Si ndio maana kuna mahakama ili ikatafsiri Sheria kwa kesi husika, hiyo sio kazi ya lissu au ya mtoa mada ila yeye amechambua sheria inayolinda haki za faragha kwa mteja. Mfano Tigo inatoa taarifa kwa watu then wanampiga risasi mtu kivipi ni halali?
Najua utasema matters of national security inaruhusu information kuwa leaked!! Je inaruhusu pia information kuwa leaked kwa majambazi kuua watu?
Urahisi ulikua wapi? Ufute retention licence ya mtu ni sawa na expropriation ya mali yake, unajiteteaje. Kesi ilikua ngumu unless Tanzania initially ingepeleka shauri yenyewe arbitration kuwa Indiana resources imefanya breach of contract hivyo licence inakua revoked. Sio other way round, ukishakua reactive kwenye kesi lazima upigwe tu.
Kiongozi nawe kuna wasaa unajadili mambo kwa kufuata mtiririko wa hoja za wana JF.
Kabisa unaamini kuna taasisi itakayoambiwa na serikali itoe info na kujua hatua za mbele za serikali baada ya kupata hizo info.
Moreover hatuna exact information in details zote, lakini muhusika alishaonywa mara kadhaa aache kuupa nadharia zake za nchi kushitakiwa MIGA na kuwakatisha tamaa.
Kilichompata Lissu at humane level akipendezi, but as far as national security alijitakia.
Moreover unaelewa changamoto za natural resources disputes 1950’s hadi kufikia za kutambua host nations contracts.
Meaning host nation contract renegotiations sio jepesi, kuna fujo za kuwaita wahusika mezani. Wenzako wakikwambia acha kuingilia kama wewe mwenzao acha. Sasa Lissu yeye alikuwa asikii tena anaendelea potosha umma huko si ni kununua ugomvi.
Kuhusu Indiana kulikuwa na promise of investment ambayo aikufanywa for many years zaidi ya kupasiana tu asset. Sasa asset yenyewe ni mali ya Tanzania na clearly mwekezaji hakuwa na mtaji mpaka serikali ikaamua kuchukua resources zake. Waneshindwa vipi ni uwezo mdogo wa wanasheria wa serikali kwenye maswala ya contract.
Na huo uwezo mdogo ndio unaompa nguvu Amsterdam kwa kushirikiana na wahuni wengine ndani ya serikali za mabeberu kuendelea kujaribu kila avenue.
As for you tosheka, ifike hatua uwe mzalendo kweli.