Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Kuna mtu nlimskia anasema znz ni waadilifu sana, akasema waislam huwa hawakosei wala hawana midhambi kama wakristo tena akafika mbali akasema hata ushoga znz haupo kwasababu kule dini imetawala.

Haya naombeni maelezo ya mwanajeshi wenu wa znz aliejirekodi😂😂😂😂😂😂
Wachamungu mna kazi sana😂
 
Ama unapotosha makusudi kwa chuki zako au hujui kitu. Kuhusu viongozi Wakristo sio ubalozi wa nyumba kumi bali kuna viongazi wa ngazi za juu Wakristo kule Zanzibar. Mfano 1. Joseph Kazi ni Jaji wa Mahakama Kuu 2. Marina Joel Thomas ni Mkuu wa Wilaya ya Kati 3. Suzan Kunambi ni Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A, 4. Joseph Kayange ni hakimu wa mahakama ya Mkoa pamoja na 5. Valentina ambaye naye ni hakimu.

Ama kuhusu ushuru wa bidhaa kutoka Bara hapa ndo unasema uongo uliopitiliza. Siku zote kule Zanzibar wanasema wakitoa bidhaa toka Zanzibar zinalipshwa ushuru mara mbili. Ama kuhusu urais mama anaendelea, hivyo wewe nawe endelea tu kuimba ila mama yupo na ataendelea kuwepo bila kujali kwamba wewe unachukia.
 
Kenya kwasababu ya ukabila wakaweka kwenye KATIBA lazima lazima raisi ateue kwa misingi ya ukanda..hapa Tanzania kuna udini lazima kuwe na uwiano ambao hautofautiania Sana..ukiangalia Raisi Samia zile position kubwa kubwa asilimia kubwa wanapewa waislam ..kama Kuna teuzi 4 lazima ukute tatu ni waislam ...ila hizi teuzi ndogo ndogo ndio wakristo rundo...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
unaweza kuzitaja hizo position kubwa kubwa tuzijue halafu tuone nani kakalia nafasi hizo?
 
I don't care. Familia nyingi za kitanzania ni mchanganyiko. Mimi upande wa mama (wajomba zangu) Ni waislamu. Ni ujinga tu kufia dini za mwarabu na mzungu.
 
Mwaka wenu waislamu lakini 2025 lazima tuwang'oe hii siyo Islamic state brother
Kwa maana nyinyi ndio mna haki ya kuongoza kwa wingi, nyinyi jitieni uchizi muingie kichwa kichwa ndio mtajua sisi ni nani, mtafika Dar kwa passport kutokea huko mashenzini. Jaribuni uhuni wowote ule kama hamjarudi kwenu kwa punda.
 
Mtu yoyote mwenye Imani ya DINI hasa kwa MUISLAM kutaka kuwa kiongozi kwenye NCHI ya style hii TZ yenye kila aina ya DHULLMA unajipa mtihani tu mbele ya Mola wako sababu utakuja KUULIZWA na MOLA wako...... tulikupa UONGOZI uliwafayia haki ulio waongoza sasa hiyo sishughuli hiyo mbele huko.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Deno...
Tutazame hayo niliyoweka yatusaidie kufikiri.
Ina maana Marais watatu waislamu wote hawalioni hilo,au wanalazimishwa na "mfumo kristo" wasiwachague waislamu wenzao? Nani alaumiwe wakati hao Marais waislamu wameishatawala nchi zaidi ya miaka 20. Naomba majibu
 
Kwanini unadhani Waislamu wanachukiwa? siyo Tanzania tu,ata ukienda Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi ni nadra Muislamu kupewa nafasi za uongozi wa juu kitaifa kama Urais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu lakini Tanzania pekee ndiyo unakuta hii kitu.
Shida ya hawa watu huwa wanashindwa kutenganisha mstari wa serikali na dini.
Nenda Zanzibar Mkristo gani kapewa madaraka ilihali wapo kibao au hawajasoma?au Mkristo aombe kibali cha kujenga Kanisa Zanzibar,atakavyozungushwa ni balaa!!
Kwa kifupi hawa watu ni wabaguzi!
Kama ilivyo ngumu kupata kibali cha kujenga msikiti huko Roma
 
Kwa maana nyinyi ndio mna haki ya kuongoza kwa wingi, nyinyi jitieni uchizi muingie kichwa kichwa ndio mtajua sisi ni nani, mtafika Dar kwa passport kutokea huko mashenzini. Jaribuni uhuni wowote ule kama hamjarudi kwenu kwa punda.
Mpuuzi wewe, nani unamtisha?
 
Ina maana Marais watatu waislamu wote hawalioni hilo,au wanalazimishwa na "mfumo kristo" wasiwachague waislamu wenzao? Nani alaumiwe wakati hao Marais waislamu wameishatawala nchi zaidi ya miaka 20. Naomba majibu
Last...
Swali zuri sana na itapendeza kama hawa marais Waislam walio hai watoe majibu.
 
Tatizo sio dini, uwezo wa mtu ndio unamuweka pale alipo kuwa msomi sio kuelimika, maana kusoma ni jambo la kwanza na kuelemika ni jambo la pili je una uwezo wa kuunganisha mambo yote kwa wakati mmoja, Bill Get yupo pale sii kwamba dini yake imemfikisha pale uwezo wake, wewe lala hekaluni ukiomba mungu mwenzako aende darasani alafu mwisho wa siku useme unaonewa kwenye chaguzi
 
Eti yanga ina udini first 11 imejaa wagalatia! My foot ' haya Matatizo ya waafrika yanapaswa kutibiwa mapema otherwise wajukuu zao watarithi
 
Wewe ni mwandishi wa habari mkongwe..why don't you ask them?
Last...
Mimi sijapata kuwa mwandishi wa habari.

Labda kwa kuwa umesoma mengi kutoka kwangu ukadhani kuwa mimi ni "journalist."

Mimi ujuzi wangu uko katika historia na nimeandika vitabu kadhaa.

Swali hili la Waislam serikali imelifanya kuwa nyeti sana toka Julius Nyerere alipokuwa madarakani.

Nyerere hakutaka hata kuhuhusishwa na historia ya Waislam waliounda TANU na waliomuweka yeye madarakani.

Nyerere hakupata hata kutoa medali kwa wazalendo ambao kwa hakika haiwezekani kuandikwa historia ya Tanganyika bila ya wao kutajwa.

Hapa nakupa mfano wa Abdul Sykes TANU Card No. 3 na mfadhili mkuu wa harakati za uhuru, Ally Sykes TANU Card No. 2, Iddi Faizi Mafungo Mweka Hazina wa kwanza wa TANU kadi yake No. 24 na mkusanyaji wa fedha safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955.

Huu ni mfano mdogo sana katika historia ya Waislam waliojitolea kwa hali na mali katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kabla ya kustaafu mwaka wa 1985 Nyerere alitoa medali 3979 kwa Watanzania walioitumikia nchi hii.

Majina hayo hapo juu hawakuwapo katika orodha.

Jiulize ikiwa hawa hawa hawamo ndani ya orodha ile wako watu gani na kwa sifa zipi?

Umaarufu wangu ulikuja baada ya mimi kuthubutu kuandika kitabu kilichoeleza historia hii ya uhuru kwa ukamilifu na ukweli wake.

Katika historia hii nimeeleza njama iliyokuwapo ya kukandamiza Waislam na Uislam baada ya uhuru kupatikana mwaka wa 1961.

Kitabu hiki kipo na kimechapwa mara nne toka kilipotoka mara ya kwanza kwa Kiingereza mwaka wa 1998.

Kwa ajili hii basi mimi leo sihitaji kumuuliza raisi yeyote kuhusu tatizo hili la Waislam ndani ya serikali zote zilizopita.

Kitabu changu marais wote wamekisoma pamoja na watumishi wakuu wa serikali.

Hiki kilipotoka hakikuwa kitabu cha kawaida kilizungumzwa hadi ngazi za juu kabisa na aliyefungua mlango huu alikuwa Prof. Haroub Othman kwa kumkabili Nyerere.

1677761239397.jpeg

Mwandishi akimkabidhi Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kitabu cha maisha ya Abdul Sykes Ukumbi wa Korea 2014

1677763727507.jpeg

Kushoto Rashid Sisso, Robert Makange, Iddi Faiz Mafungo, Julius Nyerere, John Rupia Bi. Titi Mohamed Uwanja wa Ndege Dar es Salaam safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955​
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Last...
Mimi sijapata kuwa mwandishi wa habari.

Labda kwa kuwa umesoma mengi kutoka kwangu ukadhani kuwa mimi ni "journalist."

Mimi ujuzi wangu uko katika historia na nimeandika vitabu kadhaa.

Swali hili la Waislam serikali imelifanya kuwa nyeti sana toka Julius Nyerere alipokuwa madarakani.

Nyerere hakutaka hata kuhudusishwa na historia ya Waislam waliounda TANU na waliomuweka yeye madarakani.

Nyerere hakupata hata kutoa medali kwa wazalendo ambao kwa hakika haiwezekani kuandikwa historia ya Tanganyika bila ya wao kutajwa.

Umaarufu wangu ulikuja baada ya mimi kuthubutu kuandika kitabu kilichoeleza historia ya uhuru kwa ukamilifu na ukweli wake.

Katika historia hii nimeeleza njama iliyokuwapo ya kukandamiza Waislam na Uislam.

Kitabu hiki kipo na kimechapwa mara nne toka kilipotoka mara ya kwanza kwa Kiingereza mwaka wa 1998.

Kwa ajili hii basi mimi leo sihitaji kumuuliza raisi yeyote kuhusu tatizo hili la Waislam ndani ya serikali zote zilizopita.
Basi adui wa waislamu ni waislamu wenyewe. Haiwezekani mmeshaweka marais watatu ikulu na wameshindwa wenyewe kufanya kitu, lakin bado muendelee kuwalaumu wakristo na "mfumo kristo". Wakati kila mtu anajua mandate ya rais wa Tanzania yalivyo.

Pia kumweka Katibu mkuu sijui mkurugenzi wa necta mwislamu hapo haimsaidii chochote mtoto wa kiislamu kufaulu. Mwanzoni mlikuwa mnalaumu waislamu hawafaulu kwasababu ya mfumo wa kuandika jina kwenye karatasi ya mtihani... Kwanini hamjaja na takwimu kwanza toka mfumo mpya wa kuandika namba umeanza, ufaulu wa waislamu umeongezeka kiasi gani? It's just bunch of nonsense. Kwasababu mtoto hafaulu siku ya mtihani.. bali mazingira aliyokulia ya kujifunza.

Tatizo waislamu mnatafuta sababu ya kufeli kwenu, wakati your life style at home inachangia yote haya. Mimi nimekulia nyumba ya kiislamu, najua kila kitu kuhusu uislamu na watu wake. Wazazi wengi wa kiislamu hawajali sana kuhusu elimu dunia..Nina mfano hai kuna Answar sunna wengi ambao hawataki watoto wao wasome shule kwasababu wanasema watoto wao wa kike wanapaswa wafundishwe na walimu wa kike tu, hivyo kuna mmoja ninaemfahamu ana watoto kama wanne wa kike ambao wapo nyumbani tu ambao hawasomi shule yoyote, na mtoto wa kike mkubwa amefikia umri wa kuolewa..hawajui kusoma wala kuandika. Unategemea hata wakienda kuolewa wataanzisha familia ya watu wajinga kiasi gani?
Kingine, waarabu ni matajiri wa dunia sasa hivi, lakin huwezi kuona mahali popote hasa Africa, wakisaidia waislamu wenzao kujenga school complexes kwaajili ya waumini wenzao, utaona wanajenga misikiti na visima, visima?! wanadhani sisi tupo jangwani kama wao? Adui wa mwislamu ni mwislamu mwenzake. Period!
 
Kingine, waarabu ni matajiri wa dunia sasa hivi, lakin huwezi kuona mahali popote hasa Africa, wakisaidia waislamu wenzao kujenga school complexes kwaajili ya waumini wenzao, utaona wanajenga misikiti na visima, wanadhani sisi tupo jangwani kama wao? Adui wa mwislamu ni mwislamu mwenzake. Period!
Ndugu yangu wewe ambae si muislam unaweza kutuwekea mfano wa mafanikio uliyonayo "Kwa kule tu kuwa wewe si muislam?" je wewe usie muislam na muislam Dr Asha Rose migiro mafanikio yenu yanalingana? Je wewe na huyo Rais mstaafu mko sawa?... Niko hapa nasubiri majibu mwafrika mwenzangu
 
Basi adui wa waislamu ni waislamu wenyewe. Haiwezekani mmeshaweka marais watatu ikulu na wameshindwa wenyewe kufanya kitu, lakin bado muendelee kuwalaumu wakristo na "mfumo kristo". Wakati kila mtu anajua mandate ya rais wa Tanzania yalivyo.

Pia kumweka Katibu mkuu sijui mkurugenzi wa necta mwislamu hapo haimsaidii chochote mtoto wa kiislamu kufaulu. Mwanzoni mlikuwa mnalaumu waislamu hawafaulu kwasababu ya mfumo wa kuandika jina kwenye karatasi ya mtihani... Kwanini hamjaja na takwimu kwanza toka mfumo mpya wa kuandika namba umeanza, ufaulu wa waislamu umeongezeka kiasi gani? It's just bunch of nonsense. Kwasababu mtoto hafaulu siku ya mtihani.. bali mazingira aliyokulia ya kujifunza.

Tatizo waislamu mnatafuta sababu ya kufeli kwenu, wakati your life style at home inachangia yote haya. Mimi nimekulia nyumba ya kiislamu, najua kila kitu kuhusu uislamu na watu wake. Wazazi wengi wa kiislamu hawajali sana kuhusu elimu dunia..Nina mfano hai kuna Answar sunna wengi ambao hawataki watoto wao wasome shule kwasababu wanasema watoto wao wa kike wanapaswa wafundishwe na walimu wa kike tu, hivyo kuna mmoja ninaemfahamu ana watoto kama wanne wa kike ambao wapo nyumbani tu ambao hawasomi shule yoyote, na mtoto wa kike mkubwa amefikia umri wa kuolewa..hawajui kusoma wala kuandika. Unategemea hata wakienda kuolewa wataanzisha familia ya watu wajinga kiasi gani?
Kingine, waarabu ni matajiri wa dunia sasa hivi, lakin huwezi kuona mahali popote hasa Africa, wakisaidia waislamu wenzao kujenga school complexes kwaajili ya waumini wenzao, utaona wanajenga misikiti na visima, visima?! wanadhani sisi tupo jangwani kama wao? Adui wa mwislamu ni mwislamu mwenzake. Period!
Last...
Mimi si mtu wa kubishana.
Tatizo linafahamika na viongozi wetu.

Zamani watu wakiogopa kusema kweli.
Leo mambo yote yako hadharani.

Agenda iko juu ya meza sasa ni wakati wa kusubiri.
 
Back
Top Bottom