Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Dawa ni kukavunja haka ka muungano na kila mtu arudi kwao basi!

Wazanzibar mnakuja kuchuma huku mkituharibia Tanganyika yetu kwa kuinadi na kuiuza kwa warabu wenu.

Haya mengine waambie wapuuzi wenzenu!
Muungano ukivunjika kwa fikra zako za kisomi unadhani wadanganyika wa mikoa ya mwambao wa bahari kama Dar es salaam, Tanga, Pwani, Lindi na mtwara watakuwa upande wa Zanzibari au upande wa Bara?
Nje ya muungano hakuna Tanganyika kuna bara Republic na Pwani Republic pamoja na Jamhuri za kidemokrasia zifuatazo
1) Sukuma Republic.
2) Chaga Republic
3) Nyakyusa Republic
4) Haya Republic
Na jamhuri kadhaa nyengine za watu wa Mara, Kigoma, Songea nk.
 
Uko sahihi kabisa lakini kwa sasa wakristo hiyo kanda ni wengi.
Bila source ya data ya kuaminika, itabaki kuwa dhahania tu.

May be wewe unadhani huko kanda ya ziwa kuna majina mengi zaidi ya "kikiristo" kwa sababu umeyaona kwenye ajira na teuzi. Lakini hakuna aliyewahi kuhesabu majina ya kiislamu yako mangapi kanda ya ziwa nzima na majina ya Kikiristo yako mangapi kanda ya ziwa nzima ili tuweze kusema kuwa watu wa dini fulani ni wengi zaidi kanda hiyo. Pia usisahau siku hizi kuna watu wameretain majina ya asili bila uzungu au uarabu lakini ni waumini wa dini hizi mbili.

Kama watu genuinely wanashauku ya kujua idadi ya watu na dini zao, basi tushinikize serikali katika sensa ijayo iweke kipengele hicho.

Ninachokombuka, Waislamu walitaka kipengele cha dini kiwepo ktk sensa ya 2012, Serikali na vipngozi wa Kanisa wakakataa. Sasa leo ukisema watu wa dini fulani ni wengi zaidi hiyo ni dhana tu!
 
Mkuu nimekaa sana hiyo kanda, idadi ya waislamu kwenye madarasa/shule za kata ni ndogo kuliko wakristo private na government, mtaani kama una majirani basi katika kumi anaweza akawa mmoja hiyo idadi ya misikti ni michache sana kulinganisha na makanisa hapo ni mjini vijijini hao waisamu ni nadra.
Sina data kamili lakini kwa sample population hiyo waislamu hawawez kuwa wengi huko.
 
Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika...
Kuna wakati ulikuwa composed sana lakini umekuwa hopeless sana. Awamu ya Sita imekulisha nini?!
 
Si vibaya amesema sasa ukweli mtupu, better late than never

Tunataka mpaka 2030 wawe wamesilimu wooote

Nasubiria povu kutoka kwa wazungu😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mkuu tuko trapped kwenye mtego mbaya sana wa udini bahati mbaya sana wanaonufaika moja kwa moja na udini sio sisi ni hao viongozi, tunaweza kuwa tunashangilia flani ni wa dini yetu lakini sisi hakuna tunachopata zaidi ya pride tu na kama utabenefit kwa ajira labda hakuna long term benefit kuna siku mtoto wako au ndugu yako atakosa ajira kwa sababu sio wa dini ya aliyepo madarakani.
 
Mambo ya udini yatatuchelewesha sana
 
Sio mimi ninayepaswa kulijua, mamlaka ndizo zinapaswa kulijua ili zilifungie hilo kanisa linalofundisha chuki dhidi ya Waislamu.
Unataka nisema kwani utalijua au ndo vile roho inakuuma kwa kuambiwa ukweli
 
Hivi vielelezo unavyoweka hapa vinaongeza utata zaidi kwenye hii mada badala ya kupunguza utata kama ulivyokusudia.

Imekuwa ikisemwa kwamba Kwa miaka mingi mfumo wa elimu umekuwa ukiwapendelea wakristo na vielelezo vinavyotumika ni kama hicho hapo na pengine matokeo ya mitihani.

Ukiibebea bango hoja hii Kwa kutumia vielelezo hivyo na vinginevyo vya aina hiyo utakuwa unamaanisha kwamba mfumo wa elimu ya Tanzania kwa miaka mingi umezalisha wasomi wengi sana wakristo kuliko waisilamu.

Sasa kama unakubaliana kwamba wako wasomi wengi kuliko wewe na vielelezo unaweka kwa nini ushangae kwenye teuzi wako aslimia 70? Kwa nini usikubali kwamba ndio matokeo ya kubanwa kwa waisilamu kielimu?

Anyway unaweza kusema siku hizi na waisilamu wameenda shule hata mimi nakuunga mkono ila sasa unategemea waisilamu waliopigwa spana kwenye elimu miaka yoote hiyo washindane na hao ambao hawajawahi kukwazwa na mfumo?

Pamefanyika muujiza gani wa kutengeneza wasomi waisilamu wengi sawa na wakristo hali ya kuwa vielelezo ulivyoweka hapo vinaashiria bado utolewaji wa elimu Tanzania unawabeba zaidi wakristo?
 
1977 -1980 Kaduma alikuwa muislamu alihamia ukristo 1994
 
Phy...
Anaetakiwa kutoa majibu katika hili tatizo ni serikali si wewe kuwajibu Waislam.
Waislam wana majibu kwa serikali.

Mimi na wewe hapa tutahangaishana na wataingia watu katika mjadala huu na kila aina ya maneno.
 
Hana ladha tena......
 
Wanapopewa hapa kwann mnalalamika??
Tatizo vigezo sasa, unakumbuka awamu ile, majaji walipeana kama nswindi vile hawakuwa na vigezo, mpaka kazi zao akawa anafanya boss wao wakitengo, ngoja nitoke hapa!
 
Umekuwa biased, umependelea dini moja, Mfano; unaposema kwamba kuna watu wanachukia wakiona hijabu au salamu aleko, Unamaanisha hakuna wanaochukia wakiona misalaba na yesu asifiwe?

Unapenda udini ndugu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…