Wameiga South Africa huko ndio kunakuaga na hayo manamba namba.Nawaksribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes ...
Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana gani??
#32
#26
#45
n.k
hiyo ni south Africa turudi bongo sasa.waliiga lini? na walienda lini SA?Wameiga South Africa huko ndio kunakuaga na hayo manamba namba.
Sasa na wao ili wajione wagumu huwa wanajiita ita wengine hata hawajui maana zake.
Hizo ni namba za makundi/movement za kiharifu, ambvyo ukiwa mwanachama ni lazima utimize sharti fulani.
Mfano ikitokea upo jela ili upate protection ya uhakika, unatakiwa kuwa mwanachama, na kama ukitaka kujiunga ukiwa kule unaweza kupewa task ya kumuua askari(na silaha/kisu watakupa) ukifanikisha unakua mwanachama.
Anasema ni 26 - double -doubleHa ha ha kwani ye namba ngapi?
Maendeleo ya technology.hiyo ni south Africa turudi bongo sasa.waliiga lini? na walienda lini SA?
hawa si watoto wa uswazi?
we jamaa muongo sana...dogo hamidu ni mdogo sana kulinganisha na muziki huu...hujaufuatilia kiundani...dogo kaukuta huu na usijekuta alienda South akakuta umeshafika kule.Maendeleo ya technology.
Wazamiaji huwa wanarudi na stori za huko walipotoka(SA)
Na mtu alieanza na michezo hiyo hapa bongo alikua ni dogo Hamidu (miaka 11/12iliyopita)ni mtu anaesafiri sana kwenda South, huyu alianza na namba 26 kitambo sana hawa nao wakaanza kukopi.
Miaka 11 au 12 iliyopita huyu NYANDU TOZZY aliitambulisha 26, sasa jiulize hiyo miaka 12 iliyopita kwenye ramani ya muziki singeli ilikua wapi?
Singeli imekua introduced rasmi na DJ MAJIZZO Miaka 9 au 10 tu iliyopita, so kwa kumalizia 26number ilikua introduced bongo kabla hata ya huo mziki wa singeli.
View: https://youtu.be/Cqkj0vvc4sE?si=N0-_COWxTlOHh12l
Na singeli pia inasema wewe ni kichaa na taahira na haikuelewi kabisaNamba za vichaa na matahira huu mziki siulewi kabisa
Kweli wewe jingalao32 ....a.k.a meno ya mtu mzima...
32 ni utu uzima kaka...huwezi kuielewa Singeli kama sio intellectual
Wengine hawana namba ila chokoza...Ha ha ha kwani ye namba ngapi?
Unazungumzia singeli au mnanda mkuu?we jamaa muongo sana...dogo hamidu ni mdogo sana kulinganisha na muziki huu...hujaufuatilia kiundani