Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Tutadili nae vizuri, na sasa kwa kuwa tumejua ajenda yao basi, watakiona cha moto.
 
Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika...
Taasisi ya teki!
Mbona walielewana mapema na bi mkubwa, nakumbuka ni taasisi ya mwanzo kabisa kukutana na kuongea nao faragha.
 
Nafikiri kila mtu mwenye sifa apewe nafasi bila kuzingatia factor yeyote

But mtoa mada unashindwa kuelewa kua kwenye population yenye sample size 100 hata 50 ya sample size wenye sifa kwa dini ya kiislamu hawafikii

Huo muda unaleta udini humu ungetumia kuhamasisha waislamu wasome au wawe empowered thru education ili wapate nafasi kama hao wengine
 
Huu moto wa udini naona unazidi kasi na unafukuta hasa siku ukilipuka hii nchi haitotosha naona chuki imekuwa kubwa mno
Hapa iwe nusu kwa nusu, waislam nusu na wakristo nusu. Bila hivyo chuki zitaendelea tu, maana wakristo wanaona hii nchi ni kama yao hivi.
 
Hoja yako nini? NECTA kuna nini hata wakiwekwa waislamu wote? twende kwenye ngazi za maamuzi
Hujui kitu kuhusu kudhibiti Elimu ili muendelee kusema waislamu hawataki shule kumbe mnatufinya kwenye System...
 
Hujui kitu kuhusu kudhibiti Elimu ili muendelee kusema waislamu hawataki shule kumbe mnatufinya kwenye System...
Heeeh kwamba elimu haiwafikii au wataka kusemaje??

Shida yenu ndugu zetu mnapenda kujimilikisha kila kitu, hata mkipewa hiki hamridhiki badala yake mnaplay victim
 
Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika...
Mkuu jibu hoja na wewe unatetea? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Unachanganya mzee baba. Hao ni waliowahi kuwa wenyeviti wa bodi ya NECTA. Ambayo hata sasa ni William Anangisye. Wenyeviti wa Bodi haijawahi kuwa topic. I think topic hapa uliokusudia ingewahusu Makatibu(Watendaji Wakuu) wa Baraza.
 
Heeeh kwamba elimu haiwafikii au wataka kusemaje??

Shida yenu ndugu zetu mnapenda kujimilikisha kila kitu, hata mkipewa hiki hamridhiki badala yake mnaplay victim
Miaka ya 2000 matokeo yalikuwa yanageuzwa mpk tukaandamana nchi nzima,, muislamu mwenye A alikuwa anawekewa B mwenye C anawekewa D,,ulikuwa Ni uhuni mkubwa wa NECTA Mpk mfumo wa majina ulipoondolewa na kutumika wa namba,,, Nyie kwa rafu hamjambo
 
Unachanganya mzee baba. Hao ni waliowahi kuwa wenyeviti wa bodi ya NECTA. Ambayo hata sasa ni William Anangisye. Wenyeviti wa Bodi haijawahi kuwa topic. I think topic hapa uliokusudia ingewahusu Makatibu(Watendaji Wakuu) wa Baraza.
The problem they are jealous and its sad they are incompetent to fit in such position the thing to save them is to play victim in shade of religion

Its sad
 
Tuongee na fact em kachukue matokeo ya sensa then compare sample population utaona wakristu ni wengi iuliko waislamu
Bado hujajibu hoja nakuuliza tena hii Tanzania Bara ni nchi ya wakristo pekee

Alafu ukitaka kujua wingi wa waislam Tanzania Bara wekeni kura alafu muone

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…