CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Kama hampendi vita mnalalamika nini?? Nani kapendelewa kwenye teuzi? Waislam hawana hali ya kuteuliwa?? Hii nchi ni ya Kikristo??Waislam mnapenda sana vita na ushindani. Typical bushmen behavior
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hampendi vita mnalalamika nini?? Nani kapendelewa kwenye teuzi? Waislam hawana hali ya kuteuliwa?? Hii nchi ni ya Kikristo??Waislam mnapenda sana vita na ushindani. Typical bushmen behavior
Angalia jamii wanakotoka ni umaskini wa kutupwa, mtu kama huyo utegemee akuongoze kwenye mafanikio!Wana elimu stahiki na uwezo wa uongozi,
Why not?Angalia jamii wanakotoka ni umaskini wa kutupwa, mtu kama huyo utegemee akuongoze kwenye mafanikio!
Tutadili nae vizuri, na sasa kwa kuwa tumejua ajenda yao basi, watakiona cha moto.Dr Slaa ni mfano mzuri kwenye hii mada.
Kwake Mkristo ndio mtu sahihi kuongoza nchi.
Wakati wa JAKAYA Slaa alikuwa mwiba na alishambulia serikali sana,Alipoingia Magufuli,pamoja na ukatili wote lkn Slaa aliungana nae,leo Kaingia Mwislaam Slaa analob kurudi Chadema ili akapate jukwaa la kunadi chuki zake.
Taasisi ya teki!Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika...
Hapa iwe nusu kwa nusu, waislam nusu na wakristo nusu. Bila hivyo chuki zitaendelea tu, maana wakristo wanaona hii nchi ni kama yao hivi.Huu moto wa udini naona unazidi kasi na unafukuta hasa siku ukilipuka hii nchi haitotosha naona chuki imekuwa kubwa mno
Hujui kitu kuhusu kudhibiti Elimu ili muendelee kusema waislamu hawataki shule kumbe mnatufinya kwenye System...Hoja yako nini? NECTA kuna nini hata wakiwekwa waislamu wote? twende kwenye ngazi za maamuzi
Ni nchi yao nyie mrudi zanzibar mtumikie nchi yenuMambo kumbe huwa yanabadilika leo hii wakristo wanalalama hovyo.
Haya kawekwa ndugu yenu furahieni mtaanza kuongoza kwenye matokeHujui kitu kuhusu kudhibiti Elimu ili muendelee kusema waislamu hawataki shule kumbe mnatufinya kwenye System...
Heeeh kwamba elimu haiwafikii au wataka kusemaje??Hujui kitu kuhusu kudhibiti Elimu ili muendelee kusema waislamu hawataki shule kumbe mnatufinya kwenye System...
Mkuu jibu hoja na wewe unatetea? 😂😂😂🤣🤣🤣Kuna Taasisi inaratibu hizo chuki .
Ndo maana unaona Dr Slaa sasa taratibu anatoka CCM kurudi Chadema kuongeza nguvu...
Dr Slaa alikuwa katibu zamani wa Taasisi husika...
Alie kwambia Tanzania ni ya wakristo ni nani?Ni nchi yao nyie mrudi zanzibar mtumikie nchi yenu
Mambo yasiwe mengi sana chief
Unachanganya mzee baba. Hao ni waliowahi kuwa wenyeviti wa bodi ya NECTA. Ambayo hata sasa ni William Anangisye. Wenyeviti wa Bodi haijawahi kuwa topic. I think topic hapa uliokusudia ingewahusu Makatibu(Watendaji Wakuu) wa Baraza.VIONGOZI WA NECTA TANGIA KUANZISHWA KWAKE 21/11/73
1
1973 - 1977
P. MSEKWA
MKRISTO
2
1977 – 1980
I.M KADUMA
MKRISTO
3
1980 - 1988
N. A KUHANGA
MKRISTO
4
1988 - 1992
G. R. N.MMARI (prof)
MKRISTO
5
1992 - 1999
M.L LUHANGA
MKRISTO
6
1999 – 2004
G.R.V MMARI (prof)
MKRISTO
7
2004 - 2007
E. MWAIKONDO (PROF)
MKRISTO
8
2007 - 2018
R.S MKANDALA (PROF)
MKRISTO
9
2018 – to date
W.A.L. ANANGISYE (PROF)
MKRISTO
10
SECONDARY KUTOKA (DED)
EMANUEL BARIDI
MKRISTO
11
PRIMARY KUTOKA (DED)
ESTHER THOMAS
MKRISTO
12
UALIMU NA UTAALAM KUTOKA (DED)
JOSEPH KAMILI
MKRISTO
Tuongee na fact em kachukue matokeo ya sensa then compare sample population utaona wakristu ni wengi iuliko waislamuAlie kwambia Tanzania ni ya wakristo ni nani?
Ndio maana mnapiga kelele hovyo kama majibwa koko nilikua sijui kama wenzetu mmejimilikisha nchi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Miaka ya 2000 matokeo yalikuwa yanageuzwa mpk tukaandamana nchi nzima,, muislamu mwenye A alikuwa anawekewa B mwenye C anawekewa D,,ulikuwa Ni uhuni mkubwa wa NECTA Mpk mfumo wa majina ulipoondolewa na kutumika wa namba,,, Nyie kwa rafu hamjamboHeeeh kwamba elimu haiwafikii au wataka kusemaje??
Shida yenu ndugu zetu mnapenda kujimilikisha kila kitu, hata mkipewa hiki hamridhiki badala yake mnaplay victim
The problem they are jealous and its sad they are incompetent to fit in such position the thing to save them is to play victim in shade of religionUnachanganya mzee baba. Hao ni waliowahi kuwa wenyeviti wa bodi ya NECTA. Ambayo hata sasa ni William Anangisye. Wenyeviti wa Bodi haijawahi kuwa topic. I think topic hapa uliokusudia ingewahusu Makatibu(Watendaji Wakuu) wa Baraza.
Huo Ni uongo yaani nyie mzaane kwa uzazi wa mpango halafu mtuzidi sisi wazee wa kufyatua?Tuongee na fact em kachukue matokeo ya sensa then compare sample population utaona wakristu ni wengi iuliko waislamu
Bado hujajibu hoja nakuuliza tena hii Tanzania Bara ni nchi ya wakristo pekeeTuongee na fact em kachukue matokeo ya sensa then compare sample population utaona wakristu ni wengi iuliko waislamu