Ijue Sanaa ya Singeli kuna namba zinatajwa kwenye muziki wa Singeli zina maana gani?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nawakaribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes.

Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana gani??

#32
#26
#45
n.k

TAHADHARI:UKITAKA

KUIELEWA NA KUIPENDA SINGELI SIKILIZA KATIKATI YA MISTARI (BETWEEXT THE LINE)
 
Nawaksribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes ...

Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana gani??

#32
#26
#45
n.k
Wameiga South Africa huko ndio kunakuaga na hayo manamba namba.

Sasa na wao ili wajione wagumu huwa wanajiita ita wengine hata hawajui maana zake.

Hizo ni namba za makundi/movement za kiharifu, ambvyo ukiwa mwanachama ni lazima utimize sharti fulani.

Mfano ikitokea upo jela ili upate protection ya uhakika, unatakiwa kuwa mwanachama, na kama ukitaka kujiunga ukiwa kule unaweza kupewa task ya kumuua askari(na silaha/kisu watakupa) ukifanikisha unakua mwanachama.
 
Je umeongea na kaka Master J ?

Screenshot_20250304-230326_1741118668970.jpg
 
Wameiga South Africa huko ndio kunakuaga na hayo manamba namba.

Sasa na wao ili wajione wagumu huwa wanajiita ita wengine hata hawajui maana zake.

Hizo ni namba za makundi/movement za kiharifu, ambvyo ukiwa mwanachama ni lazima utimize sharti fulani.

Mfano ikitokea upo jela ili upate protection ya uhakika, unatakiwa kuwa mwanachama, na kama ukitaka kujiunga ukiwa kule unaweza kupewa task ya kumuua askari(na silaha/kisu watakupa) ukifanikisha unakua mwanachama.
hiyo ni south Africa turudi bongo sasa.waliiga lini? na walienda lini SA?
hawa si watoto wa uswazi?
 
Maendeleo ya technology.

Wazamiaji huwa wanarudi na stori za huko walipotoka(SA)

Na mtu alieanza na michezo hiyo hapa bongo alikua ni dogo Hamidu (miaka 11/12iliyopita)ni mtu anaesafiri sana kwenda South, huyu alianza na namba 26 kitambo sana hawa nao wakaanza kukopi.

Miaka 11 au 12 iliyopita huyu NYANDU TOZZY aliitambulisha 26, sasa jiulize hiyo miaka 12 iliyopita kwenye ramani ya muziki singeli ilikua wapi?

Singeli imekua introduced rasmi na DJ MAJIZZO Miaka 9 au 10 tu iliyopita, so kwa kumalizia 26number ilikua introduced bongo kabla hata ya huo mziki wa singeli.

View: https://youtu.be/Cqkj0vvc4sE?si=N0-_COWxTlOHh12l
 
we jamaa muongo sana...dogo hamidu ni mdogo sana kulinganisha na muziki huu...hujaufuatilia kiundani...dogo kaukuta huu na usijekuta alienda South akakuta umeshafika kule.
 
we jamaa muongo sana...dogo hamidu ni mdogo sana kulinganisha na muziki huu...hujaufuatilia kiundani
Unazungumzia singeli au mnanda mkuu?

Kama mnanda sitii neno, ila kama ni singeli, basi haikuwepo/kutambulika kabla ya ujio wa EFM.

Nipo tayari kurekebishwa nimekaa paleee!
 
Number Gangs hizo wahalifu wa mitaani huko South Africa wanatumia kama code ya makundi yao ya kihalifu hiyo 26 ni kundi kubwa la uhali yapo makundi mengi 26,27,28, kwahiyo wabongo huwa wanaiga na kujipa namba
 
Back
Top Bottom