Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Mkuu Yericko nikuhulize kitu? Kuna analysis nilifanya kwa ufupi sana kuonyesha mikakati ya jamaa zetu hawa Watutsi za kutaka kujenga/tanua Himaya yao in phases, nilianzia Uganda, nikaja Rwanda yenyewe mwisho DRC ingawa ufafanuzi wangu ulikuwa in a watered down format hii haina maana kwamba wana JF hawajui in details tishio la jamaa hawa. Back to the point for some strange reason ume-truncate sehemu iliyo kuwa inazungumzia utekelezaji wa phases hizo badala yake ukabakiza yale yaliyo kuwa yanawafagilia kwa mbali kabila la Watutsi, nataka kuwa muwazi hapa - kitendo hicho kilinishangaza kidogo, looking back now kuna kitu nimekumbuka niliwahi kusoma Minaki na mmoja wa ndugu zako tulikuwa tunaishi bweni moja la Makongoro.... naishia hapo.
Ndo tatizo lenu wabongo,hapo ulipoishia ndipo ulipofeli kukomesha uovu,Yericko Nyerere nimwovu kwenye hili na amenishangaza sana hata mimi,ni wiki iliyopita sijui nilikuwa nasoma gazeti gani la kibongo linaelezea jinsi makamanda wa Paul Kagame walivyokimbia nchi na huyo mmoja ni mtusi anakiri wazi kwamba serikali ya Kagame ni ya kiuaji anaendelea kusema kuwa ameua wahutu wengi sana na kuwamaga mizoga yao kwa maelfu mtoni iliwe namba na akatoa pendekezo kuwa hata mifupa mingi iliyohifadhiwa kwenye jumba la makumbusho ya mauaji ya kimbari ni mabaki ya jamii zote mbili za kihutu na kitutsi na akapendekeza ufanywe hata uchunguzi wa vinasaba(DNA) kuthibitisha hayo madai yake.Sasa mtu kama Yericko anapofunguka kimbwigambwiga hapa na akiachiwa tu nyie mnaofahamu kwa kutomalizia mnachoahamu kinachoweza kuwa msaada wa kutufanya tusiendelee kupoteza muda hapa,kukaa kwenu kimya ni uangamivu wa muda wetu wa maana,wewe funguka tu kisha utuachie wadau tumuweke mahali pake panapomfaa.
 
Mkuu Y Nyerere,
Nakupongeza umejitahidi kufanya home work yako, kwanza naomba urekebishe Kigeri siyo Mototo wa MWami Rutahingwa ni mdogo wake, alipewa ufalme tu kwakuwa mfalme hakuzaa. Raisi wa kwanza ni Dominc Mbonyemutwa siyo kaibanda. Again makubaliano ya Lemera yalikuwa na lengo la ushirikiano na serikali mpya ya Kabila na usalama Kwa upande wa Ruhengeri baada ya Mobutu kusuport serikali ya Habyarimana na wafuasi wake hence attacks za Nterahamwe. Remember Kisangani war between Rwanda and Uganda, so huo ni uvumi kuhusu kuigawa congo. Mzee Kabila was trick sana hata 1998 and 1970 alipopewa support na akina Nyerere alifanya same issue.
 
Mkuu uwanja nimpana sana, hoja ya maneno 36500 ni dhihaka kujibiwa kwa maneno 15,hii ni kujipunja bila kujua

Ikiwa kuna lolote ulijualo ama unalotaka kujua kunjua moyo wako ndugu na akili yako itakuwa huru,
 
Mkuu Y Nyerere,
Nakupongeza umejitahidi kufanya home work yako, kwanza naomba urekebishe Kigeri siyo Mototo wa MWami Rutahingwa ni mdogo wake, alipewa ufalme tu kwakuwa mfalme hakuzaa. Raisi wa kwanza ni Dominc Mbonyemutwa siyo kaibanda. Again makubaliano ya Lemera yalikuwa na lengo la ushirikiano na serikali mpya ya Kabila na usalama Kwa upande wa Ruhengeri baada ya Mobutu kusuport serikali ya Habyarimana na wafuasi wake hence attacks za Nterahamwe. Remember Kisangani war between Rwanda and Uganda, so huo ni uvumi kuhusu kuigawa congo. Mzee Kabila was trick sana hata 1998 and 1970 alipopewa support na akina Nyerere alifanya same issue.

Oooho jambo jema sana mkuu, hakika mkuu wewe unayo mengi uyajuayo, tafadhali tulishe nduguzo mkuu wangu!
 
Mkuu Y Nyerere,
Nakupongeza umejitahidi kufanya home work yako, kwanza naomba urekebishe Kigeri siyo Mototo wa MWami Rutahingwa ni mdogo wake, alipewa ufalme tu kwakuwa mfalme hakuzaa. Raisi wa kwanza ni Dominc Mbonyemutwa siyo kaibanda. Again makubaliano ya Lemera yalikuwa na lengo la ushirikiano na serikali mpya ya Kabila na usalama Kwa upande wa Ruhengeri baada ya Mobutu kusuport serikali ya Habyarimana na wafuasi wake hence attacks za Nterahamwe. Remember Kisangani war between Rwanda and Uganda, so huo ni uvumi kuhusu kuigawa congo. Mzee Kabila was trick sana hata 1998 and 1970 alipopewa support na akina Nyerere alifanya same issue.

Mkuu Herod Masud,

Nyaraka za Moabi BKK zinabainisha kuwa Mwami Kigeri V alikuwa ni mtoto wa Mwami Mutara Rudahigwa aliyejiita pia Charles,

Vivyo hivyo taarifa za kijasusi za CIA na hata zile za majasusi wa Tanzania TISS zina sema wazi kuwa L. Kabila alidhamiria kuingia ikulu ya Kinshasa kwa gharama yoyote hata kwa kuuza nchi, na ndipo makubaliano ya Lemera yaliyokuwa na lengo la kuimega Kongo na kusimika dola la Kitutsi,

Hata alipoingia madarakani L. Kabira alikiri kuingia mkataba huo lakini akapuuza kwakusema yale ni maandishi ya mstuni tu hayana maana yoyo, hivyo hawezi kuuza Kongo kienyeji!
 
Mkuu Yericko Nyerere

Nimeona uhusika wa Mwl Nyerere katika kutoa hifadhi kwa wapambanaji na baadhi ya makundi ya waasi, Hii imekaaje??
 
Last edited by a moderator:

Ninachofahamu nikuwa Mwalimu Nyerere na serikali yake hajawahi kufadhiri vikundi vya UASI, bali siku zote alikuwa radhi kwa gharama yoyote kusaidia vikundi vya UKOMBOZI tu, katika hili dunia na hasa Mataifa yote ya kusini mwa jangwa la Sahara hawatomsahau Mwalimu,
 
Ikiwa kuna ushahidi usio na shaka juu ya madai yakuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na serikali yake walijihusisha na UFADHILI ama kuunga mkono vikundi vya WAASI katika dunia hii ni vema ukawekwa wazi ili dunia ifahamu hivyo, kumbuka waamini wa Kanisa Katoliki Duniani wapo kwenye mchakato wa kumfanya Julius Nyerere kuwa Mtakatifu wao, hivyo doa lolote laweza kuwa kikinza kwao, lete ukweli wa ukijuacho mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Ninachofahamu nikuwa Mwalimu Nyerere na serikali yake hajawahi kufadhiri vikundi vya UASI, bali siku zote alikuwa radhi kwa gharama yoyote kusaidia vikundi vya UKOMBOZI tu, katika hili dunia na hasa Mataifa yote ya kusini mwa jangwa la Sahara hawatomsahau Mwalimu,
Lakini mkuu
inaonekana Mzee Kabila Senior aliishi hapa Dar na kupewa hifadhi wakati anaendesha harakati zake za uasi dhidi ya Mobutu, Ina maana dhamira ya Kabila kuigawa Kongo chini ya makubaliano ya Lemera mwalimu hakiujua??? au iliibuka jamaa wakiwa msituni bila Mwalimu kuwa na taarifa??

Kuna taaarifa pia Mwalimu alimpa saport sana Mzee kabila hata baada ya kuingia ikulu na hata ulinzi, Hii imekaaje??
 
Kwanza tuwekane sawa hapa, Laurent Kabila hakuwa muasi, alikuwa ni mpigania ukombozi dhidi ya dikteta Mobutu ndiomana Mwalimu alimuunga mkono,
 
Yericho, kiongozi mwanzilishi wa RPF alikuwa ni Fred Rwigema ambaye alikuja kuuwa kwa hila za Kagame na ndipo Kagame akachukua uongozi wa RPF. Nasubiria wachangiaje watasemaje kuhusu kuhusika kwa Nyerere katika mpango huu.
 
Rwanda ni kanchi kadogo sana, jamaa anafanya alienation kwa njia ya vita, ndo maana anaona tuna kidomodomo wakati tuna linchi likuuuuuuuubwa!
Angalau umefungua akili ya baadhi ya watu ambao hawajui kinachoendelea, though kama simulizi ziko biased hivi na pia huja credit madesa ya watu kwa kutosite sources
 
Yericho, kiongozi mwanzilishi wa RPF alikuwa ni Fred Rwigema ambaye alikuja kuuwa kwa hila za Kagame na ndipo Kagame akachukua uongozi wa RPF. Nasubiria wachangiaje watasemaje kuhusu kuhusika kwa Nyerere katika mpango huu.

Hehee mkuu, hapa unataka kutupa ujumbe lakini ujumbe huu ni mzito, siwezi kupinga ila nitasema kile ninachokifahamu na nitaruhusu moyo na akili yangu kupokea habari ngumu!
 
Asnte kwa kuwa mnakili mzuri, lakini kuna vitu ambavyo umekwenda biased mf. baada ya Kagame kuingia madarakani wahutu wengi sana wanauliwa kimya kimya. Hujatueleza kiundani Chimbuko la Kagame na Museveni
 
Asante sana mkuu na karibu sana,

Nikweli sijaeleza kwaundani mauaji aliyoyaendesha Paul Kagame dhidi ya Wahutu baada ya kushika hatamu, vile vile nimeeleza kwa wastani tu Uhususiano wa Yoweri Kaguta Mseveni na Paul Kagame hasa nikieleza zaidi mashirikiano yao katika mkataba wa Lemera wakuiuza Kongo,

Lakini kama umenisoma vema kwenye mstari, nimeeleza namna ya jamii za Kitutsi mnamo karne ya 16 hadi 19 zilivyohamia Uganda zikitokea Rwanda, zingatia mahali niliposema mtawala yule aliikimbia Rwanda, Yoweri Mseveni ni miongoni mwa jamii hizo kiasili
 
Mkuu Herod Masud,

Nyaraka za Moabi BKK zinabainisha kuwa Mwami Kigeri V alikuwa ni mtoto wa Mwami Mutara Rudahigwa aliyejiita pia Charles,

Vivyo hivyo taarifa za kijasusi za CIA na hata zile za majasusi wa Tanzania TISS zina sema wazi kuwa L. Kabila alidhamiria kuingia ikulu ya Kinshasa kwa gharama yoyote hata kwa kuuza nchi, na ndipo makubaliano ya Lemera yaliyokuwa na lengo la kuimega Kongo na kusimika dola la Kitutsi,

Hata alipoingia madarakani L. Kabira alikiri kuingia mkataba huo lakini akapuuza kwakusema yale ni maandishi ya mstuni tu hayana maana yoyo, hivyo hawezi kuuza Kongo kienyeji!

Du! ndo marayakwanza nasikia hilo,basi kama ni mkataba itabidi watimize ahadi,kwani mkataba ni mkataba mnasemaje hapo,hata mimi siwezi kubali kama nikweli yani wapoteze maisha yao kwa pimbi kabila,halafu awageuke? But kwahili hakuna ukweli wowote,huo niuzushi wa wakongo ili kesi ya M23 waifanye ya rwanda.
 
Asante sana mkuu na karibu sana,

Nikweli sijaeleza kwaundani mauaji aliyoyaendesha Paul Kagame dhidi ya Wahutu baada ya kushika hatamu, vile vile nimeeleza kwa wastani tu Uhususiano wa Yoweri Kaguta Mseveni na Paul Kagame hasa nikieleza zaidi mashirikiano yao katika mkataba wa Lemera wakuiuza Kongo,

Lakini kama umenisoma vema kwenye mstari, nimeeleza namna ya jamii za Kitutsi mnamo karne ya 16 hadi 19 zilivyohamia Uganda zikitokea Rwanda, zingatia mahali niliposema mtawala yule aliikimbia Rwanda, Yoweri Mseveni ni miongoni mwa jamii hizo kiasili

Ahaha! huyu ndie mchambuzi wa mambo ya watutsi,mbona muhutu lazima ataegemea upande wao bora mtafute mmakonde labda anaweza kuchambua bila kuegemea upande wowote.
 
Back
Top Bottom