Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
umeona wajumbe wa nec waliochaguliwa 7-DEC-2022 Dodoma,au umeshikiwa akili?Tuanze na uvccm ule uongozi si baraza la Ulamaa au Shura ya maimum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona wajumbe wa nec waliochaguliwa 7-DEC-2022 Dodoma,au umeshikiwa akili?Tuanze na uvccm ule uongozi si baraza la Ulamaa au Shura ya maimum
unaweza kuzitaja hizo position kubwa kubwa tuzijue halafu tuone nani kakalia nafasi hizo?Kenya kwasababu ya ukabila wakaweka kwenye KATIBA lazima lazima raisi ateue kwa misingi ya ukanda..hapa Tanzania kuna udini lazima kuwe na uwiano ambao hautofautiania Sana..ukiangalia Raisi Samia zile position kubwa kubwa asilimia kubwa wanapewa waislam ..kama Kuna teuzi 4 lazima ukute tatu ni waislam ...ila hizi teuzi ndogo ndogo ndio wakristo rundo...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vipi kuhusu Zito Kabwe?Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika...
Kwa maana nyinyi ndio mna haki ya kuongoza kwa wingi, nyinyi jitieni uchizi muingie kichwa kichwa ndio mtajua sisi ni nani, mtafika Dar kwa passport kutokea huko mashenzini. Jaribuni uhuni wowote ule kama hamjarudi kwenu kwa punda.Mwaka wenu waislamu lakini 2025 lazima tuwang'oe hii siyo Islamic state brother
Ina maana Marais watatu waislamu wote hawalioni hilo,au wanalazimishwa na "mfumo kristo" wasiwachague waislamu wenzao? Nani alaumiwe wakati hao Marais waislamu wameishatawala nchi zaidi ya miaka 20. Naomba majibuDeno...
Tutazame hayo niliyoweka yatusaidie kufikiri.
Kama ilivyo ngumu kupata kibali cha kujenga msikiti huko RomaKwanini unadhani Waislamu wanachukiwa? siyo Tanzania tu,ata ukienda Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi ni nadra Muislamu kupewa nafasi za uongozi wa juu kitaifa kama Urais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu lakini Tanzania pekee ndiyo unakuta hii kitu.
Shida ya hawa watu huwa wanashindwa kutenganisha mstari wa serikali na dini.
Nenda Zanzibar Mkristo gani kapewa madaraka ilihali wapo kibao au hawajasoma?au Mkristo aombe kibali cha kujenga Kanisa Zanzibar,atakavyozungushwa ni balaa!!
Kwa kifupi hawa watu ni wabaguzi!
Mpuuzi wewe, nani unamtisha?Kwa maana nyinyi ndio mna haki ya kuongoza kwa wingi, nyinyi jitieni uchizi muingie kichwa kichwa ndio mtajua sisi ni nani, mtafika Dar kwa passport kutokea huko mashenzini. Jaribuni uhuni wowote ule kama hamjarudi kwenu kwa punda.
Last...Ina maana Marais watatu waislamu wote hawalioni hilo,au wanalazimishwa na "mfumo kristo" wasiwachague waislamu wenzao? Nani alaumiwe wakati hao Marais waislamu wameishatawala nchi zaidi ya miaka 20. Naomba majibu
Wewe ni mwandishi wa habari mkongwe..why don't you ask them?Last...
Swali zuri sana na itapendeza kama hawa marais Waislam walio hai watoe majibu.
Eti yanga ina udini first 11 imejaa wagalatia! My foot ' haya Matatizo ya waafrika yanapaswa kutibiwa mapema otherwise wajukuu zao watarithiTatizo sio dini, uwezo wa mtu ndio unamuweka pale alipo kuwa msomi sio kuelimika, maana kusoma ni jambo la kwanza na kuelemika ni jambo la pili je una uwezo wa kuunganisha mambo yote kwa wakati mmoja, Bill Get yupo pale sii kwamba dini yake imemfikisha pale uwezo wake, wewe lala hekaluni ukiomba mungu mwenzako aende darasani alafu mwisho wa siku useme unaonewa kwenye chaguzi
Last...Wewe ni mwandishi wa habari mkongwe..why don't you ask them?
Basi adui wa waislamu ni waislamu wenyewe. Haiwezekani mmeshaweka marais watatu ikulu na wameshindwa wenyewe kufanya kitu, lakin bado muendelee kuwalaumu wakristo na "mfumo kristo". Wakati kila mtu anajua mandate ya rais wa Tanzania yalivyo.Last...
Mimi sijapata kuwa mwandishi wa habari.
Labda kwa kuwa umesoma mengi kutoka kwangu ukadhani kuwa mimi ni "journalist."
Mimi ujuzi wangu uko katika historia na nimeandika vitabu kadhaa.
Swali hili la Waislam serikali imelifanya kuwa nyeti sana toka Julius Nyerere alipokuwa madarakani.
Nyerere hakutaka hata kuhudusishwa na historia ya Waislam waliounda TANU na waliomuweka yeye madarakani.
Nyerere hakupata hata kutoa medali kwa wazalendo ambao kwa hakika haiwezekani kuandikwa historia ya Tanganyika bila ya wao kutajwa.
Umaarufu wangu ulikuja baada ya mimi kuthubutu kuandika kitabu kilichoeleza historia ya uhuru kwa ukamilifu na ukweli wake.
Katika historia hii nimeeleza njama iliyokuwapo ya kukandamiza Waislam na Uislam.
Kitabu hiki kipo na kimechapwa mara nne toka kilipotoka mara ya kwanza kwa Kiingereza mwaka wa 1998.
Kwa ajili hii basi mimi leo sihitaji kumuuliza raisi yeyote kuhusu tatizo hili la Waislam ndani ya serikali zote zilizopita.
Ndugu yangu wewe ambae si muislam unaweza kutuwekea mfano wa mafanikio uliyonayo "Kwa kule tu kuwa wewe si muislam?" je wewe usie muislam na muislam Dr Asha Rose migiro mafanikio yenu yanalingana? Je wewe na huyo Rais mstaafu mko sawa?... Niko hapa nasubiri majibu mwafrika mwenzanguBasi adui wa waislamu ni waislamu wenyewe. Haiwezekani mmeshaweka marais watatu ikulu na wameshindwa wenyewe kufanya kitu, lakin bado muendelee kuwalaumu wakristo na "mfumo kristo". Wakati kila mtu anajua mandate ya rais wa Tanzania yalivyo.
Pia kumweka Katibu mkuu sijui mkurugenzi wa necta mwislamu hapo haimsaidii chochote mtoto wa kiislamu kufaulu. Mwanzoni mlikuwa mnalaumu waislamu hawafaulu kwasababu ya mfumo wa kuandika jina kwenye karatasi ya mtihani... Kwanini hamjaja na takwimu kwanza toka mfumo mpya wa kuandika namba umeanza, ufaulu wa waislamu umeongezeka kiasi gani? It's just bunch of nonsense. Kwasababu mtoto hafaulu siku ya mtihani.. bali mazingira aliyokulia ya kujifunza.
Tatizo waislamu mnatafuta sababu ya kufeli kwenu, wakati your life style at home inachangia yote haya. Mimi nimekulia nyumba ya kiislamu, najua kila kitu kuhusu uislamu na watu wake. Wazazi wengi wa kiislamu hawajali sana kuhusu elimu dunia..Nina mfano hai kuna Answar sunna wengi ambao hawataki watoto wao wasome shule kwasababu wanasema watoto wao wa kike wanapaswa wafundishwe na walimu wa kike tu, hivyo kuna mmoja ninaemfahamu ana watoto kama wanne wa kike ambao wapo nyumbani tu ambao hawasomi shule yoyote, na mtoto wa kike mkubwa amefikia umri wa kuolewa..hawajui kusoma wala kuandika. Unategemea hata wakienda kuolewa wataanzisha familia ya watu wajinga kiasi gani?
Kingine, waarabu ni matajiri wa dunia sasa hivi, lakin huwezi kuona mahali popote hasa Africa, wakisaidia waislamu wenzao kujenga school complexes kwaajili ya waumini wenzao, utaona wanajenga misikiti na visima, wanadhani sisi tupo jangwani kama wao? Adui wa mwislamu ni mwislamu mwenzake. Period!
Last...Basi adui wa waislamu ni waislamu wenyewe. Haiwezekani mmeshaweka marais watatu ikulu na wameshindwa wenyewe kufanya kitu, lakin bado muendelee kuwalaumu wakristo na "mfumo kristo". Wakati kila mtu anajua mandate ya rais wa Tanzania yalivyo.
Pia kumweka Katibu mkuu sijui mkurugenzi wa necta mwislamu hapo haimsaidii chochote mtoto wa kiislamu kufaulu. Mwanzoni mlikuwa mnalaumu waislamu hawafaulu kwasababu ya mfumo wa kuandika jina kwenye karatasi ya mtihani... Kwanini hamjaja na takwimu kwanza toka mfumo mpya wa kuandika namba umeanza, ufaulu wa waislamu umeongezeka kiasi gani? It's just bunch of nonsense. Kwasababu mtoto hafaulu siku ya mtihani.. bali mazingira aliyokulia ya kujifunza.
Tatizo waislamu mnatafuta sababu ya kufeli kwenu, wakati your life style at home inachangia yote haya. Mimi nimekulia nyumba ya kiislamu, najua kila kitu kuhusu uislamu na watu wake. Wazazi wengi wa kiislamu hawajali sana kuhusu elimu dunia..Nina mfano hai kuna Answar sunna wengi ambao hawataki watoto wao wasome shule kwasababu wanasema watoto wao wa kike wanapaswa wafundishwe na walimu wa kike tu, hivyo kuna mmoja ninaemfahamu ana watoto kama wanne wa kike ambao wapo nyumbani tu ambao hawasomi shule yoyote, na mtoto wa kike mkubwa amefikia umri wa kuolewa..hawajui kusoma wala kuandika. Unategemea hata wakienda kuolewa wataanzisha familia ya watu wajinga kiasi gani?
Kingine, waarabu ni matajiri wa dunia sasa hivi, lakin huwezi kuona mahali popote hasa Africa, wakisaidia waislamu wenzao kujenga school complexes kwaajili ya waumini wenzao, utaona wanajenga misikiti na visima, visima?! wanadhani sisi tupo jangwani kama wao? Adui wa mwislamu ni mwislamu mwenzake. Period!