Ijue Sanaa ya Singeli kuna namba zinatajwa kwenye muziki wa Singeli zina maana gani?

Ijue Sanaa ya Singeli kuna namba zinatajwa kwenye muziki wa Singeli zina maana gani?

Nawakaribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes.



Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana gani??
View attachment 3259161
#32
#26
#45
n.k

TAHADHARI:UKITAKA

KUIELEWA NA KUIPENDA SINGELI SIKILIZA KATIKATI YA MISTARI (BETWEEXT THE LINE)
32 div 0
 
Umofia wakuu
Mleta mada kwa mimi nnavyojua namba hatari hapo ni moja tu 26 na ilikua introduced na nyandu Tozy kwa Tz 2009 ila kwa wakuu wa katembe utembee wanaijua hii namba ikitanguliwa na wakubwa wa kazi 27,28

32,na 45 chanzo cha hizi namba sio halisia na maelezo yanayotolewa sasa na hazijabeba utata wowote zaidi ya upanya na hauwezi tia ndala mtaa wowote ukasikia sijui 45 or 32 wamekipaka ni tambo za tiktok na kwenye hiyo mibaluzo ya madogo
 
we jamaa muongo sana...dogo hamidu ni mdogo sana kulinganisha na muziki huu...hujaufuatilia kiunda

Singeli imetoka mbali brother
Mbali wapi si useme bro!!

Hata kutoka upande mmoja wa chumba mpaka mwingine kwa sisimizi ni mbali.
 
Back
Top Bottom