Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Kwenye vitabu vitakatifu kuna watu wametajwa waliishi zaidi ya miaka 900unaposema zamani maisha yalikuwa marefu sana ni kwa hoja zipi? au ni kwa ushahidi upi?
nikili kwanza kuwa mi ni mkristo but unapojenga hoja kwa kujikita katika imani za kidini hutapata majibu hapa!Kwenye vitabu vitakatifu kuna watu wametajwa waliishi zaidi ya miaka 900
Miaka ya nyuma watu walitumia majira ya mvua za masikanikili kwanza kuwa mi ni mkristo but unapojenga hoja kwa kujikita katika imani za kidini hutapata majibu hapa!
kwanza nani kakwambia mwaka kuwa na siku 366 iligundulika enzi za Ibrahim?
walijuaje kuwa mtu ana miaka mia4 wakati hawakuwa na calendar?
yawezekana walihesabu wiki?!! utajuaje?
Mkuu huu ni umma wa mwisho na ulishatabiriwa umri wa kuishi hvyo hakutotokea tena umma mwingine utakaoishi kama unavyowaza labda huu uliopo kupungua tu kutokana na matumizi madawa na sumu mbalimbali zinazowekwa kwenye vyakulaHabarini wakuu..
Leo ninataka sote kwa pamoja na kwa hoja za maana tuzijadili sababu za kiinteligensia juu ya maisha ya binadamu wa karne hii na karne zijazo.
Kama mada tajwa hapo juu.
Natanguliza sababu na mawazo yangu..
1.MAISHA YAJAYO YATAKUWA MAFUPI SANA..
Tukiangalia from begining binadamu walikuwa wakiishi maisha marefu namaanisha umri mrefu sana.
Swali ninalolileta jamvini ni je ni kwa nini kadri kaene zinavyozidi kwenda ndivyo umri huu wa maisha unazidi kupungua.
C.c mshana jr Kiranga @Monstigala
na wengineo
wewe wasema!!Miaka ya nyuma watu walitumia majira ya mvua za masika
Kama kweli ww ni mkristo inakupasa ubadilike maana nje ya biblia hutapata majibu yoyote ya msingi hata ukipata yatakupelekea kwenye uharibifu maana yatakuwa yanapingana na Mungunikili kwanza kuwa mi ni mkristo but unapojenga hoja kwa kujikita katika imani za kidini hutapata majibu hapa!
kwanza nani kakwambia mwaka kuwa na siku 366 iligundulika enzi za Ibrahim?
walijuaje kuwa mtu ana miaka mia4 wakati hawakuwa na calendar?
yawezekana walihesabu wiki?!! utajuaje?
mkuu moghasa kwanza asante kwa swali zuri ninaposema zamani maisha yalikuwa marefu namaana kiumri na kwa hoja hizi..unaposema zamani maisha yalikuwa marefu sana ni kwa hoja zipi? au ni kwa ushahidi upi?
Mkuu moghasa naomba kuwa specific usipende kuegemea kwenye kitu ambacho wewe mwenyewe unakiri ni upotoshajinikili kwanza kuwa mi ni mkristo but unapojenga hoja kwa kujikita katika imani za kidini hutapata majibu hapa!
kwanza nani kakwambia mwaka kuwa na siku 366 iligundulika enzi za Ibrahim?
walijuaje kuwa mtu ana miaka mia4 wakati hawakuwa na calendar?
yawezekana walihesabu wiki?!! utajuaje?
Kama kweli ww ni mkristo inakupasa ubadilike maana nje ya biblia hutapata majibu yoyote ya msingi hata ukipata yatakupelekea kwenye uharibifu maana yatakuwa yanapingana na Mungu
Mfumo wa kuhesabu siku na miezi upo tangu uumbaji ulipoanza japo sasa kama unabii unavyosema wanadamu wamejaribu kubadilisha, moja Mungu aliumba mbingu na vyote vilivyomo kwa siku 6 ya Saba akaibariki na kuitakasa hivyo likahesabika juma moja na ktk biblia inataja mwezi kuwa na siku 30 na haitaji mwezi wowote wenye siku pungufu ama zaidi hivyo kibiblia jumla ya siku za mwaka ni 360 na siku inaanza kila jua linapozama wala sio saa sita usiku
Na siku za kuishi Mungu ndie alizipunguza maana wanadamu akili zao ziliwaza yaliyo maovu tu Mungu akashusha umri hadi miaka 120 na baadae akashusha tena hadi miaka 70
Habarini wakuu..
Leo ninataka sote kwa pamoja na kwa hoja za maana tuzijadili sababu za kiinteligensia juu ya maisha ya binadamu wa karne hii na karne zijazo.
Kama mada tajwa hapo juu.
Natanguliza sababu na mawazo yangu..
1.MAISHA YAJAYO YATAKUWA MAFUPI SANA..
Tukiangalia from begining binadamu walikuwa wakiishi maisha marefu namaanisha umri mrefu sana.
Swali ninalolileta jamvini ni je ni kwa nini kadri kaene zinavyozidi kwenda ndivyo umri huu wa maisha unazidi kupungua.
C.c mshana jr Kiranga @Monstigala
na wengineo
Tafiti zipi mkuuTafiti zinaonyesha kuwa, umri wa kuishi unaongezeka na sio kupungua...., hali ya huduma ya afya ipo juu sana duniani watu sasa wanaishi muda mrefu zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya dunia (in average). Hata Tanzania umri wa kuishi umeongezeka sana
Siku inaanzia na kuishia wapi?Kama kweli ww ni mkristo inakupasa ubadilike maana nje ya biblia hutapata majibu yoyote ya msingi hata ukipata yatakupelekea kwenye uharibifu maana yatakuwa yanapingana na Mungu
Mfumo wa kuhesabu siku na miezi upo tangu uumbaji ulipoanza japo sasa kama unabii unavyosema wanadamu wamejaribu kubadilisha, moja Mungu aliumba mbingu na vyote vilivyomo kwa siku 6 ya Saba akaibariki na kuitakasa hivyo likahesabika juma moja na ktk biblia inataja mwezi kuwa na siku 30 na haitaji mwezi wowote wenye siku pungufu ama zaidi hivyo kibiblia jumla ya siku za mwaka ni 360 na siku inaanza kila jua linapozama wala sio saa sita usiku
Na siku za kuishi Mungu ndie alizipunguza maana wanadamu akili zao ziliwaza yaliyo maovu tu Mungu akashusha umri hadi miaka 120 na baadae akashusha tena hadi miaka 70
Nilikua napitapita mahali nikaona vijumba vya mapolisi vilivyojengwa miaka ya nyuma ni vidogo kama vyoo au vibiriti lakini ukiangalia zinazojengwa hivi sasa ni kubwa ukilinganisha na za wakati ule.Hakuna ubishi kwamba kadri tunavyoenda mbele na umri wa kuishi wa viumbe ulimwenguni unapungua. Na sio umri tu wa kuishi unaopungua hata maumbile wa wanadamu wa zamani na wa sasa ni vitu viwili tofauti, kipindi cha nyuma watu walikuwa na miili mikubwa sana (mfano: Mwanafalsafa wangu Arstotle alikuwa na mwili 'nyumba', Sio hivyo tu jamaa aliyegundua Microscope jina limenitoka kwa kumuangalia tu utadhani unaangalia movie za superman walikuwa wakubwa kweli bado sijazungumzia walioishi karne nyingi kabla yao). Tunapaswa kufahamu dunia ya kipindi kile kila kitu kilikuwa 'fresh' kwa kiwango kikubwa kuanzia hali ya hewa mpaka vyakula mambo yalianza kubadilika na hata baadhi ya viumbe vilishindwa kustamihili hali hiyo na vikapotea kabisa.. Na dunia ya leo almost of all what we eat and what we inhale is completely poisonous and it is scientifically proved!! Ukuaji wa teknolojia nao umechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza umri na maumbile ya watu kwa asilimia kubwa sababu asilimia ya vitu vingi tunavyolisha miili yetu ni artificial (mfano - Unga wa Sembe) nafikiri mtoa mada una haki ya kuuliza na kujiuliza ulichouliza