Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Hongera Kwa kuslimu
 
Hivi naomba niulize, Zanzibar sio part ya muungano? Mbona kule ni waislam tupu na hatulalamiki? Kuna ofisi ni waislam mwanzo mwisho kwani hakuna wakristo znz?

Waislam mna inferiority complex sana yani
Nyie ndio mna inferio complex, teuzi wakipata waislam mnaongeeeea, sasa tumefika mwisho, ni do or die, JINO KWA JINO.
 
Jaji Augustino Ramadhani unamjua? Familia ya kina Wema Sepetu unaijua?
 
Siungi mkono watu kuteuliwa au kubaguliwa kwa kigezo Cha dini.
Ila ishu ya wanafunzi kuomba darasa Ili kufanyia ibada,tofauti ya wakristo na Islam,ni kwamba,kwa wakristo darasa lolote wanaweza kufanyia ibada na likatumika kwa mambo Mengine,islam wanataka darasa liwe designated kama msikiti mdogo,hakuna mtu mwingine asie islam kuingia,hii si sawa kwenye taasisi za umma.
Nilikutana na waislam kutoka Zenj, DIT wakataka darasa moja litengwe kama sehemu ya Swala,na hakuna mtu mwingine kuingia na viatu,uongozi ukakataa,wazenj wakaona Bora wafanyie Swala chini ya mti kuliko madarasani,Kuna najisi.
Alikuwepo meneja mmoja wa Kanda wa kampuni moja ya simu,ofisini kwake alipiga marufuku watu kuingia na viatu,akataka kuleta zile tamaduni za kiislam,Arab kazini,anafunga ofc,anapiga Swala wakati Kuna watu wamekuja kuleta biashara za mamilioni,
Kampuni,ikaona ujinga huu,ikampiga chini.
Uislam,Ukristo,ukabila hautaleta maendeleo ya nchi,kama Mimi ni mkristo,na mzaramo,hata wakiteuliwa waislam na wazaram watupu,Mimi inanipa faida gani?maana wanafaidi wao na familia zao,
Mimi naendelea kupigika tu
 
Mbona hukuongea alipoteua wakuu wa wilaya 95% wakiwa ni Wakristo?
Nawe ni mdini tu,

Ulijuaje kama ni waktisto kama hukuwafuatilia ktk vigezo kidini Badala ya uwezo wao?

HOJA ya dini Kwa wateuliwa wa Rais ni mufilisi.
 
Absolutely, hili ni kosa ambalo ata JPM tulimkosoa sana. JK japo ni Muislamu lakini alijitahidi kuzingatia Jiografia katika teuzi zake. Ila Mama Maridhiano anaharibu na watu wanamtetea, why?

Hao watu wa Pwani ndiyo watakaoivusha CCM kwenye uchaguzi?
Teuzi za udini waziwazi
 
Nchi hii shida siyo dini Kuna kundi la makabila hayatakiai kwenye leadership,wakiwemo wahaya ,wachache,muha na msukuma anaenda kuwa mhanga wa tatu
 
Punguza chuki ! Kaangalie wakina Nan enzi za Nyerere mpaka wanapeleka umeme na barabara huko migombani na waliofanya upendeleo sana wala hatuna time nao.

Yetu mnayajua ya kwenu hatuyajui ...punguza shobo na watu wa Pwani.
Tulia wewe, walipa kodi wakubwa nchi hii wanatoka bara, niambie nani Zanzibar mlipa kodi mkubwa? lazima tulalamike
 
Mchungaji Kimaro alishamaliza, nyie wala poko ni walafi kama poko mwenyewe, yaani nyinyi wapigaji wa kubwa sana. Hamuaminiki hata shughuli za shambani tu!

Mchungaji Kimaro amewachana na visuti vyenu.
Mpuuzi wewe, nitajie mzawa toka Pwani ambaye ni tajiri ukiacha warabu na wahindi
 
Ndugu zangu wakiristo punguzeni chuki wengine tulisoma kwa juhudi na kumaliza elimu ya vyuo na kila tulipokuwa tukiomba ajira mkiona tu majina ya waislamu mlikuwa mkiya fekelea mbali. tumekubali na tunaendelea na maisha yetu mengine Nini maana ya kafiri
 

Unaweza kutupa sababu yenye mantiki ya wabunge wote wa mkoa wa pwani kuwa mawaziri?
 
Mwaka wenu waislamu lakini 2025 lazima tuwang'oe hii siyo Islamic state brother
Ila hii ni roman empire!?..nyakati zimebadilika,siyo 1970s,80s hii,na tunakoelekea waislam watateuliwa wengi zaidi ya dini zingine,na hakuna kitu mtafanya,mkitaka vurugu tutasafisha uwanja wa vurugu tuwaoneshe vurugu zilivyo
 
Hebu tuambie kwa mujibu wa takwimu rasmi, Tanzania (Tanganyika) ina Waislam wangapi na wakristo wangapi?
Muulizeni anaeteua. So hata kama kuna wakristo wenye uwezo awaache akawachukue kina abdala ili mjiskie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…