Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #221
Nimeipenda makala yako kama kuna mapungufu basi ni vema member mwingine aweke kilichotokea upande wa pili.
Asante sana, nimewaomba wale wenye mawazo tofauti au wale wajuao kinyume na haya basi angalau watufunze nasi lakini imekuwa kinyume!