Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Sasa bora kipi kutokua nayo kabisa? Pawe kama huko kwenuHuo ndio utumbo zaidi hivi gharama za hayo mashule ya makanisa masikini anaweza kuyamudu
Hivi nyie mnatumia ubongo kweli kufikiri
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama unataka tufikiri kuhusu hayo majina, basi waambie na wenzio msilaumu uwepo wake kwasababu hayo majina hayakujipeleka ofisini yenyewe, bali laumuni wale walioyaweka, wakiwemo ndugu zenu Mwinyi na Kikwete.Deno...
Tutazame hayo niliyoweka yatusaidie kufikiri.
Ulitaka zitolewe bure?msikitini msaada gani maskini anaopata zaidi ya kipande cha mkate ijumaa? Sasa kweli huo ni msaada?Hizo huduma kanisani za shule,vyuo nk zinatolewa Bure!?..hao masikini wenyewe wanaona misaada ya misikitini inawasaidia ndiyo maana wanaenda...uwe unafikiri,siyo kichwa unavalia kapelo tu
haa,,haya bwana.Ni nchi yao nyie mrudi zanzibar mtumikie nchi yenu
Mambo yasiwe mengi sana chief
Ndio umeandika nini soma ulicho andika urudi tenaSasa bora kipi kutokua nayo kabisa? Pawe kama huko kwenu
Umeona ulivyo chizi sasa ulivyo kebehi msaada wakati wewe huna msaada unaotoaUlitaka zitolewe bure?msikitini msaada gani maskini anaopata zaidi ya kipande cha mkate ijumaa? Sasa kweli huo ni msaada?
Nyie kweli akili hakuna, naskia mnapewaga hadi msaada wa nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kweli kabisa karne hii mnasubiri kuletewa msaada wa nyama?
Nimeuliza pia nyie msaada kwa maskini mnaotoa ni upi? Au ni vile wanavyopanda foleni na kupewa kipande cha mkate?Ndio umeandika nini soma ulicho andika urudi tena
Hiyo ni biashara na katika shule hizo yeyote anaingia kusoma tena mwenye hela hasa sasa ndio umewanufaisha masikini
Rudi tena ukisha tambua ulikua unakebehi nini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kipande cha mkate kila ijumaa kinamsaidia nn maskini? Hizo siku zingine anakula nn? Hiko kipande kinamsaidia nn Kama ana wajukuu zaidi ya watano?Umeona ulivyo chizi sasa ulivyo kebehi msaada wakati wewe huna msaada unaotoa
Nimeamini kweli nyie mapunguwani hujui thamani ya kipande cha mkate kwa mtu fukara
Hivi kweli Yesu mmemosama vizuri nyie watu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siwezi kuwa mpumbavu kwa maana hata siku moja sikuona udini wa Magufuli na niliheshimu teuzi, ila sasa kwakuwa Rais amekuwa Samia mnaanza kelele sijui anateua waislam wakati ukilinganisha waislam ni wachache zaidi serikalini kuliko Wakristo, waislam kwa kutengwa kwao wao wakaamua kuwekeza kwenye Biashara na ndio hao wanaendesha uchumi wa nchi hii na wachache sana ndio huomba kazi Serikalini au kuteuliwa ila bado mnawachukia.Hizi hasira zote ni upumbavu tu watu wa kupinga walikuwepo na wataendeela kuwepo. Mm ni mkristo na Wala Hilo la udini silioni naona mambo yanaenda fresh tu kwa mama yetu.
Wewe hizi hasira ndio zimekujaa sababu ya udini. Wewe ni mpumbavu wa mwisho
Yani huo ushakua msaada.Nimeuliza pia nyie msaada kwa maskini mnaotoa ni upi? Au ni vile wanavyopanda foleni na kupewa kipande cha mkate?
Ulivyo chizi uoni msikitini kila swala watu wanakuja wanaamini hapo watapata msaadaKipande cha mkate kila ijumaa kinamsaidia nn maskini? Hizo siku zingine anakula nn? Hiko kipande kinamsaidia nn Kama ana wajukuu zaidi ya watano?
Vipi kuhusu Christian phobia Mkuu????? Is real or not???Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la!
Nataka nieleze sababu za hivyo:
1. Mosi, kuna sense of entitlement.
Kwa miaka mingi sana nchini tangu Uhuru mpaka leo hii, nafasi za Utumishi wa Umma na Serikali zimekaliwa zaidi na Wakiristo kuliko Waislamu. Teuzi nyingi kuanzia Nyerere hadi leo hii Rais Samia, teuzi nyingi zinakwenda kwa Wakiristo.
Hali hii imelalamikiwa sana na Waislamu kwa miaka mingi, kuwa, hili jambo lina ukakasi. Iweje teuzi ziende kwa watu wa mrengo mmoja tu kila wakati wakati nchi hii ni yetu sote, na watu wenye vigezo wapo pande zote? Majibu ambayo watu hawa wamekuwa wakipata ni kejeli, kuwa nyie hamjasoma, kuwa nyie mnaendekeza elimu dunia lakini hoja yao hiyo imekuwa proven wrong.
Hasa ikafikia hadi Sheikh Khalifa kutoa orodha ya Waislamu wasomi mamia kwa mamia, lakini licha ya hivyo wamekuwa wakifumbiwa macho. Sasa leo, Samia licha ya bado kuendelea kuteua Wakiristo wengi zaidi lakini angalau kidooogo waislamu nao wanaonekana kwa mbali.
Hili limeshtua wale waliozoea kuona teuzi za mrengo mmoja, wanahaha, wamepandwa na ghadhabu, wanataka waendelee kuteuliwa watu wa imani yao kwa wingi uleule (over representation) kama zamani.
2. Sababu ya pili ni kuwa, Siyo kweli kuwa baadhi ya hawa wanaolalamikia udini katika teuzi hawajui kuwa Samia bado anateua Wakiristo wengi zaidi kuliko Waislamu.
Bali wanataka kumblackmail ili asije akazoea kuteuateua Waislamu. Wanampa meseji kuwa, ukijaribu kubadili status quo katika nchi hii ya kuwapa nafasi watu wa imani nyingine katika Utumishi wa Serikali kwa wingi kama sisi basi tutakusagia kunguni kwa watu wa imani yetu ili upate wakati mgumu kisiasa.
Kwa hiyo hizi kelele kimsingi ni fitina ya kumchonganisha Rais na Wakiristo ili Rais aogope kuwapa Waislamu nafasi na kwa hiyo Status quo ya Wakiristo kuendelea kudominate Utumishi wa Umma na Serikali, uendelee kama ilivyokuwa tangu Serikali ya Awamu ya Kwanza hadi leo.
3. Sababu ya tatu ni chuki tu, na ufia dini.
Islamophobia is real, kuna watu wanaamini kuwa, kwa kuwabagua watu wa dini nyingine na kuwapendelea watu wa dini yao ni kumfanyia Mungu Ibada!
Wapo watu makazini wakiona kuna wafanyakazi wanavaa hijabu, muda wa swala umefika wanaenda kuswali, au Salamu ya "Assalam Aleikum" imekuwa nyingi katika korido za ofisi wanaanza kuchukia, wanajenga hila mioyoni mwao na kibaya zaidi kuna baadhi wanakwenda mbali hadi ku collude na like minded people ili kuwaletea fitina wenzao n.k.
Enzi hizo wakati nasoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, wanafunzi Waislamu waliomba chumba kimoja kilicho idle ili wafanye ibada wakazunguushwa mno, wengine wakawa wanapewa vitisho vya siri kuwa wawe makini na ajenda yao hiyo kwamba wachague chuo au dini (yaani ni kitisho cha kupigwa fitina hadi wafukuzwe chuo).
Lakini at the same time, kila siku jioni na siku za Jumamosi na Jumapili madarasa ya chuo hichohicho Wakiristo wameruhusiwa kuyatumia kusali na kuabudu. Umeona aina hii ya chuki, choyo na roho mbaya?
Ushauri wangu:
1. Watanzania tuachane na habari za kutaka upendeleo katika ajira na teuzi. Hii nchi ni yetu sote. Si vizuri kunung'unika watu wa imani nyingine pia wakipata fursa za kuhudumu katika nchi.
2. Lakini kama tunaona upendeleo wa dhahiri katika teuzi, hapo kweli tuseme na tupige kelele. Kuna wakati nchi hii Rais mmoja aliunda Baraza la Mawaziri la watu zaidi ya 20 akaweka Waislamu watatu. Sasa katika situation kama hiyo kweli hapo jamii nzima haipaswi kukaa kimya.
Hivyo hivyo leo hii Samia akiunda Baraza la Mawaziri akaweka Wakiristo watatu tu hata mimi sitokaa kimya. Tusiwe na double standard, kwamba teuzi zikifavour watu wetu tunanyuti, ila wengine wakianza kuchomoza basi tunakuja hapa JF kuanzisha nyuzi lukuki za udini. Hiyo siyo fair.
3. Tuzidi kuimarisha, Umoja, Amani na Mshikamano. Nchi hii Wakiristo are here to stay, Waislamu are here to stay. Yesu hakuoni mfuasi wake bora kwa kuwa mbaguzi na wala Mtume Muhammad hakuoni mfuasi wake bora kwa kuvunja amana za watu wote. Tupendeane mazuri.
Nawasilisha.
Wizi wa mitihani kwisha kabisa.Nasubiri matokeo ya NECTA mwakani, nipo nafanya utafiti
Kwamba bara ilikaliwa na wakristo tu kabla ya muungano?Dawa ni kukavunja haka ka muungano na kila mtu arudi kwao basi!
Wazanzibar mnakuja kuchuma huku mkituharibia Tanganyika yetu kwa kuinadi na kuiuza kwa warabu wenu.
Haya mengine waambie wapuuzi wenzenu!
Kwakweli anachuki na personal conflicts ila most ni wivuHuwezi kutenganisha Christian phobia na baadhi ya watu kama mzee Said Mohammed na huwezi kutenganisha Islamphobia na watu kama Mchungaji mtikila.Huyu mleta uzi nae ana chuki na wakrsto ila kaificha.Waafrika bhana mila na desturi na dini za kigeni zinawafanya mnagombana,
Msingi ya dini ya kiislamu imeundwa kuchukia na kubeza dini nyingine na msingi ya dini ya kikrsto imeundwa kudharau na kupuuzia dini nyingine.Na waathirika wakubwa wa chuki hizi za kidini ni waumini na sio viongoziTunakokwenda sio pazuri
Kwakweli anachuki na personal conflicts ila most ni wivu
Tuavhe udini sio mzuri
Mkuu kua na aibu japo kidogoOna mlivyo wabinafsi. Haya hao wakiondoka na nyinyi na masanamu yenu muondoke Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora, Morogoro, Ujiji Kigoma.
Umeona mawazo yako yalivyokuwa hatari? Haya Acha upumbavu uwe na akili.