pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Wakristo wa bara hawapendi uislam lakini hawataki kuiachia zenji, kwa nini?
Waachieni basi mje huku tupambane wenyewe kwa wenyewe
Waachieni basi mje huku tupambane wenyewe kwa wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda Zanzibar watakujengea sanamu kwa comment yako hiyo ninavyowajua WazanzibariWakristo wa bara hawapendi uislam lakini hawataki kuiachia zenji, kwa nini?
Waachieni basi mje huku tupambane wenyewe kwa wenyewe
Kalamu,Hizi ni taarifa za malalamiko ya siku nyingi sana, sihitaji kukumbushwa juu yake; nimeshuhudia matokeo ya kazi za taasisi hiyo. Ni malalamishi ambayo hayakuwa na msingi wowote, bali kuwa na madhumuni ya kusukuma ajenda tu.
Umenikumbusha 2005 wakati wa JK....Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika...
Kumekiukwa katiba au mapenzi binafsi na mihemko???Unaweza kutupa sababu yenye mantiki ya wabunge wote wa mkoa wa pwani kuwa mawaziri?
Story za kwenye kahawa. Story za watu wavivu.Kalamu,
Hakika dunia ya wazee wetu iliishia Kariakoo kwa Mtaa New Street na Kariakoo walipojenga Ofisi ya African Association kwa kujitolea kati ya 1929 hadi 1933 wakienda pale kujenga wanachama kila Jumapili.
Ilipoundwa TANU 1954 harakati zote zilikuwa Kariakoo kama mahali pa kuishi na Kariakoo Market hapo sokoni ambako Market Master alikuwa Abdul Sykes na akiuza kadi za TANU ofisini kwake.
Kwangu binafsi unaniletea kumbukumbu nyingi unapitaja Kariakoo hata kwa kejeli.
Muhudumu ya Ofisi ya Market Master alikuwa Mzee Abdallah niliyekuja kumfahamu ukubwani sote tukiwa waajiriwa na East African Cargo Handling Services.
Mzee Abdallah kanipa mengi aliyoshuhudia pale wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Mwalimu Nyerere hapo Kariakoo ndiko alipofahamiana na watu mashuhuri wa mjini kama Mshume Kiyate na Shariff Abdallah Attas.
Mwalimu alipoacha kazi ya ualimu akenda kuishi Kariakoo nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.
Kariakoo kwetu ni mahali adhim sana kwani imebeba historia kubwa sana si ya uhuru wa Tanganyika peke yake bali hata historia binafsi ya Mwalimu Nyerere na Mama Maria.
Katika kupambana na maisha ni hapo Kariakoo Mtaa wa Mchikichi na Livingstone Mama Maria alifungua duka dogo la mafuta ya taa.
Kariakoo ni sehemu muhimu katika historia ya taifa letu.
View attachment 2534260
Shariff Abdallah Attas alikuwa na umri huu alipofahamiana na Julius Nyerere sokoni Kariakoo yeye alikuwa mkudanyaji ushuru wa nafaka
View attachment 2534261
Mshume Kiyate akimfariji Mwalimu Nyerere baada ya maasi ya tarehe 20 Januari 1964 yeye alikuwa dalali wa samaki Soko la Kariakoo
View attachment 2534265
Kariakoo Market 1950s
Hiyo hapo kulia nyumba ndogo ndiyo ilikuwa ofisi ya Market Master Mwingereza Brian Hodges na alipotoka Abdul Sykes akachukua nafasi yake
Mtaje sheikh walau mmoja aliyekula zile hela za Tegeta Escrow tukutajie wachunga kondoo wenye heshima kubwa walipewa ule mgaoWaisilamu siyo wazalendo huo ndiyo ukweli, pia waislamu hawajali watu wanao waongoza
Kitali,Story za kwenye kahawa. Story za watu wavivu.
bonge la hoja kakaTangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la!
Nataka nieleze sababu za hivyo:
1. Mosi, kuna sense of entitlement.
Kwa miaka mingi sana nchini tangu Uhuru mpaka leo hii, nafasi za Utumishi wa Umma na Serikali zimekaliwa zaidi na Wakiristo kuliko Waislamu. Teuzi nyingi kuanzia Nyerere hadi leo hii Rais Samia, teuzi nyingi zinakwenda kwa Wakiristo.
Hali hii imelalamikiwa sana na Waislamu kwa miaka mingi, kuwa, hili jambo lina ukakasi. Iweje teuzi ziende kwa watu wa mrengo mmoja tu kila wakati wakati nchi hii ni yetu sote, na watu wenye vigezo wapo pande zote? Majibu ambayo watu hawa wamekuwa wakipata ni kejeli, kuwa nyie hamjasoma, kuwa nyie mnaendekeza elimu ahera, lakini hoja yao hiyo siku hizi imekuwa proven wrong.
Hata ikafikia hatua hadi Sheikh Khalifa kutoa orodha ya Waislamu wasomi mamia kwa mamia ili kufuta propaganda kuwa waislamu wenye vigezo vya kutosha kuhudumu katika teuzi mbalimbali hawapo, lakini licha ya hivyo hoja hiyo imekuwa ikifumbiwa macho. Sasa leo, Samia licha ya bado kuendelea kuteua Wakiristo wengi zaidi kuliko waislamu lakini angalau kidooogo waislamu nao wanaonekanaonekana kwa mbali.
Hili limeshtua wale waliozoea kuona teuzi za mrengo mmoja, wanahaha, wamepandwa na ghadhabu, wanataka waendelee kuteuliwa watu wa imani yao kwa wingi uleule (over representation) kama zamani.
2. Sababu ya pili ni kuwa, Siyo kweli kuwa baadhi ya hawa wanaolalamikia udini katika teuzi hawajui kuwa Samia bado anateua Wakiristo wengi zaidi kuliko Waislamu.
Bali wanataka kumblackmail ili asije akazoea kuteuateua Waislamu. Wanampa meseji kuwa, ukijaribu kubadili status quo katika nchi hii na kuwapa nafasi watu wa imani nyingine katika Utumishi wa Serikali kwa wingi kama sisi basi tutakusagia kunguni kwa watu wa imani yetu ili upate wakati mgumu kisiasa.
Kwa hiyo hizi kelele kimsingi ni fitina ya kumchonganisha Rais na Wakiristo ili Rais aogope kuwapa Waislamu nafasi na kwa hiyo Status quo ya Wakiristo kuendelea kudominate Utumishi wa Umma na Serikali, uendelee kama ilivyokuwa tangu Serikali ya Awamu ya Kwanza hadi leo.
3. Sababu ya tatu ni chuki tu, na ufia dini.
Islamophobia is real, kuna watu wanaamini kuwa, kwa kuwabagua watu wa dini nyingine na kuwapendelea watu wa dini yao ni kumfanyia Mungu Ibada!
Wapo watu makazini wakiona kuna wafanyakazi wanavaa hijabu, muda wa swala umefika wanaenda kuswali, au Salamu ya "Assalam Aleikum" imekuwa nyingi katika korido za ofisi wanaanza kuchukia, wanajenga hila mioyoni mwao na kibaya zaidi kuna baadhi wanakwenda mbali hadi ku collude na like minded people ili kuwaletea fitina wenzao n.k.
Enzi hizo wakati nasoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, wanafunzi Waislamu waliomba chumba kimoja kilicho idle ili wafanye ibada wakazunguushwa mno, wengine wakawa wanapewa vitisho vya siri kuwa wawe makini na ajenda yao hiyo kwamba wachague chuo au dini (yaani ni kitisho cha kupigwa fitina hadi wafukuzwe chuo).
Lakini at the same time, kila siku jioni na siku za Jumamosi na Jumapili madarasa ya chuo hichohicho Wakiristo wameruhusiwa kuyatumia kusali na kuabudu. Umeona aina hii ya chuki, choyo na roho mbaya?
Ushauri wangu:
1. Watanzania tuachane na habari za kutaka upendeleo katika ajira na teuzi. Hii nchi ni yetu sote. Si vizuri kunung'unika watu wa imani nyingine pia wakipata fursa za kuhudumu katika nchi.
2. Lakini kama tunaona upendeleo wa dhahiri katika teuzi, hapo kweli tuseme na tupige kelele. Kuna wakati nchi hii Rais mmoja aliunda Baraza la Mawaziri la watu zaidi ya 20 akaweka Waislamu watatu. Sasa katika situation kama hiyo kweli hapo jamii nzima haipaswi kukaa kimya.
Hivyo hivyo leo hii Samia akiunda Baraza la Mawaziri akaweka Wakiristo watatu tu hata mimi sitokaa kimya. Tusiwe na double standard, kwamba teuzi zikifavour watu wetu tunanyuti, ila wengine wakianza kuchomoza basi tunakuja hapa JF kuanzisha nyuzi lukuki za udini. Hiyo siyo fair.
3. Tuzidi kuimarisha, Umoja, Amani na Mshikamano. Nchi hii Wakiristo are here to stay, Waislamu are here to stay. Yesu hakuoni mfuasi wake bora kwa kuwa mbaguzi na wala Mtume Muhammad hakuoni mfuasi wake bora kwa kuvunja amana za watu wote. Tupendeane mazuri.
Nawasilisha.
ama hakika mpuuzi ni wewe ambaye uzi huu umeutazama kwa macho ya makengezaListen, hata hiki ulichoandika hapa kwangu ni muendelezo wa fikra duni, ujinga; sioni kama taifa tunaweza vipi kupiga hatua kimaendeleo ikiwa bado tutakuwa tunatazamana kwa jicho la dini, kabila, au rangi.
Wewe umekuja hapa kuwatetea wale wa dini yako, simply umekuja kuongeza tatizo, hukumbuki wapo wasio na dini, wakina Kiranga na wenzake wao wamenyamaza kimya, hawana msemaji wao, na wala hawana hivi viherehere mlivyonavyo wengine.
We need to stop this kind of ignorance, kwasababu kutaka watu wa dini yako wawepo kwenye mamlaka hakutakusaidia chochote kama hutakuwa na mahusiano nao ya moja kwa moja, zaidi, kinachowafanya wengi wazungumzie hii issue ni kama ulevi tu, tena usio na tija kwao, wala kwa taifa.
Huu upuuzi una extend mpaka pale anapokuwepo kiongozi fulani, halafu wale wa dini yake wanakuwa hawaoni baya lolote toka kwake, huu nao ni ujinga mwingine mkubwa zaidi, kusifia/tetea kila linalofanywa na yule wa dini yako upuuzi.
wewe una akili gekul anatoka wapi?Rubbish, unateuaji Tanga mawaziri 4 na Pwani 5 na huku Arusha, Manyara, Dar n.k hakuna hata Waizri 1? kimsingi Mama ni mdini sana hafai
de facto???au de jure unayoijengea de facto?Go back and revisit your home work. Go back to your drawing board. Wakristo kuwa wengi kwenye nafasi za uteuzi ndani ya Utumishi wa Umma kuliko Waislamu ni de facto inayoanzia kwenye utoafauti wa idadi hizo ndani ya Utumishi wa Umma wenyewe usiokuwa wa uteuzi. Huko huko kwenye MDAs and LGAs waislamu ni wachache(sababu zinaweza kuwa mada nyingine tofauti).
Kwa hiyo katika scaling up, huwezi kuwapata waislamu wengi kuliko wakristo kutokana na sababu hiyo kuu.
Pili, wapagani wengi Tanzania ni de facto wakristo. Yaani sehemu kubwa, kama wazazi ni wapagani hasa bara, mtoto akisoma kidogo, unamkuta ana jina la kikristo(Roman Empire Names).
Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la!
Nataka nieleze sababu za hivyo:
1. Mosi, kuna sense of entitlement.
Kwa miaka mingi sana nchini tangu Uhuru mpaka leo hii, nafasi za Utumishi wa Umma na Serikali zimekaliwa zaidi na Wakiristo kuliko Waislamu. Teuzi nyingi kuanzia Nyerere hadi leo hii Rais Samia, teuzi nyingi zinakwenda kwa Wakiristo.
Hali hii imelalamikiwa sana na Waislamu kwa miaka mingi, kuwa, hili jambo lina ukakasi. Iweje teuzi ziende kwa watu wa mrengo mmoja tu kila wakati wakati nchi hii ni yetu sote, na watu wenye vigezo wapo pande zote? Majibu ambayo watu hawa wamekuwa wakipata ni kejeli, kuwa nyie hamjasoma, kuwa nyie mnaendekeza elimu ahera, lakini hoja yao hiyo siku hizi imekuwa proven wrong.
Hata ikafikia hatua hadi Sheikh Khalifa kutoa orodha ya Waislamu wasomi mamia kwa mamia ili kufuta propaganda kuwa waislamu wenye vigezo vya kutosha kuhudumu katika teuzi mbalimbali hawapo, lakini licha ya hivyo hoja hiyo imekuwa ikifumbiwa macho. Sasa leo, Samia licha ya bado kuendelea kuteua Wakiristo wengi zaidi kuliko waislamu lakini angalau kidooogo waislamu nao wanaonekanaonekana kwa mbali.
Hili limeshtua wale waliozoea kuona teuzi za mrengo mmoja, wanahaha, wamepandwa na ghadhabu, wanataka waendelee kuteuliwa watu wa imani yao kwa wingi uleule (over representation) kama zamani.
2. Sababu ya pili ni kuwa, Siyo kweli kuwa baadhi ya hawa wanaolalamikia udini katika teuzi hawajui kuwa Samia bado anateua Wakiristo wengi zaidi kuliko Waislamu.
Bali wanataka kumblackmail ili asije akazoea kuteuateua Waislamu. Wanampa meseji kuwa, ukijaribu kubadili status quo katika nchi hii na kuwapa nafasi watu wa imani nyingine katika Utumishi wa Serikali kwa wingi kama sisi basi tutakusagia kunguni kwa watu wa imani yetu ili upate wakati mgumu kisiasa.
Kwa hiyo hizi kelele kimsingi ni fitina ya kumchonganisha Rais na Wakiristo ili Rais aogope kuwapa Waislamu nafasi na kwa hiyo Status quo ya Wakiristo kuendelea kudominate Utumishi wa Umma na Serikali, uendelee kama ilivyokuwa tangu Serikali ya Awamu ya Kwanza hadi leo.
3. Sababu ya tatu ni chuki tu, na ufia dini.
Islamophobia is real, kuna watu wanaamini kuwa, kwa kuwabagua watu wa dini nyingine na kuwapendelea watu wa dini yao ni kumfanyia Mungu Ibada!
Wapo watu makazini wakiona kuna wafanyakazi wanavaa hijabu, muda wa swala umefika wanaenda kuswali, au Salamu ya "Assalam Aleikum" imekuwa nyingi katika korido za ofisi wanaanza kuchukia, wanajenga hila mioyoni mwao na kibaya zaidi kuna baadhi wanakwenda mbali hadi ku collude na like minded people ili kuwaletea fitina wenzao n.k.
Enzi hizo wakati nasoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, wanafunzi Waislamu waliomba chumba kimoja kilicho idle ili wafanye ibada wakazunguushwa mno, wengine wakawa wanapewa vitisho vya siri kuwa wawe makini na ajenda yao hiyo kwamba wachague chuo au dini (yaani ni kitisho cha kupigwa fitina hadi wafukuzwe chuo).
Lakini at the same time, kila siku jioni na siku za Jumamosi na Jumapili madarasa ya chuo hichohicho Wakiristo wameruhusiwa kuyatumia kusali na kuabudu. Umeona aina hii ya chuki, choyo na roho mbaya?
Ushauri wangu:
1. Watanzania tuachane na habari za kutaka upendeleo katika ajira na teuzi. Hii nchi ni yetu sote. Si vizuri kunung'unika watu wa imani nyingine pia wakipata fursa za kuhudumu katika nchi.
2. Lakini kama tunaona upendeleo wa dhahiri katika teuzi, hapo kweli tuseme na tupige kelele. Kuna wakati nchi hii Rais mmoja aliunda Baraza la Mawaziri la watu zaidi ya 20 akaweka Waislamu watatu. Sasa katika situation kama hiyo kweli hapo jamii nzima haipaswi kukaa kimya.
Hivyo hivyo leo hii Samia akiunda Baraza la Mawaziri akaweka Wakiristo watatu tu hata mimi sitokaa kimya. Tusiwe na double standard, kwamba teuzi zikifavour watu wetu tunanyuti, ila wengine wakianza kuchomoza basi tunakuja hapa JF kuanzisha nyuzi lukuki za udini. Hiyo siyo fair.
3. Tuzidi kuimarisha, Umoja, Amani na Mshikamano. Nchi hii Wakiristo are here to stay, Waislamu are here to stay. Yesu hakuoni mfuasi wake bora kwa kuwa mbaguzi na wala Mtume Muhammad hakuoni mfuasi wake bora kwa kuvunja amana za watu wote. Tupendeane mazuri.
Nawasilisha.
Dawa ni kukavunja haka ka muungano na kila mtu arudi kwao basi!
Wazanzibar mnakuja kuchuma huku mkituharibia Tanganyika yetu kwa kuinadi na kuiuza kwa warabu wenu.
Haya mengine waambie wapuuzi wenzenu!
Ni Waziri au Naibu? shame on youwewe una akili gekul anatoka wapi?
Upo sahihi mkuu, koo zilezile na dini ile ileMkuu, naona watu mnaingia kwenye mtego uleule ulionuiwa uwanase.
Inaonyesha dhahiri Samia na genge lake wanatafuta kuamsha hisia kama hizi zinazowaingia kichwani na kujisahau kabisa kwamba kuna ajenda inatekelezwa.
Kupambana na ajenda hiyo inalazimu utambue kwa nini inaletwa kwanza na utafute njia sahihi za kutoongeza petroli kwenye tatizo husika.
Hii ni Tanzania ya waTanzania, siyo ya kundi maalum. Tuaanzia hapo.
Story za kwenye kahawa. Story za watu wavivu.
Kitali,Story za kwenye kahawa. Story za watu wavivu.