Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

Hata wewe kama wenzako, unachanganya mambo, mimi sijamuongelea Binadamu yoyote yule bali nimeongelea Raisi wa JMTZ kama Cheo, ambapo hata wewe unaweza kuwa Raisi wa JMTZ kesho na pia ukawa na uwezo wa kufukuza yoyote yule kwenye ardhi ya JMTZ aliyopanga!
We can read your little mind dude
 
Sio kweli ila umma ndio unaweza kumfukuza Rais na kumfanya akaishi uhamishoni

Hilo ni kwa nguvu lkn na siyo Kikatiba, maana yake ni kwamba ni mpaka walishinde Jeshi lake lililokula kiapo kumlinda kwa kila hali!
 
Hilo ni kwa nguvu lkn na siyo Kikatiba, maana yake ni kwamba ni mpaka walishinde Jeshi lake lililokula kiapo kumlinda kwa kila hali!
Mkuu mbona ww hujaweka kifungu kinachompa Rais mamlaka ya kufukuza raia wake kwenda kuishi uhamishoni
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Hii hoja yako inatufundisha kuwa tumuabudu na kumshangilia yeye tu ama nini hasa nia na lengo la kuleta uharo huu uliouleta bila reference yoyote kutoka kifungu chochote cha katiba ya nchi
 
Ucha uzwazwa kwahiyo Rais akiamulu familia yenu yote ikatwe vichwa na apelekewe vikiwa kwenye gunia itakuwa ni sawa kwakuwa yupo juu ya sheria?
 
Ucha uzwazwa kwahiyo Rais akiamulu familia yenu yote ikatwe vichwa na apelekewe vikiwa kwenye gunia itakuwa ni sawa kwakuwa yupo juu ya sheria?

Siyo sawa kimaadili lkn Raisi wa JMTZ ana uwezo huo kuamua hivyo na likafanyika!
 
Achana na huyu Rais wetu .....ebu tujadili mambo ya Msingi mashekh wetu wa uamsho wako Mahabusu zaidi ya miaka 5 lakin bakawata na ccm wanajiona wao ni mungu mtu hakika Allah atawapa adhabu kubwa sana.
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...
Ushahidi wa sheria tafadhali!
 
Hata wakimbizi kuna taratibu namna ya kuwatoa,kwa uelewa wangu mdogo wahamiaji haramu husafirishwa mpaka makwao,kama na sisi mnatuondosha tupelekeni sehemu nyngn sio kusema tu nenda huko kutafutana ubaya.
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Raisi wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Raisi wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni Wapangaji wake, ...

Mshajisahau mnajiona Miungu watu.

Mnaanda watu kisaikolojia mnataka kumfukuza nani kwenye hii nchi ?

Mungu awalipe kwa matendo mnayowafanyia wanyonge.
 
Unasema ardhi ni Mali ya Serikali, Serikali ni nini? Ni nani anayeiamulia Serikali cha kufanya? Ni nani anaweza kupinga uamuzi wa Raisi wa JMTZ Serikalini? Unafahamu kwamba Raisi wa JMTZ akiongea ni Sheria?
Sasa hivi Raisi wa JMTZ anaweza kusema (kinadharia) kwamba Mkoa wote wa Dar ni hifadhi na wote tuhamie Mikoa mingine na hakuna wakupinga hilo?
Hakuna wa kupinga kivipi, nchi inaongozwa na katiba na hata rais anaongozwa na katiba, labda kama ni dikteta
 
Hakuna wa kupinga kivipi, nchi inaongozwa na katiba na hata rais anaongozwa na katiba, labda kama ni dikteta

Katiba ndiyo inayompa Raisi wa JMTZ huo uwezo, unajua kwamba Mbezi beach yote kuanzia njia panda ya Kunduchi mpaka Tangi bovu lilikuwa shamba la Katani la Mgiriki, Nyerere akamnyang'anya na kupima viwanja ambavyo leo hii watu wamejenga?
 
Ardhi yote ya JMTZ ni Mali ya Rais wa JMTZ zamani ilikuwa Mali ya Ufalme wa Uingereza wakamkabidhi Rais wa JMTZ, hivyo anaweza kukufukuza kwenye ardhi yake, kwa kifupi sisi wote ni wapangaji wake.
sio Mali ya raisi ni Mali ya nchi ya Tz maana ata raisi anaweza fukuzwa vilevile
 
Back
Top Bottom