Tetesi: Ijue siri ya muhitimu wa UDSM kujiua.

Tetesi: Ijue siri ya muhitimu wa UDSM kujiua.

kawaida tu hata asingekufa siku ile bado ipo siku angekufa, kwangu mimi katika kitu ambacho huwa sisikitiki wala kuona hata tone la chozi au kuwa na huzuni ni kuhusu mtu kufa-huwa naona ni hali ya kawaida tu.

Tena anaejiuwa hata pole sitoi....watu wa namna hii pepo wataisikiaga tu.
 
Acheni uonge vyuma vimekaza vjana wamekosa ajira hadi wanaanza kujiua.
 
Mh
FB_IMG_1545574912819.jpg
 
mtajua wenyewe na taarifa zenu hizoo mnaotegemea ajira!! saiv ni kupambana tu kma ajira hakuna tupambane tu no way out
 
Kosa ni serikali kuweka nafasi nyingi za watoto kusoma Vyuo ??? Miaka ya 1990s UDSM walikuwa wanatoa wanasheria 30 , wahasibu 40 kwa mfano kwa mwaka. Lakini leo vyuo vya kumwaga - serikali haitaweza kuajiri woote kutoka vyuo vyote.
 
Back
Top Bottom