mnyonge / mɲɔngɛ / nomino
wanyonge (plural)...
Kabisa aisee. Ni neno dhalili sana kulitumia kwa binadamu. Huo unyonge ni subjective term na mhusika ndiye anaweza kujipambanua badala ya mtu kumwita jina hilo.Nakushukuru sana mdau, nimepost muda si mrefu nimeposit mada kama hii sikujua! kma umeelezea vizuri sana, anyway binafsi silipendi hili neno, tupaze sauti sauti wana siasa wasituite sisi wanyonge, watumie neno wananchi au watanzania, waache kutusanifu .