Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Deno...
Tutazame hayo niliyoweka yatusaidie kufikiri.
Kama unataka tufikiri kuhusu hayo majina, basi waambie na wenzio msilaumu uwepo wake kwasababu hayo majina hayakujipeleka ofisini yenyewe, bali laumuni wale walioyaweka, wakiwemo ndugu zenu Mwinyi na Kikwete.

Hapo ndio mjue hii ngoma mnayoicheza, hamujiui kichwa chake wala miguu yake.
 
Hizo huduma kanisani za shule,vyuo nk zinatolewa Bure!?..hao masikini wenyewe wanaona misaada ya misikitini inawasaidia ndiyo maana wanaenda...uwe unafikiri,siyo kichwa unavalia kapelo tu
Ulitaka zitolewe bure?msikitini msaada gani maskini anaopata zaidi ya kipande cha mkate ijumaa? Sasa kweli huo ni msaada?
Nyie kweli akili hakuna, naskia mnapewaga hadi msaada wa nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kweli kabisa karne hii mnasubiri kuletewa msaada wa nyama?
 
Ulitaka zitolewe bure?msikitini msaada gani maskini anaopata zaidi ya kipande cha mkate ijumaa? Sasa kweli huo ni msaada?
Nyie kweli akili hakuna, naskia mnapewaga hadi msaada wa nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kweli kabisa karne hii mnasubiri kuletewa msaada wa nyama?
Umeona ulivyo chizi sasa ulivyo kebehi msaada wakati wewe huna msaada unaotoa

Nimeamini kweli nyie mapunguwani hujui thamani ya kipande cha mkate kwa mtu fukara

Hivi kweli Yesu mmemosama vizuri nyie watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndio umeandika nini soma ulicho andika urudi tena

Hiyo ni biashara na katika shule hizo yeyote anaingia kusoma tena mwenye hela hasa sasa ndio umewanufaisha masikini


Rudi tena ukisha tambua ulikua unakebehi nini




Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza pia nyie msaada kwa maskini mnaotoa ni upi? Au ni vile wanavyopanda foleni na kupewa kipande cha mkate?
 
Umeona ulivyo chizi sasa ulivyo kebehi msaada wakati wewe huna msaada unaotoa

Nimeamini kweli nyie mapunguwani hujui thamani ya kipande cha mkate kwa mtu fukara

Hivi kweli Yesu mmemosama vizuri nyie watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kipande cha mkate kila ijumaa kinamsaidia nn maskini? Hizo siku zingine anakula nn? Hiko kipande kinamsaidia nn Kama ana wajukuu zaidi ya watano?
 
Hizi hasira zote ni upumbavu tu watu wa kupinga walikuwepo na wataendeela kuwepo. Mm ni mkristo na Wala Hilo la udini silioni naona mambo yanaenda fresh tu kwa mama yetu.

Wewe hizi hasira ndio zimekujaa sababu ya udini. Wewe ni mpumbavu wa mwisho
Siwezi kuwa mpumbavu kwa maana hata siku moja sikuona udini wa Magufuli na niliheshimu teuzi, ila sasa kwakuwa Rais amekuwa Samia mnaanza kelele sijui anateua waislam wakati ukilinganisha waislam ni wachache zaidi serikalini kuliko Wakristo, waislam kwa kutengwa kwao wao wakaamua kuwekeza kwenye Biashara na ndio hao wanaendesha uchumi wa nchi hii na wachache sana ndio huomba kazi Serikalini au kuteuliwa ila bado mnawachukia.

Ndio maana nimesema sasa inatosha. Liwalo na liwe, hatukuumbwa tuishi milele haoa Duniani, na kama mnahisi mnaonewa mnaweza kuanzisha vurugu za kidini au endesheni kampeni makanisani za kidini afu mpate mrejesho usio na shaka wa waislam.

Wakristo hamna akili, mmejaa sana chuki.
 
Kipande cha mkate kila ijumaa kinamsaidia nn maskini? Hizo siku zingine anakula nn? Hiko kipande kinamsaidia nn Kama ana wajukuu zaidi ya watano?
Ulivyo chizi uoni msikitini kila swala watu wanakuja wanaamini hapo watapata msaada

Haya twambie wewe shule ya mamilioni itamsaidia nini huyu fukara ambaye hata uhakika wa chakula cha kutwa moja hana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la!

Nataka nieleze sababu za hivyo:

1. Mosi, kuna sense of entitlement.
Kwa miaka mingi sana nchini tangu Uhuru mpaka leo hii, nafasi za Utumishi wa Umma na Serikali zimekaliwa zaidi na Wakiristo kuliko Waislamu. Teuzi nyingi kuanzia Nyerere hadi leo hii Rais Samia, teuzi nyingi zinakwenda kwa Wakiristo.

Hali hii imelalamikiwa sana na Waislamu kwa miaka mingi, kuwa, hili jambo lina ukakasi. Iweje teuzi ziende kwa watu wa mrengo mmoja tu kila wakati wakati nchi hii ni yetu sote, na watu wenye vigezo wapo pande zote? Majibu ambayo watu hawa wamekuwa wakipata ni kejeli, kuwa nyie hamjasoma, kuwa nyie mnaendekeza elimu dunia lakini hoja yao hiyo imekuwa proven wrong.

Hasa ikafikia hadi Sheikh Khalifa kutoa orodha ya Waislamu wasomi mamia kwa mamia, lakini licha ya hivyo wamekuwa wakifumbiwa macho. Sasa leo, Samia licha ya bado kuendelea kuteua Wakiristo wengi zaidi lakini angalau kidooogo waislamu nao wanaonekana kwa mbali.

Hili limeshtua wale waliozoea kuona teuzi za mrengo mmoja, wanahaha, wamepandwa na ghadhabu, wanataka waendelee kuteuliwa watu wa imani yao kwa wingi uleule (over representation) kama zamani.

2. Sababu ya pili ni kuwa, Siyo kweli kuwa baadhi ya hawa wanaolalamikia udini katika teuzi hawajui kuwa Samia bado anateua Wakiristo wengi zaidi kuliko Waislamu.

Bali wanataka kumblackmail ili asije akazoea kuteuateua Waislamu. Wanampa meseji kuwa, ukijaribu kubadili status quo katika nchi hii ya kuwapa nafasi watu wa imani nyingine katika Utumishi wa Serikali kwa wingi kama sisi basi tutakusagia kunguni kwa watu wa imani yetu ili upate wakati mgumu kisiasa.

Kwa hiyo hizi kelele kimsingi ni fitina ya kumchonganisha Rais na Wakiristo ili Rais aogope kuwapa Waislamu nafasi na kwa hiyo Status quo ya Wakiristo kuendelea kudominate Utumishi wa Umma na Serikali, uendelee kama ilivyokuwa tangu Serikali ya Awamu ya Kwanza hadi leo.

3. Sababu ya tatu ni chuki tu, na ufia dini.

Islamophobia is real, kuna watu wanaamini kuwa, kwa kuwabagua watu wa dini nyingine na kuwapendelea watu wa dini yao ni kumfanyia Mungu Ibada!

Wapo watu makazini wakiona kuna wafanyakazi wanavaa hijabu, muda wa swala umefika wanaenda kuswali, au Salamu ya "Assalam Aleikum" imekuwa nyingi katika korido za ofisi wanaanza kuchukia, wanajenga hila mioyoni mwao na kibaya zaidi kuna baadhi wanakwenda mbali hadi ku collude na like minded people ili kuwaletea fitina wenzao n.k.

Enzi hizo wakati nasoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, wanafunzi Waislamu waliomba chumba kimoja kilicho idle ili wafanye ibada wakazunguushwa mno, wengine wakawa wanapewa vitisho vya siri kuwa wawe makini na ajenda yao hiyo kwamba wachague chuo au dini (yaani ni kitisho cha kupigwa fitina hadi wafukuzwe chuo).

Lakini at the same time, kila siku jioni na siku za Jumamosi na Jumapili madarasa ya chuo hichohicho Wakiristo wameruhusiwa kuyatumia kusali na kuabudu. Umeona aina hii ya chuki, choyo na roho mbaya?

Ushauri wangu:
1. Watanzania tuachane na habari za kutaka upendeleo katika ajira na teuzi. Hii nchi ni yetu sote. Si vizuri kunung'unika watu wa imani nyingine pia wakipata fursa za kuhudumu katika nchi.

2. Lakini kama tunaona upendeleo wa dhahiri katika teuzi, hapo kweli tuseme na tupige kelele. Kuna wakati nchi hii Rais mmoja aliunda Baraza la Mawaziri la watu zaidi ya 20 akaweka Waislamu watatu. Sasa katika situation kama hiyo kweli hapo jamii nzima haipaswi kukaa kimya.

Hivyo hivyo leo hii Samia akiunda Baraza la Mawaziri akaweka Wakiristo watatu tu hata mimi sitokaa kimya. Tusiwe na double standard, kwamba teuzi zikifavour watu wetu tunanyuti, ila wengine wakianza kuchomoza basi tunakuja hapa JF kuanzisha nyuzi lukuki za udini. Hiyo siyo fair.

3. Tuzidi kuimarisha, Umoja, Amani na Mshikamano. Nchi hii Wakiristo are here to stay, Waislamu are here to stay. Yesu hakuoni mfuasi wake bora kwa kuwa mbaguzi na wala Mtume Muhammad hakuoni mfuasi wake bora kwa kuvunja amana za watu wote. Tupendeane mazuri.

Nawasilisha.
Vipi kuhusu Christian phobia Mkuu????? Is real or not???
 
Huwezi kutenganisha Christian phobia na baadhi ya watu kama mzee Said Mohammed na huwezi kutenganisha Islamphobia na watu kama Mchungaji mtikila.Huyu mleta uzi nae ana chuki na wakrsto ila kaificha.Waafrika bhana mila na desturi na dini za kigeni zinawafanya mnagombana,
 
Tunakokwenda sio pazuri

Huwezi kutenganisha Christian phobia na baadhi ya watu kama mzee Said Mohammed na huwezi kutenganisha Islamphobia na watu kama Mchungaji mtikila.Huyu mleta uzi nae ana chuki na wakrsto ila kaificha.Waafrika bhana mila na desturi na dini za kigeni zinawafanya mnagombana,
Kwakweli anachuki na personal conflicts ila most ni wivu
Tuavhe udini sio mzuri
 
Tunakokwenda sio pazuri


Kwakweli anachuki na personal conflicts ila most ni wivu
Tuavhe udini sio mzuri
Msingi ya dini ya kiislamu imeundwa kuchukia na kubeza dini nyingine na msingi ya dini ya kikrsto imeundwa kudharau na kupuuzia dini nyingine.Na waathirika wakubwa wa chuki hizi za kidini ni waumini na sio viongozi
 
Ona mlivyo wabinafsi. Haya hao wakiondoka na nyinyi na masanamu yenu muondoke Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora, Morogoro, Ujiji Kigoma.

Umeona mawazo yako yalivyokuwa hatari? Haya Acha upumbavu uwe na akili.
Mkuu kua na aibu japo kidogo

Sie ni wabinafsi howcome?? Au wewe sio mtu mfatiliaji wamatukio huko visiwani ??

Nyie hata kujimix na mkristo hamuwezi mmejaa udini na hata huyu mtoa mada ana personal conflicts na udinism ila anashindwa kutueka wazi

Watawala waliopita walitoa nafasi kulingana na uwezo wa mtu na sio dini
 
naona tunarudi kulekule awamu ya nne ya JK alivyoyumbishwa na jamaa fulani mpaka kufikia hatua ya kuitwa dhaifu..

Muda si mrefu tutaanza kusikia na matamko kutoka kila kona...

Hii nchi ipo siku itaingia kwenye mgogoro mkubwa sana wa kidini, chanzo cha mgogoro ni dini fulani kuamini yenyewe ndio kila kitu..
 
Back
Top Bottom