Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Hakuna ukweli mr,na wewe naona unataka kama story kamaunavyo itaka,haya mambo ya tutsi empire ni story za wahutu tu wanaotaka kuhalalisha mauaji ya watutsi,ninacho kubali nikwamba kabla ya ujio wa koloni watusi walikua watawala wa eneo kubwa la east afrika na congo mashariki,sasa hayayote niuoga wa watu wakifikiri watusi wanataka kurudisha himaya zao,kuhusu mauaji ya watusi ni ukweli mtupu,tatizo wahutu hawataki kusikia hiyo habari kwani inawafanya wenye hatia.
Dah!
Kweli mmeamua kudanganya Mchana Kweupe, Yani Watusi watawale Afrika Mshariki ?
Wacheni kujiongopea, Hawa Rwanda yenyewe ni kwa Kubebwa na Kanisa, watu wenyewe Wakuja hawa leo ndio watawale afrika mashariki?
Idadi yao Rwanda pekee ambapo ndipo wapo wengi ni 10 to 15 Percent ya population. Leo watawale Africa mashariki ?