Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Walitumika kufelisha waislam sana hasa.
Na hasa huyu wanaemuita Baba WA taifa.
Ushawahi jiuliza why wamemuita miongoni mwa watakatifu
??
 
Rubbish, unateuaji Tanga mawaziri 4 na Pwani 5 na huku Arusha, Manyara, Dar n.k hakuna hata Waizri 1? kimsingi Mama ni mdini sana hafai
Yote heri hata akiteua Tanga tupu mradi hao watu wanapiga kazi hakuna neno.
Mimi bado nalia na Nape, Januari na kilaza Mwigulu hawa alipaswa kuwa sweep kitambo tu.
 
Ijumaa tembelea misikitini,jumapili nenda kanisani...uone wapi watu huenda kupata misaada
Ndio maana mnaambiwa akili hamna, kumpa mtu mkate mmoja kila ijumaa ndio kumjali? Kwa nn usimpe njia za yeye kupata huo mkate kila siku?
 
Ndio maana mnaambiwa akili hamna, kumpa mtu mkate mmoja kila ijumaa ndio kumjali? Kwa nn usimpe njia za yeye kupata huo mkate kila siku?
Huko kanisani wanapewa hata hiyo mikate ya siku moja!?..ulishawahi kulala na kushinda njaa kwa siku moja ili walau ujue thamani ya mlo wa siku moja!?..una akili za kuvalia chupi tu
 
Huu moto wa udini naona unazidi kasi na unafukuta hasa siku ukilipuka hii nchi haitotosha naona chuki imekuwa kubwa mno
 
Haya mambo inapaswa yajadiliwe ili kama yanafanyika yasiendelee tena.
 
Huko kanisani wanapewa hata hiyo mikate ya siku moja!?..ulishawahi kulala na kushinda njaa kwa siku moja ili walau ujue thamani ya mlo wa siku moja!?..una akili za kuvalia chupi tu
Akili mtu wangu, hapa unazidi kudhihirisha akili hakuna. Yaani mtu akae na njaa hadi ijumaa ili apewe kipande cha mkate? Sisi makanisani kuna shule, vyuo na huduma zingine ambazo ukipata utaweza kuondokana na umaskini
 
Huo ndio utumbo zaidi hivi gharama za hayo mashule ya makanisa masikini anaweza kuyamudu

Hivi nyie mnatumia ubongo kweli kufikiri

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe badala ya kuchambua hoja zake umekuja na jazba za kidini kupinga alichokiandika. Unapinga udini ilhali maelezo yako yanadhihirisha udini wa hali ya juu.
 
Akili mtu wangu, hapa unazidi kudhihirisha akili hakuna. Yaani mtu akae na njaa hadi ijumaa ili apewe kipande cha mkate? Sisi makanisani kuna shule, vyuo na huduma zingine ambazo ukipata utaweza kuondokana na umaskini
Hizo huduma kanisani za shule,vyuo nk zinatolewa Bure!?..hao masikini wenyewe wanaona misaada ya misikitini inawasaidia ndiyo maana wanaenda...uwe unafikiri,siyo kichwa unavalia kapelo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…