Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Kumbe wanamaduka makubwa? Mnawaoneagere? sasa wakati umefika wakula mali zao,kumbuka jasho la mtu haliliwi,nanyie chapeni kazi mtajirika kama wao.

Huo ni mtazamo finyu sana mkuu,

Kile Rwanda inachokifanya Kongo laiti ungefunguka macho nakuona usingesema haya!
 
Hahaa mkuu sijapendelea, nimeeleza kile nikijuacho tu
Aaaah, kumbe ni kile ukijuacho! sawa! Umepotoka vingi sana, sina muda wa kutosha kukuweka sawa ila kwa kuanzia tu ni kwamba kagame hakua kiongozi wa RPF wakati wanaanza vita, kiongozi alikua ni Fred Rwigyema alieuawa vitani na inasadikiwa Kagame ndie mhusika wa kumuua! Pia kwa mujibu wa waraka wa mtikila (ambao kwa kiwango kikubwa umefanyiwa utafiti wa kutosha) habari zako nyingi ni za uongo
 
Mkuu kuna weza kua na ukweli kwani inasemekana kikwete ni muhutu wa burundi,wazazi wake walikuja wakati wa kilimo cha mkonge tanga,sasa tusije kua tuko katika mgogoro wa wahutu na watutsi bila kujifahamu.

Hehee hilo watakubishia mpaka utatukanwa vibaya,

Hawapendi hayo kabisa!
 
Sijui cha kuchangia inapofika story the kikabila kabila. Nasikia amatiku sana.
 
Aaaah, kumbe ni kile ukijuacho! sawa! Umepotoka vingi sana, sina muda wa kutosha kukuweka sawa ila kwa kuanzia tu ni kwamba kagame hakua kiongozi wa RPF wakati wanaanza vita, kiongozi alikua ni Fred Rwigyema alieuawa vitani na inasadikiwa Kagame ndie mhusika wa kumuua! Pia kwa mujibu wa waraka wa mtikila (ambao kwa kiwango kikubwa umefanyiwa utafiti wa kutosha) habari zako nyingi ni za uongo

Nilidhani unajua kitu kumbe hujui,

Unaleta yale yale ya "inasemeka"??

Duuh waswahili sisi tunakasumba mbaya sana,

Kwahiyo kwako Mtikila ni biblia/msahafu?,

Nikuulize swali la kizushi,

Kwanini Kagame hakwenda kuwa Rais tangu siku zile ya usiku wa mauaji ya rais 1994, akamuachini Bizmungu kisha akampinduliwa 2000?
 
Nilidhani unajua kitu kumbe hujui,

Unaleta yale yale ya "inasemeka"??

Duuh waswahili sisi tunakasumba mbaya sana,

Kwahiyo kwako Mtikila ni biblia/msahafu?,

Nikuulize swali la kizushi,

Kwanini Kagame hakwenda kuwa Rais tangu siku zile ya usiku wa mauaji ya rais 1964, akamuachini Bizmungu kisha akampindua 2000?

1. Ni kweli lazima nitumie inasemekana kwasababu ni habari ambayo haijathibitishwa na uchunguzi wowote huru!, Pia we mwenyewe ulivyoandika vyote ni historia ambayo ni mambo yanayosemekana!, au ulishuhudia? (Cha muhimu ni kukubali tu kwamba Kagame hakua kiongozi wa RPF wakati vita inaanza, wala hakuwepo Africa, alikua Marekani)
2. Mtikila alitoa ushahidi, we unataka tukubali habari yako ambayo ni baseless!, we ndio biblia au msahafu? Kasumba mbaya ndio hii sasa!
3. Uandishi tena wa historia kama huo wako hauwezi kukosa reference ikawa habari ya kuthaminiwa! haina tofauti na story za shigongo!
3. Maswali ya kizushi huwa sijibu, 1964? raisi yupi?
4. Mi sio mswahili, ni mtanzania
 
Hehee hilo watakubishia mpaka utatukanwa vibaya,

Hawapendi hayo kabisa!

Hapa nimekufahamu, nilidhani we ni mwandishi huru usiefungamana na upande wowote kumbe sio...! Hata nyerere walisema ni mtusi akakanusha. Waandishi mnaopotosha kama nyie Kagame aliwapiga risasi hadharani uwanjani (Hapa napo utasema namsingizia)
 
1. Ni kweli lazima nitumie inasemekana kwasababu ni habari ambayo haijathibitishwa na uchunguzi wowote huru!, Pia we mwenyewe ulivyoandika vyote ni historia ambayo ni mambo yanayosemekana!, au ulishuhudia? (Cha muhimu ni kukubali tu kwamba Kagame hakua kiongozi wa RPF wakati vita inaanza, wala hakuwepo Africa, alikua Marekani)
2. Mtikila alitoa ushahidi, we unataka tukubali habari yako ambayo ni baseless!, we ndio biblia au msahafu? Kasumba mbaya ndio hii sasa!
3. Uandishi tena wa historia kama huo wako hauwezi kukosa reference ikawa habari ya kuthaminiwa! haina tofauti na story za shigongo!
3. Maswali ya kizushi huwa sijibu, 1964? raisi yupi?
4. Mi sio mswahili, ni mtanzania

Mkuu unaonyesha wazi unayo hoja moyoni na akilini mwako lakini unashindwa kuipangilia na kuiwasilisha hapa mkuu,

Hebu tuliza mapepe na presha, weka adabu mbele kisha lete hiyo hoja maalimu wangu!,

Ukiweka jazba maswala ya msingi yanayohitaji hoja, hata hoja uliyonayo huwa inapotea na kuwa vihoja!
 
Yericko Nyerere weka source(s) ya hili bandiko lako... Na sisi tupite humo kujiridhisha kama haya yana uhalisia.
 
Huo ni mtazamo finyu sana mkuu,

Kile Rwanda inachokifanya Kongo laiti ungefunguka macho nakuona usingesema haya!

Mkuu msitake kujichanganya congo sio tanzania,ile congo kaskazini ilikua rwanda,labda kama mnahisi kunasehemu ya tanzania ilikua rwanda,nakingine kilicho wafanya kushika silaha ni unyanyasaji wanaofanywa na interahamwe na serikali ya congo,mbona congo ina makundi zaidi ya 40 lakini hao hawasemwi? Hii ni chuki kwa watusi tu,tanzania aiwezekani.
 
Mkuu unaonyesha wazi unayo hoja moyoni na akilini mwako lakini unashindwa kuipangilia na kuiwasilisha hapa mkuu,

Hebu tuliza mapepe na presha, weka adabu mbele kisha lete hiyo hoja maalimu wangu!,

Ukiweka jazba maswala ya msingi yanayohitaji hoja, hata hoja uliyonayo huwa inapotea na kuwa vihoja!

Daima napenda Ukweli. Mtu ukiwa 'pretender' lazima uniudhi! Hii ni nini uliyoandika? una pretend kutojua ukweli? Ushahidi wooote uliopo? Mbona we hujasema unavyojua katika hili?

"Tarehe. 06.04.1994 rais Habariyama akirudi nchini kutoka safari ya Tanzania, Ndege yake ilipigwa kombora kabla ya kutua ikaanguka chini akafariki. Uwezekano ni mkubwa ya kwamba ni Wahutu wenye msimamo mkali ndio waliomua, lakini wengine walisema ni Jenerali Paul Kagame na RPF yake."

Umeandika eti wakimbizi wengi wamerudi Rwanda!, why hujamalizia kwamba walirudishwa kwa nguvu?, hujui kwamba majeshi ya kagame walivuka Congo wakawarudisha wakimbizi kwa mtutu?, Hujui kwamba waliua maelfu ya wakimbizi katika hiyo operation? Don't pretend! Hujui wakimbizi waliokua ngara walirudishwa kwa nguvu? (Uamuzi ambao hata tanzania walijutia maana waliorudi 1/4 waliuliwa)

Sipendi mhutu amwonee Mtusi wala sipendi mtusi amwonee mhutu, wote waishi kwa amani na upendo. Kila mtu awajibike kwa makosa yake au wote wasameheane waanze upya!

Kwa heri bwana Yeriko, siku nyingine usipotoshe, andika mambo kama yalivyo!

Hata ww ni muongo, kipindi Rwigyema anauawa Kagame alikua masomoni America, kifo hicho hicho kilipelekea PK kukatisha masomo ili kuja kuendeleza mapambano, huyo Mtikila unaedai kumwamini na yeye ni muongo na mnafki kama wewe tu!

Mbona inajulikana waraka wa mtikila aliandikiwa na interahamwe tu,walimtumia ili iweze kupata support kwa wantanzania na kuleta tafaruku baina ya nchi mbili rwanda na tanzania kingine mke wa mtikila naye ni muhamiaji haramu sijui kama jk ataweza kubana kwani wote ni walewale.
 
mtikila aliweza kuthibitisha je wewe unaweza kuthibitisha kwamba aliyoyaandika ni ya uwongo hata kama alipewa na interahamwe?
 
Mkuu msitake kujichanganya congo sio tanzania,ile congo kaskazini ilikua rwanda,labda kama mnahisi kunasehemu ya tanzania ilikua rwanda,nakingine kilicho wafanya kushika silaha ni unyanyasaji wanaofanywa na interahamwe na serikali ya congo,mbona congo ina makundi zaidi ya 40 lakini hao hawasemwi? Hii ni chuki kwa watusi tu,tanzania aiwezekani.

serikali yenu ni inanuka damu na kwa hili ni sawa na mtu aliyekunywa sumu kali, tunasubiri kuwazika!
 
mtikila aliweza kuthibitisha je wewe unaweza kuthibitisha kwamba aliyoyaandika ni ya uwongo hata kama alipewa na interahamwe?

Kathibitisha nini? kuhusu wakimbizi mbona walikuwepo hata pk hajazaliwa,huo ni uongo mtupu,yeye alikua ana target hao watusi kwani sio wote walio pewa uraia.
 
Back
Top Bottom