Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Read men,Books are funny to Mental!

huu ni upuuzi,kunukuu maelezo marefu ya mleta mada kwa mchango wa kimburula kama ulichokiandika hapo juu...
ukikaa kimya pia tutajua uwepo wako.
 
Nice article na imejaa facts,my question is why Rwandans and their Kagame are very strategic??in EAC?kweli jamaa wamejipanga hawa na hata ile article ya mtikila naanza kuiamini
 
Kwanza mkuu lazima utambue ili kuijenga Rwanda unatakiwa kuwa na raslimali za kutosha na Rwanda ni masikini kwa kila kitu,

Sasa interahamwe ambayo leo ni M23 inatumiwa na Kagame kuiba raslimali za Kongo na kwenda kuijenga Rwanda,

Hilo linakuja baada yakufeli kile kilichoitwa Mkataba wa Lemera wakuiuza Kogango ambao nimeuelezea hapo juu kwa kirefu sana,
 
Bro tatizo lako unaokota hizo garbage zako kwenye net then unakuja humu kujifanya expert wa mambo ya Rwanda,news zako hazina tofauti na vikatuni na vinatakiwa kupelekwa jukwaa la umbeya
 
Tangu nilipoanza kusomesha hapa mbona huleti zako za ukweli?

Hoja hujibiwa kwa hoja sio porojo mkuu, utapasuka kwa kihoro bure,

Tuliza moyo soma na utafari!
 
Kusomesha????hayo magazeti yako unayo copy & paste ndio kusomesha?una wanga wewe.
 
ngunhila ng'ombe,Mauji ya watusi yaliasisiwa na wabeligiji katika ujio wao, waliegemea sana kuwasomesha watusi kwani waliwapenda kwa sura zao pamoja na pua zao na kuwaona kama wenzao yaani wazungu, na hapo ndipo waliwasomesha na watusi kuanza kuwasimamia wenzao wahutu waliowatangulia kuingia rwanda, hii wahutu iliwapa hasira sana kutumikishwa na watu waliokuja tu na kufikia kuwaita wavurugaji wa amani na maisha yao, ndipo hapo jina la cockroach lilitokea kuitwa kwao watusi! Historia ni ndefu sana sema tu niko mvivu kuchapa au kama mnahitaji zaidi nitatengeneza audio ya mama yangu mtusi anavyosimulia vizuri bila kupotosha chembe maana anaijua sana historia kuacha upotoshaji huu wa yeriko nyerere! Naomba mod uufunge huu uzi maana unapotosha sana!
mkuu umenenaaaa watu wanapandikiza chuki kumbe mambo yote yaliratibiwa BRUSSELS.
Pamoja na kuukashifu kwangu Ukoloni, lakini nachukia sana watu weusi wenye akili zao kila siku kusema 'isingekuwa Ukoloni'. Ukweli ni kuwa, hata utumwa ni kwa sababu Mwafrika anataka kuwa mtumwa. Wabeleji, kama watu wengine wote wenye akili, watafanya mambo kwa maslahi yao. Ni juu yako, kama na wewe una akili, kufanya mambo kwa maslahi yako.
Acheni kuusingizia ukoloni hadi leo kwa matatizo yenu. Kama Watusti walikuwa wakiwadharau Wahutu kwa sababu ya Wabeleji, hivi leo wanaendelea kuwadharau kwa sababu ya nani?
 
Mbona hamna update ya vita dhidi ya M23? Nini kinaendelea?

m 23 wamedhibitiwa vizuri, sasa jeshi la walinda mani la UN linasubiri muda mchache tu kutangaza kutekwa kwa ngome ya mwisho ya mamluki hawa wa kagame.
 
Kusomesha????hayo magazeti yako unayo copy & paste ndio kusomesha?una wanga wewe.

unamfahamu vizuri Yericko Nyerere wewe? huyu hajaolewa USA kama wewe, ni mzalendo wa Afrika Mashariki na Afrika kwa vitendo. Wewe endelea kukalia umbea wa kishoga hapo USA!
 
m 23 wamedhibitiwa vizuri, sasa jeshi la walinda mani la UN linasubiri muda mchache tu kutangaza kutekwa kwa ngome ya mwisho ya mamluki hawa wa kagame.
Ukiishaibuka kutoka huko shimoni na internet zako za kupima basi chochote utakaandika tuu ili uonekane upo,hasara tupu mshamba wewe.
 
we mbona umejichimbia huko USA, acheni tamaa nyie watutsi.
 
unamfahamu vizuri Yericko Nyerere wewe? huyu hajaolewa USA kama wewe, ni mzalendo wa Afrika Mashariki na Afrika kwa vitendo. Wewe endelea kukalia umbea wa kishoga hapo USA!

Kwanza sidhani kama yupo USA huyu, anajipaisha bure tu. Yupo Uganda au Malawi.
 
ALEYN Umenena vyema cha msingi ni unafiki alionao huyu mkimbizi haramu. Kagame angemkaribia KIKWETE hata kwa chembe ya utawala wa sheria wanyarwanda wasingeendelea kuishi maisha ya ukimbizi na ya kuranda randa kama kuku wa kienyeji mfano mzuri wa koba na wakimbizi haramu wenzake.
 
we mbona umejichimbia huko USA, acheni tamaa nyie watutsi.

huyo mimi simjibu tena na wewe nakushauri acha maramoja atakutia nuksi. Kwanza kama walivyowatusi wengi humu jamvini, hajui hata anachobishania.
 
kweli Mkuu, huyu dada ana matusi sana. Sijui kama mmewe anamtukana kiasi hiki au anaona sisi sio wanaume? Kama hajaahidiwa na Kagame kuwa Nyumba ndogo basi ni Museveni. Maana anawapenda kweli kweli.
 
Back
Top Bottom