Ijue sayansi ya chanjo hizi na chimbuko la wasiwasi wake. Hata Ulaya ni 5% tu ndiyo wamechanja katika miezi 3. Je, wanatusubiri sisi?

Kwani kuchanja mtu mmoja inachujua muda gani mpaka sasa iwe 5% kwa zaidi ya mwezi?
Kama kupiga kura watu wanapiga kura mamilioni na matokeo yanatoka ndani ya masaa au siku mbili itakuwa kuchanjwa kasindano kamoja kisha unatokomea?
Hata wao huko wamezira ila ujinga wenu ndo mnabaki kulazimisha tu

Watu milioni mia tatu huko marekani wakitaka kuchanjwa ni mwezi mmoja wote wameisha kwa kuwa kila nyenzo wanayo
Na kutokana na vifo vinavyo wakumba wasingesubili kufa bali wangeenda kuzuia kifo.
 
China ambako idadi ya watu ni bilioni 1.5 karibu wote wamechanjwa na chanjo yao salama isiyo na makando kando ya genetic engineering. Hakuna tena reports ya vifo kutokana na covid-19 kwa kipindi cha miezi 3 hadi sasa. Wazungu hawaamini takwimu hizi. Tuachane nao.
 

Kwani mtu anajichanja mwenyewe kama anavyopiga kura mwenyewe?

Kwani chanjo zipo za kutosha at hand kwa watu wote tayari hata kwa USA tu?

Uongo mbuzi design hii mbona kwao ni chattle vijijini?

Kwani watumishi wanaofanya hiyo kazi ya kuchanja watu ni wangapi?

Mnavyokaa kuiba kura mkihesabu kura milioni 1 Zanzibar kwa wiki nzima na kura milioni 10 kwa wiki nzima bara, mnadhani kote ni wizi wizi tu?

Hivi shilingi milioni 10 inakuchukua wewe au inamchukua mwanafunzi wa darasa la saba muda gani kuzihesabu?

Msidhani kwa vile ninyi ni majizi basi kila mtu ni kama nyie.

Vile vile msidhani kwa vile tumenyamaza hatujui kuwa katika majizi nyinyi ni mamama au mababa zao.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 

Vita ya kiuchumi dhidi ya Tanzania ghafla imepotelea wapi?

Hiiiiii bagosha.

Kumbe kuna ugonjwa watu wanakufa chanjo zipo na huyu bwana ndiyo kamwachia Mungu maisha yetu?

 
Unauliza maswali ya kitoto sana,
Wewe hata kupeleka mtoto hospitali au kuumwa hujawahi ili uone hata wanavyochanja watoto?
Kuhusu idadi ya wachanjaji, unadhani marekani wana wahudumu wa afya wachache kama hapa kwetu?
Unadhani 5% ya wamarekani ni watu wangapi?
Unadhani wanaweza kushindwa kuwa na uwezo wa kumiliki chanjo milioni mia wakitaka?
Je wingi wa maambukizi hayo na vifo ni furaha kwao kuliko ghalama ya kuwachanja?
Tumia akiri dogo inaomekana hata bado hujapata mwanamke ndo.maana hujui mambo.
 

Huna lolote jombi.

Hivi vi propaganda uchwara kwao chattle vijijini. Hata pale mjini vitaboomer.

Kwani marekani wasiotaka chanjo hawapo?

Chanjo ni suala binafsi.

Tusilazimishane kuchanjwa au kutochanjwa. Ndiyo ustaarabu au vipi?

Kwanini kutuzungumzia tulioko hatarini wakati nyie haiwahusu?

Mambo ya ngoswe yanawahusu nini nyie?
 
Sidhani Kama DNA zao zinafika bilioni 3. Huenda zikawa buku tu.
Hahahaaa. Tundu Lisu atakuwa alishawadonolea na ku fly nazo to Belgium na kumpatia Robert Amsterdam ambaye naye alishazipeleka mahakama ya ICC kama kithibiti!!!
 
Ugonjwa umetengenezwa na wachina ili wawe super power halafu wewe unasema tukachukue chanjo kwao?

May I be the last one to believe that the Chinese did this to themselves! (Fact itakayo nisaidia kuelewa ni September 11 ya Wamerekani!) Maybe......and only Maybe!

Otherwise I think all this C19 BS is part of the World Wide Cold War taking place as we converse, and us, the ‘Third World Countries “ are being used as pawns in the game!

My opinion; Let’s get back to our roots ASAP! Mcheza kwao Hutunzwa/Hutuzwa!
 
Duuh ndo uwaambie NIMR wazame maabara waje na chanjo.....bora waache kazi
 


You sound like you’re high on something Chief!

No offense meant!
 
Duuh ndo uwaambie NIMR wazame maabara waje na chanjo.....bora waache kazi
Uchumi wetu utakapofikia kiwango cha high middle income country mwaka 2025 bila shaka tutakuwa na maabara zetu wenyewe za uhandisi wa vinasaba (genetical engineering laboratories) za kiwango cha kimataifa kama zile za BioNTech ya ujerumani iliyohusika kutengeneza chanjo ya Pfizer au ile ya Oxford University iliyohusika kutengeneza ile chanjo ya AstraZeneca. Ngoja kwanza tumalize bwawa la umeme la Nyerere na SGR ya umeme. Yanayokuja yanafurahisha. Vuta subira. Roma haikujengwa siku moja. Ngosha bado tunaye.
 
Bro hizo statistics za vaccination umotoa wapi? Israel ndio inaongoza kwa vaccination 92% ya ppn inamaana hao wote wameathirika. Instead of criticizing others come up with a practical solution for Africans. Source of african problems is the african themselves. We are damn enough to accept vaccination from the rest world instead of us developing our own Rate of COVID-19 vaccination by country 2021 | Statista
 
Hili ndiyo tatizo. Yaani watu wanadhani elimu inapatikana kwenye kampuni ya wamarekani inayoitwa google badala ya shuleni na vyuoni. Wao ni ku google tu na cho chote watakachokipata huko google wanaamini ndiyo ukweli.
Wako kama wew unayeamini jiwe anajua kila kitu mpaka umemkabidhi ubongo wako
 
Yani hata neno akili hujui linavyoandikwa lakini unamwambia mwenzako atumie akili!! Sasa watu kama wewe ndiyo washauri wa jiwe hapo unategemea nini cha maana?
 



Aiseee Mibongo ni mipwenge kabisa umeijaza ujinga, yote inakusujudia
Anzisha kanisa hapa, utakuwa na unatembelea VOGUE kama kina Gwaji

USA 7.7%, Belgium 7.2%, Italy 7.8%, France 7.1%, Netherland 5.9%, Russia 3.7%, Bulgaria 3.5%, Sweden 8.1%, Germany 8.1%, Spain 8.6%, Portugal 8.8%, Greece 9.5%
Hizi nchi zote wanakabana koo wenyewe kwa wenyewe kwa upungufu wa chanjo.
Halafu unaleta utopolo ambao uko shallow kuzidi utopolo wenyewe,
Mbona hamna mabingwa wa tiba duniani UK kwenye hii pumba listi yako , unajuwa idadi ya waliochanjwa
Au nikuwekee cheti changu hapa uamini
 
Chanjo yangu naenda kupata jumatano,wala sina doubt..even if ingekua inafanya kazi 20% ningechukua....
 
You sound like you’re high on something Chief!

No offense meant!

You sound like you're high on something. That makes the two of us!

No offense meant chief!

Nyani kuona kundule umnunulie kioo:



Akili ndogo sana! Kama yule Daktari.

Bitter that you can't fool all the people all the time, uh?

Relax.

Take it easy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…