Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada aksante kwa info,,unatushaurije sisi wanafunzi tulio makazini ilituweze kusoma na kufanya kazi kwa masaa meng zaidi bila kuchoka sana,tutumie kahawa au maji ya baridi na moto au tufanyejemimi sio daktari ni mwalimu na hapa natumia uzoefu wangu wa kufundisha
Kufanya kazi kwa muda mwingi zaid kunatokana na aina ya jinsi ulivyozoeza ubongo wako pamoja na mwili kwa ujumla.Mtoa mada aksante kwa info,,unatushaurije sisi wanafunzi tulio makazini ilituweze kusoma na kufanya kazi kwa masaa meng zaidi bila kuchoka sana,tutumie kahawa au maji ya baridi na moto au tufanyeje
Ni kawaida. Unakuwa umejigeuza mwenyewe lakini ubongo unakuwa haujaliweka hilo jambo kwenye kumbukumbuHebu nifundisheni kuhusu hizi tabia la ulalaji. Mfano utakuta mtu umelala kwa mgongo lakini upo usingizini hujielewi lakini ukishtuka umelala kwa ubavu au tumbo. Na hiyo ndo inakuwa ni style yako ya ulalaji. Au mwingine analala vizuri lakini akishasinzia anatawanya miguu au mikono, je ni kazi ya hormone nayo hii au mwili unajifanyaje wakati mtu anakuwa hajielewei?