auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
We can read your little mind dudeHata wewe kama wenzako, unachanganya mambo, mimi sijamuongelea Binadamu yoyote yule bali nimeongelea Raisi wa JMTZ kama Cheo, ambapo hata wewe unaweza kuwa Raisi wa JMTZ kesho na pia ukawa na uwezo wa kufukuza yoyote yule kwenye ardhi ya JMTZ aliyopanga!
Sio kweli ila umma ndio unaweza kumfukuza Rais na kumfanya akaishi uhamishoni
Mkuu mbona ww hujaweka kifungu kinachompa Rais mamlaka ya kufukuza raia wake kwenda kuishi uhamishoniHilo ni kwa nguvu lkn na siyo Kikatiba, maana yake ni kwamba ni mpaka walishinde Jeshi lake lililokula kiapo kumlinda kwa kila hali!
Hii hoja yako inatufundisha kuwa tumuabudu na kumshangilia yeye tu ama nini hasa nia na lengo la kuleta uharo huu uliouleta bila reference yoyote kutoka kifungu chochote cha katiba ya nchiArdhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
iyo haipo tuletee vifungu vya kisheria vinavyompa Rais mamlaka ayo.
Mkuu mbona ww hujaweka kifungu kinachompa Rais mamlaka ya kufukuza raia wake kwenda kuishi uhamishoni
sheria zipi ambazo unazungumzia au upuuzi wenu wakuona Rais yuko above of lawRaisi wa JMTZ yuko JUU ya Sheria za JMTZ!
Sawa ......afukuze tu si ataishi mile*leLabda ukimzidi nguvu, unaweza yaani kumpindua vinginevyo wewe ndiyo utaondoka nchi hii!
Ucha uzwazwa kwahiyo Rais akiamulu familia yenu yote ikatwe vichwa na apelekewe vikiwa kwenye gunia itakuwa ni sawa kwakuwa yupo juu ya sheria?
Hawezi mfano mzuri tukio la lisu licha ya kuwa wote tunajua nani ni muhusika lkn serikali inakataa kuhusika kwakeSiyo sawa kimaadili lkn Raisi wa JMTZ ana uwezo huo kuamua hivyo na likafanyika!
Ushahidi wa sheria tafadhali!Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Hakuna wa kupinga kivipi, nchi inaongozwa na katiba na hata rais anaongozwa na katiba, labda kama ni diktetaUnasema ardhi ni Mali ya Serikali, Serikali ni nini? Ni nani anayeiamulia Serikali cha kufanya? Ni nani anaweza kupinga uamuzi wa Raisi wa JMTZ Serikalini? Unafahamu kwamba Raisi wa JMTZ akiongea ni Sheria?
Sasa hivi Raisi wa JMTZ anaweza kusema (kinadharia) kwamba Mkoa wote wa Dar ni hifadhi na wote tuhamie Mikoa mingine na hakuna wakupinga hilo?
Hakuna wa kupinga kivipi, nchi inaongozwa na katiba na hata rais anaongozwa na katiba, labda kama ni dikteta
sio Mali ya raisi ni Mali ya nchi ya Tz maana ata raisi anaweza fukuzwa vilevileArdhi yote ya JMTZ ni Mali ya Rais wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Rais wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni wapangaji wake.