Ijue sayansi ya chanjo hizi na chimbuko la wasiwasi wake. Hata Ulaya ni 5% tu ndiyo wamechanja katika miezi 3. Je, wanatusubiri sisi?

Kuna mtu kalazimishwa chanjo?
 
Ka Kama no hivyo sawa tukatae
 
Kama kweli upo genuine hujui kuwa uingereza wame-prioritise first dose nimekuwekea link ya page ya uk
 
Hizo ni siasa tu za danganya toto ili ku justify their failure. Hizi ni chanjo na siyo dawa ya kutibu wagonjwa wa covid 19.
Endelea ku-Google kumbe wewe huna maarifa umekariri tu. Sasa wanamdanganya nani. Tumia akili kidogo.
 
Endelea ku-Google kumbe wewe huna maarifa umekariri tu. Sasa wanamdanganya nani. Tumia akili kidogo.
Endelea kuwatetea hao waliokutuma kutushawishi sisi waafrika watutumie kama guinea pigs wa hizo clinical trials zao za DNA/RNA therapies. Eti wanatupenda sana na hivyo wanatupatia hizo dawa bure!

Msalimie Tundu Lissu wako ambaye amechanja lakini anaendelea na lockdown. Mjulishe watanzania wana wasomi mahiri. Msalimie na Robert Amsterdam. Wajulishe kazi waliokutuma imebumba. Wajulishe kwamba watanzania watachanja kwa kutumia chanjo original kutoka China muda mwafaka utakapofika na watazinunua kwa cash money kwani Tanzania ni nchi tajiri sana! Hizo dolar million 500 hazitubabaishi. Sayansi itabaki kuwa sayansi. Na kwa bahati nzuri Tanzania ina rais ambaye ni mwanasayansi wa kiwango cha PhD. Ni nchi chache sana hapa duniani zenye rais mwanasayansi wa kiwango cha PhD.
 
Are you married to a Kenyan man
 

Kwa waliotumwa wataiita hiyo habari kuwa ni fake, kitu ambacho si sahihi.
 

Marekani kuchanja wananchi wake wote kufikia May 1.

Ina lengo kuwa Corona free kufikia July 4.

Inatoa stimulus package kwa wananchi wake wote.



Taarifa zenu za kichawi chawi mnaziokota tokea wapi?
 
Ugonjwa umetengenezwa na wachina ili wawe super power halafu wewe unasema tukachukue chanjo kwao?
Mchina namtetea d,si mtengenezaji wa covd.
Kuna jamaa ambao ugonjwa kwao uliingia mwzi jan 2020,lakini mwezi Feb 2020 tayari wanatest CHANJO.!!!!
Hi CHANJO ilikuwa store ,ikilenga ugonjwa unojulikana,unajulikana ulikotoka na unakoenda
 
Mchina namtetea d,si mtengenezaji wa covd.
Kuna jamaa ambao ugonjwa kwao uliingia mwzi jan 2020,lakini mwezi Feb 2020 tayari wanatest CHANJO.!!!!
Hi CHANJO ilikuwa store ,ikilenga ugonjwa unojulikana,unajulikana ulikotoka na unakoenda

..chanjo za mchina na mrusi zimetoka na kuanza kutumika kabla ya chanjo za mataifa mengine.
 
Dr Akili
Tupe mrejesho chanjo ya Corona inaendeleaje huko duniani?
Waingereza bado wanaingia mitini kukwepa chanjo?
Marekani vipi huko?
Mabeneru bado wanaendeleza njema zao za kutufanyia majaribio sisi waafrika?
 
Hivi huu ugonjwa bado upo bongo?
Ziku hizi sioni TANZIA hapa Jamii Forum. Inafikirisha sana!
Tangu Magufuli afariki na corona imeondoka kabisa. Si bure hii
 
[emoji777]USA 7.7%, Belgium 7.2%, Italy 7.8%, France 7.1%, Netherland 5.9%, Russia 3.7%, Bulgaria 3.5%, Sweden 8.1%, [emoji840]️Germany 8.1%[emoji840]️, Spain 8.6%, Portugal 8.8%, Greece 9.5%,[emoji777]



Nahisi unapika data, kwani Ujerumani mpaka sasa ni zaidi ya 20% walioanza kuchanjwa. Bado priority ni wenye matatizo ya kiafya na umri mkubwa.

Unaandika maneno mengi halafu unachomekea data fake ili ufaidike na nini?
Hizo nchi maamuzi wanayochukua yanajadiliwa kwa uwazi logically bungeni. Sishabikii na sipingi hizo chanjo lakini naonyesha mashaka yangu juu ya data ulizopika na hivyo huenda andiko lako limejaa data za kupikwa na kukosa kuaminika.
Uongo sio uzalendo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Dr MPUMBAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…