Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Nimeipenda makala yako kama kuna mapungufu basi ni vema member mwingine aweke kilichotokea upande wa pili.

Asante sana, nimewaomba wale wenye mawazo tofauti au wale wajuao kinyume na haya basi angalau watufunze nasi lakini imekuwa kinyume!
 
Mkuu naomba utumie neno zuri linalowafaa Watutsi NI WATU WAKUDHARAU WENYE ASILI YA KIBANTU NA KUWANYANYAPAA.Tunao mitaani wakijisifia uzuri wa dada zao na kuona hata ukimwoa Mtutsi atajiiba akasex na mtutsi mwenzie akipata mimba huyu mtoto baadae hutakuja muona anadai wanalinda kizazi chao.

Hahaahaa hao ni balaa!
 
Seems JF is full of deluded ------!
 
Aisee safi sana,hawa jamaa 2wafukuze kabisa,halafu hata wakikaa miaka mia 2cwape uraia
 
Mwaka jana tumewapa uraia raia 190,000 bado tu hilo Kagame halioni,
K
agame anahusika nini na watu kupewa uraia wa Tanzania?nyie watu ni kama vichaa sasa na hiyo obsession yenu kwa Kagame,Rwandese wangekuwa wanasoma hapa wangekuwa wanacheka sana nina uhakika
 
K
agame anahusika nini na watu kupewa uraia wa Tanzania?nyie watu ni kama vichaa sasa na hiyo obsession yenu kwa Kagame,Rwandese wangekuwa wanasoma hapa wangekuwa wanacheka sana nina uhakika

Kucheka na kudharau ni asili halisi ya Mtutsi,

Hivyo wasingecheka na kudharau mimi ningewashangaa sana!
 
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kuanza rasmi kwa zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu ambao wamekuwa wakiishi kinyume cha sheria.
 
Back
Top Bottom