni Wakongolese.
- Tatizo la Rwanda ni la baadhi ya koo kujiona kuwa wao ndio wenye haki ya kutawala wengine kwa vile walisifiwa na wakoloni kuwa wao ni bora zaidi kuliko watu wengine. Hii sio kati ya Watutsi vs Wahutu, bali pia ipo kati ya Watutsi vs Watutsi. Ndio maana Watutsi kwa Watutsi nao wanachinjana hata ndani ya RPF.