Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Hata mie naona hivo... cdm imesahau utaifa kabisa.. inamshabikia kagame

Chadema sio kuunga mkono kagame,wao wanaujua ukweli na kuuacha kama ukweli,sio jk anaujua ukweli anajifanya kasahau,nani asiyejua kwamba mauaji yakimbali yalifanya na hao jeshi la habyarimana na hao interahamwe walio jigeuza jina na kujiita FDLR, yani mchezaji yule yule kabadilisha jezi,hayo ya jk ndio tunaita unafiki,unakumbuka yule kiongozi wa FDLR aliye kamatiwa kigoma alikua ametoka kuonana na jk,sasa hayo ya maongezi kati ya pk na FDLR yangewezekana vipi wakati inajulikana wanapanga kushambulia rwanda na jk analijua hilo,unafiki mtupu!
 
Huo ndio ukweli,rudi kwa history uangalie tawala za kihima east afrika hata humu tanzania walikuwepo,fanya research,udogo wa watu hauhalalishi kutokua mtawala,hii ndio inaonyesha jinsi watutsi walivyo kua wakipendwa na watu,najua wengi jamvini ni wasomi please fanya research on tutsi kingdom in eastafrika mutaona ukweli wake.
Tawala hizo zilikuwa zama hizo kweusi si sasa hivi. Watutsi watabaki wanatawala kwao huko waliko na si kwingine.
 
Yeriko nyerere, umegusagusa tu historia ya rwanda na hasa machafuko. Nchi ya rwanda ilikuwa na uchumi mzuri,barabara za lami, umeme,usafiri wa uhakika wakati wa habyalimana.watusi walijua ata wakiruhusiwa kurud rwnda,hawatakuja tawala kwani wananchi walimpenda sana habyalima na chama chake cha mrnd.hebu google hii<the rwandan genocide/global. Harafu google< did lizinde shot down habyalimana plane?. Utakayoyasoma humu rud apa utupe mrejesho. Wahutu waliokufa kwenye machafuko ya rwanda ni wengi sana. Soma lakini pata muhutu aliyekimbia machafuko,akikusimlia hautaskia propaganda za kagame with his allies
 
Yericko Nyerere

Sasa nimeamini kuwa UKOO wa NYERERE ni WATUSI.

Umepotosha sana historia Ndugu yangu sijuhi kwanini.Ila Historia haiwezi kukamilika bila kuzungumzia yafuatayo:-

1. Uhusiano wa Kanisa Katoliki katika kuchochea chuki za Watusi na wahutu.

2. Mauji ya Wahutu zaidi ya 200,000. Miaaka ya 60. Maana wewe makala yako yote unaonyesha ni watusi tu ndio waliouwawa lakini wahutu hapana, Hii ni chuki ya moja kwa moja kwa wahutu.

Bado hujaonyesha kupotosha kwake , ulichofanya ni kuongeza mambo ambayo yeye hakuyagusia. sio rahisi ku cover matukio yote.
 
Last edited by a moderator:
mkuu kibanga ampiga mkoloni, sielewi ulikuwa na umli gani wakati wa vita ya kagera na pia sijui kama unafahamu madai ya awali ya Idd Amin kuwa kagera ni sehemu yake simply because kiganda na kihaya vinashabihina. A simiral case kwa madai ya Banda wa muyaya kuwa mbeya yake, kisa wanyakyusa wako pia kipande ile, tatizo mnaongopewa na mnaamini!

Hata mimi kanishangaza!! bila shaka aliipata story hiyo kwenye vijiwe vya ghahawa.
 
Mkuu Yericko nikuhulize kitu? Kuna analysis nilifanya kwa ufupi sana kuonyesha mikakati ya jamaa zetu hawa Watutsi za kutaka kujenga/tanua Himaya yao in phases, nilianzia Uganda, nikaja Rwanda yenyewe mwisho DRC ingawa ufafanuzi wangu ulikuwa in a watered down format hii haina maana kwamba wana JF hawajui in details tishio la jamaa hawa. Back to the point for some strange reason ume-truncate sehemu iliyo kuwa inazungumzia utekelezaji wa phases hizo badala yake ukabakiza yale yaliyo kuwa yanawafagilia kwa mbali kabila la Watutsi, nataka kuwa muwazi hapa - kitendo hicho kilinishangaza kidogo, looking back now kuna kitu nimekumbuka niliwahi kusoma Minaki na mmoja wa ndugu zako tulikuwa tunaishi bweni moja la Makongoro.... naishia hapo.
 
Mkuu msitake kujichanganya congo sio tanzania,ile congo kaskazini ilikua rwanda,labda kama mnahisi kunasehemu ya tanzania ilikua rwanda,nakingine kilicho wafanya kushika silaha ni unyanyasaji wanaofanywa na interahamwe na serikali ya congo,mbona congo ina makundi zaidi ya 40 lakini hao hawasemwi? Hii ni chuki kwa watusi tu,tanzania aiwezekani.

Mukamasimba,

  1. Una ushahidi gani kuwa kuna eneo la Congo ambalo lilikuwa ni sehemu ya Rwanda? Nimesoma sana historia ya Rwanda-Urundi na GL lakini sijaona mahali penye hilo uliloandika, je umelisikia wapi?
  2. M23 na watutsi wengine wa DRC hawakushika silaha kwa sababu ya kunyanyaswa maana kama ni kunyanyaswa tokea enzi za Mabutu walikuwa wananyanyaswa. Walishika silaha baada ya kuwa na uhakika wa msaada na RPF.
Mahitimisho yako yanafanana zaidi na matamko ya Kagame kuliko ukweli wa historia.
 
1.Je umeisha wahi fika kivu kaskazini? basi nenda wanachi wa pale watakuonyesha mpaka wa ufalme wa rwanda,hata miji yote ya kivu kaskazini inamajina ya kinyarwanda historia inajieleza yanyewe,wazungu wamejaribu kuharibu hiyo historia lakini on ground yanajionyesha yenyewe,ruchuru na masisi hizo zilikua katika himaya ya ufalme wa wanyarwanda.
2.Watusi wa congo wakati wa mobutu haikua sana ila ilikuja kuchachamaa wakati interahamwe zilipo shindwa na majeshi ya RPF basi walifika huko na kuendeleza mauaji kwa kuwaua watutsi walio wakuta huko,na ukumbuke wakati wa mapambano ya RPF serikali ya habyarimana watusi wengi wa congo walienda kusaidia RPF,sasa waliporudi walikuta n'gombe zao zimeliwa,ndugu zao wameuwawa na hao interahamwe,sasa ndio vita ya kabila ilianza na kushirikiana naye lakini lengo lao ilikua kurudi nyumbani,but kabila aliwageuka kutokana na influence of some countries,ndio kabila akarudia kushirikiana na interahamwe mpaka leo ndiyo hiyo vita wanaendelea nayo kwa ufupi ni hivyo.
 
Mkuu Yericko nikuhulize kitu? Kuna analysis nilifanya kwa ufupi sana kuonyesha mikakati ya jamaa zetu hawa Watutsi za kutaka kujenga/tanua Himaya yao in phases, nilianzia Uganda, nikaja Rwanda yenyewe mwisho DRC ingawa ufafanuzi wangu ulikuwa in a watered down format hii haina maana kwamba wana JF hawajui in details tishio la jamaa hawa. Back to the point for some strange reason ume-truncate sehemu iliyo kuwa inazungumzia utekelezaji wa phases hizo badala yake ukabakiza yale yaliyo kuwa yanawafagilia kwa mbali kabila la Watutsi, nataka kuwa muwazi hapa - kitendo hicho kilinishangaza kidogo, looking back now kuna kitu nimekumbuka niliwahi kusoma Minaki na mmoja wa ndugu zako tulikuwa tunaishi bweni moja la Makongoro.... naishia hapo.

Sasa wewe unataka apotoshe ukweli kwa sababu wanaongea vizuri watusi usio wapenda,je hili sakata lawezakua mwanzo wa vita kati ya watusi na wabantu?
 
Mkuu wangu karibu sana,

Kwanza nikushukuru sana kwakuwa wewe ndiye uliyenihamasisha wiki jana katika uzi ule wa Mzee Mwanakijiji juu ya Rwanda, nami nikaamua kuandika makala haya japo kwa ufupi,

Nimeandika kwa ufupi ufupi tu kulingana na mazingira yangu,

Nikushukuru tena kwakuleta mawazo mapya tena,
 
Sasa wewe unataka apotoshe ukweli kwa sababu wanaongea vizuri watusi usio wapenda,je hili sakata lawezakua mwanzo wa vita kati ya watusi na wabantu?
Wala sijui unataka kuzungumza kitu gani hapa, unamsemea yeye hana mdomo?? Wewe unatoka mkoa gani kwanza - umewahi kuishi NAO kujua undani wao, sijasema kila Mtutsi ana hila ukiangalia sana sana nazungumzia Viongozi wao, unataka tukae kimya alafu matatizo ya KIVU/GOMA yahamie mkoni kwetu - no WAY. Wewe uwezi kuwa Mtanzania, yaani unajifanya kipofu you don't know janga linalo linyemelea Taifa letu under our WATCH!!!!! Au na wewe you are among the sleeper cells waiting an opportune time to spring - mnafikili Watanzania tu wajinga, wangapi hapa wametoa comments karibu zinazo fanana na za kwangu kuhusu uzi huu, mbona uwasemi i.e why pick on me. Au kuna kitu kime hit HOME. Kama wangekuwa walao na busara za kuishi na wanadamu wenzao kwa amani na kuwaheshimu nani angepoteza muda wa kuwasema. Watanzania wahache kuzungumza hatari inayo tukabili tuishie kwenye stori za Mwami Mwambuza na nyimbo za "Ati mwana wa tata Kigeri wa katanda ati owe nyana zose zikabilila zose" afalu waje kutumaliza hapo baadae - watu wanakuwa na ujasiri wa kutishia maisha ya kiongozi wa nchi huru alafu unakuwa na guts za kuja kuwatetea hapa! Kama unaona wanaonewa fuatana nao kwao. Tanzania imepokea wakimbizi wangapi wa kabila la Kitutsi ambao wametulia umewahi kusikia wanahamuriwa kurudi kwao, wengine wamewahi kushika madaraka kwenye vitengo nyeti wamekaa wametulia hawana labsha na mtu, sisi tunazungumzia hawa wapenda vita kupindukia.
 
Mkuu wangu karibu sana,Kwanza nikushukuru sana kwakuwa wewe ndiye uliyenihamasisha wiki jana katika uzi ule wa Mzee Mwanakijiji juu ya Rwanda, nami nikaamua kuandika makala haya japo kwa ufupi,Nimeandika kwa ufupi ufupi tu kulingana na mazingira yangu,Nikushukuru tena kwakuleta mawazo mapya tena,
Okay Yericko nimekuelewa yamekwisha, labda tujaribu ku-tone down rhetoric kuhusu Mh.Kagame tuzungumzie zaidi ABAHIMA waliwahi kutawala kuanzia wapi mpaka wapi na wako related kivipi na Abahinda, Abankango, Ababito nk vile vile ABAHILU wanatokana na uzao gani na kwa nini walijulikana hivyo - vitu kama hivyo for a change.
 
Wala sijui unataka kuzungumza kitu gani hapa, unamsemea yeye hana mdomo?? Wewe unatoka mkoa gani kwanza - umewahi kuishi NAO kujua undani wao, sijasema kila Mtutsi ana hila ukiangalia sana sana nazungumzia Viongozi wao, unataka tukae kimya alafu matatizo ya KIVU/GOMA yahamie mkoni kwetu - no WAY. Wewe uwezi kuwa Mtanzania, yaani unajifanya kipofu you don't know janga linalo linyemelea Taifa letu under our WATCH!!!!! Au na wewe you are among the sleeper cells waiting an opportune time to spring - mnafikili Watanzania tu wajinga, wangapi hapa wametoa comments karibu zinazo fanana na za kwangu kuhusu uzi huu, mbona uwasemi i.e why pick on me. Au kuna kitu kime hit HOME. Kama wangekuwa walao na busara za kuishi na wanadamu wenzao kwa amani na kuwaheshimu nani angepoteza muda wa kuwasema. Watanzania wahache kuzungumza hatari inayo tukabili tuishie kwenye stori za Mwami Mwambuza na nyimbo za "Ati mwana wa tata Kigeri wa katanda ati owe nyana zose zikabilila zose" afalu waje kutumaliza hapo baadae - watu wanakuwa na ujasiri wa kutishia maisha ya kiongozi wa nchi huru alafu unakuwa na guts za kuja kuwatetea hapa! Kama unaona wanaonewa fuatana nao kwao. Tanzania imepokea wakimbizi wangapi wa kabila la Kitutsi ambao wametulia umewahi kusikia wanahamuriwa kurudi kwao, wengine wamewahi kushika madaraka kwenye vitengo nyeti wamekaa wametulia hawana labsha na mtu, sisi tunazungumzia hawa wapenda vita kupindukia.
Kumbe wewe ni muha wa Kigoma?so mbona waha wengi tuu ni watutsi wa asili sasa unachukiaje ndugu zako? au nao huwataki unafikiri sio watanzania? mna kazi sana nyie watu na hizo hate zenu ya watutsi
 
Mkuu hujamwelewa hasa anachozungumza,

Katika hili tukiweka hisia tukautenga ukweli halisi tutakuwa tunakosea,
 
Okay Yericko nimekuelewa yamekwisha, labda tujaribu ku-tone down rhetoric kuhusu Mh.Kagame tuzungumzie zaidi ABAHIMA waliwahi kutawala kuanzia wapi mpaka wapi na wako related kivipi na Abahinda, Abankango, Ababito nk vile vile ABAHILU wanatokana na uzao gani na kwa nini walijulikana hivyo - vitu kama hivyo for a change.

Wazo jema sana,

Nafikiri kuna haja kubwa ya kuanzia karne ya 16 BKK kurudi nyuma tujue namna Wahutu na Watusi walivyoingia Rwanda na kumeza jamii ndongo ya Watwa waliyoikuta pale,
 
Hata ww ni muongo, kipindi Rwigyema anauawa Kagame alikua masomoni America, kifo hicho hicho kilipelekea PK kukatisha masomo ili kuja kuendeleza mapambano, huyo Mtikila unaedai kumwamini na yeye ni muongo na mnafki kama wewe tu!
Read between the lines! "inasemekana.....halafu kuhusika sio lazima uwepo physically"
 
Back
Top Bottom