zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ndio mbona JPM alisema wazi kabisa walienda kuomba mawasiliano ya Lissu na Mwanyika consistently!! Au JPM alidanganya?Kabisa unaamini kuna taasisi itakayoambiwa na serikali itoe info na kujua hatua za mbele za serikali baada ya kupata hizo info.
Same case to Kabendera, vodacom walikiri kutoa taarifa kufanikisha kukamatwa kwa Kabendera, wakidai kudisclose information za mteja kwa matters za national security ni sahihi!
Source:
Kwani alikosea nini kusema tutashtakiwa kama tutafuta leseni kimagumashi? Na watu mlimpinga leo kiko wapi mbona mmeumbuka na mmelipa zaidi ya Billion 300?Moreover hatuna exact information in details zote, lakini muhusika alishaonywa mara kadhaa aache kuupa nadharia zake za nchi kushitakiwa MIGA na kuwakatisha tamaa.
Kilichompata Lissu at humane level akipendezi, but as far as national security alijitakia.
Yaani badala ya kuwapiga risasi kina chenge, Mwanyika na mafisadi wengine waliotutia hasara ya matrillioni kwa mikataba mibovu eti mnamtishia anayewashauri namna nzuri ya kuepuka kushtakiwa?
Sitaki kuamini na wewe una support ile blunder. Yaani unakiri mawakili wetu ni zero ila wakati huo huo unasema lawama ni kwa lissu?
Asiingilie? Kwani katiba mbona inaruhusu uhuru wa maoni! Yaani mliona halali kina Mwanyika waliotutia hasara wapewe ubunge ila anayetoa maoni kuepuka kushtakiwa ndio amiminiwe risasi? Hivi hii nchi tuna laana gani?Meaning host nation contract renegotiations sio jepesi, kuna fujo za kuwaita wahusika mezani. Wenzako wakikwambia acha kuingilia kama wewe mwenzao acha. Sasa Lissu yeye alikuwa asikii tena anaendelea potosha umma huko si ni kununua ugomvi
Sasa hapo tatizo ni wakili ama loophole ya sheria? Ilipaswa hao vil.aza unaowatetea wafungue kesi ya breach of contract na sio kufuta kwanza leseni kabla hata ya kuweka ground za kufunga!Kuhusu Indiana kulikuwa na promise of investment ambayo aikufanywa for many years zaidi ya kupasiana tu asset. Sasa asset yenyewe ni mali ya Tanzania na clearly mwekezaji hakuwa na mtaji mpaka serikali ikaamua kuchukua resources zake. Waneshindwa vipi ni uwezo mdogo wa wanasheria wa serikali kwenye maswala ya contract.