Ijue teza ya Pineal

Ijue teza ya Pineal

Umri wako, kazi yako ili uweze kusaidiwa.

nb.kama bado unakula ugali wa shikamoo haina shida endlea kulala
 
mimi sio daktari ni mwalimu na hapa natumia uzoefu wangu wa kufundisha
Mtoa mada aksante kwa info,,unatushaurije sisi wanafunzi tulio makazini ilituweze kusoma na kufanya kazi kwa masaa meng zaidi bila kuchoka sana,tutumie kahawa au maji ya baridi na moto au tufanyeje
 
Mtoa mada aksante kwa info,,unatushaurije sisi wanafunzi tulio makazini ilituweze kusoma na kufanya kazi kwa masaa meng zaidi bila kuchoka sana,tutumie kahawa au maji ya baridi na moto au tufanyeje
Kufanya kazi kwa muda mwingi zaid kunatokana na aina ya jinsi ulivyozoeza ubongo wako pamoja na mwili kwa ujumla.
panga kazi zako vyema, pata muda wa kupuimzika. hakikisha ubongo wako haupungukiwi hewa safi wala chakula cha kutosha.

usitake kuji induce artificial suppliments manake zitachosha sehem nyingine za mili hasa ini na figo. green tea na coffee zinafaa kwa kukufanya uchangamke
 
Hebu nifundisheni kuhusu hizi tabia la ulalaji. Mfano utakuta mtu umelala kwa mgongo lakini upo usingizini hujielewi lakini ukishtuka umelala kwa ubavu au tumbo. Na hiyo ndo inakuwa ni style yako ya ulalaji. Au mwingine analala vizuri lakini akishasinzia anatawanya miguu au mikono, je ni kazi ya hormone nayo hii au mwili unajifanyaje wakati mtu anakuwa hajielewei?
 
Ni kawaida. Unakuwa umejigeuza mwenyewe lakini ubongo unakuwa haujaliweka hilo jambo kwenye kumbukumbu
Kuna ambao wanaamka kabisa na hata unaweza kuongea nao na wakakujibu fresh tu ila akilala akiamka hakumbuki lolote
 
Back
Top Bottom